Mwizi auawa akijaribu kuiba Kanisani Mbezi Malamba mawili

Mwizi auawa akijaribu kuiba Kanisani Mbezi Malamba mawili

UTARATIBU WA KUKAMATA VIBAKA NA KUWAPELEKA POLISI
inaonekana ni njia iliyoshindwa kutatua tatizo sugu la vibaka
imethibitika wengi hawana tena imana na njia hii


Hivyo basi zoezi la kujichukulia sheria mkononi ni endelevu mpaka pale watu watakapo acha uwizi.
 
nawapongeza sana kwa kujilinda, dawa yao ndio hio, tusiwaone aibu sijui eti mjomba....au binamu au kaka, majambazi/wezi/vibaka na wavuta bangi wote dawa yao ndio hiyo.

safi sana.
 
Huko Kanisani huyo Suspect alitaka kuiba kitu gani? Walijuaje kua amekwenda hapo Kanisani kwa nia ya kuiba na sio kwa ajili ya ibada?
Unaweza wewe ukawa mwizi pia, toka lini ukasikia watu wanaoenda kanisani wakati wa ibada wakauawa? Halafu unauliza akaibe nini Yale magitaa, amplifier na maspika unajua bei zake?
 
Unaweza wewe ukawa mwizi pia, toka lini ukasikia watu wanaoenda kanisani wakati wa ibada wakauawa? Halafu unauliza akaibe nini Yale magitaa, amplifier na maspika unajua bei zake?
Acha kunilisha maneno,ni wapi nimeuliza "Akaibe nini?"
nimeuliza "Alitaka kuiba kitu gani?'' ila wewe inaonekana umetafsiri kua ni kama namaanisha kua Kanisani hakuna kitu cha kuibwa!

Soma tena kwa utulivu comment yangu uliyoiquote.
 
Juzi tu nimepata nyumba kaaaali malamba kwa bei chee lakini sikwenda kuishi huko kuhofia wezi...wanawaharibia sasna
 
Huu uzi kila nikifresh page naukuta juu kabisa top kumbe kuna mabishano ya kiimani tofauti na uzi usemavyo
 
Kwahyo hakuna tena samehe saba mara sabini na Usihukumu?
Mwizi hauawawi....na waliohusika wametenda dhambi kubwa kuliko hata aliyoitenda mwizi... Kama upo mstari kwenye biblia unaruhusu mwizi kuuawa leteni hapa.....
 
Marehemu kafia kanisani, hivi hujui kuwa makanisa ya walokole kila siku kuna watu wanautafuta uso wa Bwana usiku na mchana?

Haya pima mwenyewe ni akina nani walikuwepo hapo kanisani kama sio hao walokole
Alikata bati Kwa juu akadindokea kanisan Mkuu, watu wakasikia kishindo wakamkuta mwamba yupo kwenye vyombo vya music na wengine wawiki wakakimbia raia wakamshushia kipigo Cha mbwa mwitu.

Malamba hatutaki wez na hiyo ni Salam tu
 
Huko Kanisani huyo Suspect alitaka kuiba kitu gani? Walijuaje kua amekwenda hapo Kanisani kwa nia ya kuiba na sio kwa ajili ya ibada?
.. .Unataka kujua Walijuaje kuwa ni Mwiziii?????
.. . Iyo formula kama unataka kuijua
Jaribu siku Moja kijipendekeza kwenye Mali za watu ujichanganye tairi linakuhusu kaaa Mbali na Mali za watu.
Na Kanuni Namba Moja ya kumjua Mwizi ni Tamaaa.
 
Back
Top Bottom