Mwizi auawa akijaribu kuiba Kanisani Mbezi Malamba mawili

Mwizi auawa akijaribu kuiba Kanisani Mbezi Malamba mawili

Tuendelee kujichukulia sheria mkononi, hatuko mbali kufikia level ya wazulu, hizi mahakama za kikangaroo tuzipalilie, police wetu waendelee kupaliliwa ili wawe trigger happy one!,aliyeuawa ni suspect SIO convicted!!,why raia hawakumkamata na kuita cops waje?,au kumpeleka police shop?
Kibaya zaidi mwizi ameuawa na wezi wenziwe
 
Kanisani mtu aibe nini? Acheni tabia ya kujichukulia sheria mkononi
Siungi mkono kujichukulia sheria mkononi lakini nakupinga kwamba hamna kitu cha kuibiwa kanisani.

Vyombo vya muziki vina thamani kubwa sana
 
Hapo waliomuua huyo mtuhumiwa wanajiona wamemtumikia Mungu ipasavyo na wanasubiri tu kwenda Mbinguni Peponi kwa mauaji hayo waliyo yafanya.
Umeambiwa na nani kwamba hicho kichapo alipewa na washirika wa hilo kanisa?
 
Kwahyo hakuna tena samehe saba mara sabini na Usihukumu?
Huo muda alioenda kuiba alikutana na mlinzi na hao sungusungu walioamsha majirani. Hakuna ushahidi kwamba washirika walikuwepo.
 
So sad 😔
Yaani walokole hawatii maandiko kabisa, amri ya usiue walishaifuta kabisa kama ile ya usizini
 
Umeambiwa na nani kwamba hicho kichapo alipewa na washirika wa hilo kanisa?
Hiyo comment yangu uliyoiquote,kuna sehemu nimeandika kua kichapo kimetoka kwa washirika wa hilo Kanisa? soma tena hiyo comment yangu.
 
Hii komenti sio yakwako?

Jisome hapo juu uache kurukaruka.
Huna akili wewe,hiyo comment ndio uliyoiquote mwanzo? halafu hata hiyo comment imetajwa dini yeyote hapo? mbona unakua mpuuzi kiasi hicho?
 
Huna akili wewe,hiyo comment ndio uliyoiquote mwanzo? halafu hata hiyo comment imetajwa dini yeyote hapo? mbona unakua mpuuzi kiasi hicho?
Nenda kacheze na majini wewe stone kisser, mfuasi wa illiterate fellow wa mapangoni.
 
Nenda kacheze na majini wewe stone kisser, mfuasi wa illiterate fellow wa mapangoni.
Kumbe kujilengesha kote huko ulikua tu unateswa na ubaguzi wa udini! kwa akili yako ilivyo ndogo umeshindwa kabisa kuficha upuuzi wako.
 
Back
Top Bottom