Mwizi auawa akijaribu kuiba Kanisani Mbezi Malamba mawili

Mwizi auawa akijaribu kuiba Kanisani Mbezi Malamba mawili

ukiiba kwa peni hawakuui, wanakuhamisha kitengo tu. ila ukiiba kwa mikono unapelekewa moto wallah
 
Ha ha ha
Hao walokole hawatauona Ufalme wa Mbinguni.
Walitakiwa wamgeuzie shavu jingine huyo mwizi kwa kumsamehe!
Unajua maana ya ukipigwa shavu mgeuzie lingine?

Ni kuwa akikutandika shavu la kushoto na wewe mtandike shavu lake lingine

Ngoma droo.
 
.. .Unataka kujua Walijuaje kuwa ni Mwiziii?????
.. . Iyo formula kama unataka kuijua
Jaribu siku Moja kijipendekeza kwenye Mali za watu ujichanganye tairi linakuhusu kaaa Mbali na Mali za watu.
Na Kanuni Namba Moja ya kumjua Mwizi ni Tamaaa.
Umejibu kama vile umekatwa kichwa!
 
nachukia sana hawa wezi wa kukaba na kukwapua pamoja na majambazi. hata kama ni binaadamu najikuta nashindwa kuwatetea. Niheri ya wale wavaa Suti wao huiba ki science Pesa unazipeleka mwenyewe huna wakumlaumu.
 
Kanisani kwetu

Kanisa la Wasabato

Wamewahi iba viti, spika na vitu vingine mara 2
Tena viliibiwa siku ya Ijumaa
Asubuhi ya Jmosi twakuta hola

Ikabidi tuweke lock imara
Sawa, ila siungi mkono tabia ya kujichukulia sheria mkononi
 
Back
Top Bottom