DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Kwahiyo Get rich or die tryin jamaa akachagua Kanisa la Walokoke, Walokole wanastahili pongezi kwa kutoa dozi.Marehemu alikutwa akijaribu kuiba kanisani
Walokole walisaidiana na wakazi wa MalambaKwahiyo Get rich or die tryin Walokoke wanastahili pongezi kwa kutoa dozi.
Walokole na Wakazi wa Malamba wanastahili pongezi.Walokole walisaidiana na wakazi wa Malamba
Tatizo wanaotakiwa kuwapelekea moto, wamekuwa chawa wao.Hawa wezi wavaa suti,wezi wa kalamu na wao walitakiwa kupelekewa moto kama huu
Ova
Mboga moto, maji moto, ugali moto , sahani motoMtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika Mara Moja anayekadiriwa kuwa na umri wa Miaka 30-40 amefariki Dunia usiku wa kuamkia Leo October 19,baada ya kupokea kipigo kikali kutoka Kwa watu wenye hasira Kali.
Tukio Hilo limetokea katika Eneo la malamba mawili(bwawa la Kwanza)ambapo Marehemu alikutwa akijaribu kuiba kanisani,Ndipo wananchi walimshushia kipigo kizito kilichopelekea umauti.
Asubuh Hii police wamefika na kuuondoa mwili wa Marehemu.
Hii ni salam Kwa majambazi wote na vibaka wanaojiandaa kuja malamba mawili wafahamu kuwa wananchi wa malamba hawana mbambamba
Lakini si hua wanasema Dini yao ni ya kusamehe? hua hawalipi visasi?Kwahiyo Get rich or die tryin jamaa akachagua Kanisa la Walokoke Walokole wanastahili pongezi kwa kutoa dozi.
Tena ukiwauliza ameiba nini hawajui!Lakini si hua wanasema Dini yao ni ya kusamehe? hua hawalipi visasi?
Au hii imekaaje?
Hapo waliomuua huyo mtuhumiwa wanajiona wamemtumikia Mungu ipasavyo na wanasubiri tu kwenda Mbinguni Peponi kwa mauaji hayo waliyo yafanya.Kanisani mtu aibe nini? Acheni tabia ya kujichukulia sheria mkononi
Inafikirisha.Kanisani mtu aibe nini? Acheni tabia ya kujichukulia sheria mkononi