Mwizi auawa akijaribu kuiba Kanisani Mbezi Malamba mawili

hao walokole mbona hawawatii moto wale wezi wanaowauzia mafuta ya alizeti na mengine ya kukanyaga ili wapate utajiri? hiyo nchi ngumu sana aisee, yaani walokole wanaua na huku wanahubiri kusameheana sijui kitu gani, ndiomaana wananyanduana tu kwenye vijikanisa vyao hivyo na hakuna cha maana wanachofanya
 
Kama maustadhi wanavyowafumua mitaro madrasa, kwa uandishi wako ushafumuliwa kitambo.
 
Lakini mbali na yote yaliyowakuta, Ndugu zetu Walokole, wanastahili pongezi kwa kutoa Dozi ya kipigo, kwa Kibaka huyo ambae alikuwa "akijaribu" kuiba hapo Kanisani.
 
Tuendelee kujichukulia sheria mkononi, hatuko mbali kufikia level ya wazulu, hizi mahakama za kikangaroo tuzipalilie, police wetu waendelee kupaliliwa ili wawe trigger happy one!,aliyeuawa ni suspect SIO convicted!!,why raia hawakumkamata na kuita cops waje?,au kumpeleka police shop?
Mkuu mitaa inajua watu zaidi ya sisi hapa.
Nilijifunza tu kwa Panya Road.
Wezi hawatokei angani..wanajulikana na huwa tunawavumilia.
 
Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika Mara Moja anayekadiriwa kuwa na umri wa Miaka 30-40 amefariki Dunia usiku wa kuamkia Leo October 19,baada ya kupokea kipigo kikali kutoka Kwa watu wenye hasira Kali.

Tukio Hilo limetokea katika Eneo la Malamba mawili(bwawa la Kwanza)ambapo Marehemu alikutwa akijaribu kuiba kanisani,Ndipo wananchi walimshushia kipigo kizito kilichopelekea umauti.

Asubuh Hii police wamefika na kuuondoa mwili wa Marehemu.

Hii ni salam Kwa majambazi wote na vibaka wanaojiandaa kuja Malamba mawili wafahamu kuwa wananchi wa malamba hawana mbambamba
Aisee maeneo ya wapi hapo malamba?

Safi sana, Wananchi wa malamba hawalembi ujinga.
 
Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika Mara Moja anayekadiriwa kuwa na umri wa Miaka 30-40 amefariki Dunia usiku wa kuamkia Leo October 19,baada ya kupokea kipigo kikali kutoka Kwa watu wenye hasira Kali.

Tukio Hilo limetokea katika Eneo la Malamba mawili(bwawa la Kwanza)ambapo Marehemu alikutwa akijaribu kuiba kanisani,Ndipo wananchi walimshushia kipigo kizito kilichopelekea umauti.

Asubuh Hii police wamefika na kuuondoa mwili wa Marehemu.

Hii ni salam Kwa majambazi wote na vibaka wanaojiandaa kuja Malamba mawili wafahamu kuwa wananchi wa malamba hawana mbambamba
Mambo ya wezi kuuawa na raia tulishayasau naona yanarudi kwa kasi sana.

Inaonekana raia wamepoteza imani na police na mifumo ya utoaji wa haki
 
Kwahiyo Get rich or die tryin jamaa akachagua Kanisa la Walokoke Walokole wanastahili pongezi kwa kutoa dozi.
Ha ha ha
Hao walokole hawatauona Ufalme wa Mbinguni.
Walitakiwa wamgeuzie shavu jingine huyo mwizi kwa kumsamehe!
 
Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika Mara Moja anayekadiriwa kuwa na umri wa Miaka 30-40 amefariki Dunia usiku wa kuamkia Leo October 19,baada ya kupokea kipigo kikali kutoka Kwa watu wenye hasira Kali.

Tukio Hilo limetokea katika Eneo la Malamba mawili(bwawa la Kwanza)ambapo Marehemu alikutwa akijaribu kuiba kanisani,Ndipo wananchi walimshushia kipigo kizito kilichopelekea umauti.

Asubuh Hii police wamefika na kuuondoa mwili wa Marehemu.

Hii ni salam Kwa majambazi wote na vibaka wanaojiandaa kuja Malamba mawili wafahamu kuwa wananchi wa malamba hawana mbamb
Haya ndiyo madhara ya polisi kutoshughulikia matishio ya uhalifu.

Utamaduni wa wahalifu kutamba na kujifanyia lolote hukutana na hasira za wananchi waliochoshwa na hizi mbanga.

Mtu anaenda kuiba hadi nyumba ya ibada. Doh hofu imeisha siku hizi
 
Polisi wanajisahau na wahalifu wanjisahu Raia wanaamua kujichukulia sheria mkononi
 
hao walokole mbona hawawatii moto wale wezi wanaowauzia mafuta ya alizeti na mengine ya kukanyaga ili wapate utajiri? hiyo nchi ngumu sana aisee, yaani walokole wanaua na huku wanahubiri kusameheana sijui kitu gani, ndiomaana wananyanduana tu kwenye vijikanisa vyao hivyo na hakuna cha maana wanachofanya
Mkuu wapi walokole wametajwa kwamba wameua? mwizi alikutwa akijaribu kuiba kanisani wananchi wenye hasira kali bila kujali dini zao wakawashambulia
 
Back
Top Bottom