DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika Mara Moja anayekadiriwa kuwa na umri wa Miaka 30-40 amefariki Dunia usiku wa kuamkia Leo October 19, baada ya kupokea kipigo kikali kutoka Kwa watu wenye hasira Kali.
Tukio Hilo limetokea katika Eneo la Malamba mawili(bwawa la Kwanza)ambapo Marehemu alikutwa akijaribu kuiba kanisani, ndipo wananchi walimshushia kipigo kizito kilichopelekea umauti.
Asubuh Hii police wamefika na kuuondoa mwili wa Marehemu.
Hii ni salam Kwa majambazi wote na vibaka wanaojiandaa kuja Malamba mawili wafahamu kuwa wananchi wa Malamba hawana mbambamba