Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,371
Watu wawili wakikamatwa sio wa kuwaacha waende zao. Mwizi na mchawi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakua bado una kamba mguuni, P Didy hapo kajitahidi sana kuandika then wewe unamkosoaPicha,,,,
Hivi ni auiwawa au auwawa?
Mkuu usifurahie kufika furahia aliekukimbiza ukafika salama alale tupema peponiJuu ya zahma na misukosuko aliokufanyia ya kukusachi na kukupapasa mpaka sehemu za siri, unathubutu kumwombea "RIP MINYEMBE".
Inaonekana utam miss sana.
Mbona leo kaandika vizuriUmeandika kama unakimbizwa
Anahitaji ban mpe muda atapata anachokitaka sasa bora anasoma anaelewa ningekuwa naapa ananiona angenitukana kabisambona leo kaandika vizuri
Top garage imefunguliwa mdau inaitwa macarena kwa sasa, nakumbuka sana story yako ya Tom Boy alimsaga demu mwanafunzi hadi akajinyea nashangaa kumbe ulihamia Kawe hadi ukawa unapapaswa na marehemu mwizi huku ukiweka simu kwenye soksiAnakosoa watu wa Kilwa atapata anachokitafua hata hio simu asiione kabisa
Ametumia TecnoPicha,,,,
Hivi ni auiwawa au auwawa?
Kwani alikuwa anamkatia mauno?Ulikuwa ukijitahidi kumpa ushirikiano!
Hajakwambukiza magonjwa ya zinaa kweli?
Hapo walikuwa wanamkubali sababu ya kutodhuriwa na huo ukabaji wake, sasa wakishampa t...mu basi tena kama unavyojua ukila mara moja basi mbili na tatu ni kawaida na hatimaye ni mazoea.Aisee sikujuaa alikuwa anatugongeaaa vidada vyetu VIZURI leoo NIMESHTUKA sana vibinti vimeitana vikaanza KULIA naambiwa Shemeji zakoo HAOO aisee
Na nimepishana navyo sana enzi hizo SAASABA usiku PENGINE niwashukuru labda walisaidia nkaishia kupigwa sachi tu WENGINE Wanaalama zakutoshaaa hahahaaa wanyasaaa awatamsahauuuu
KUMBE wezii n ROMANTIC HIVYO NIMESHTUKA sanaa
Hahaha, kwa hiyo mzee baba unapigwa sachi mpaka kwenye chupi!
Mpwa hongereni kwa kumalizana na hilo dubwana.
This is so sad really. Why did they have to kill him instead of apprehnding him to the police to face the full force of law?Kijana aliekuwa maarufu kupiga watu visu na mapanga na kuleta wezi wa Manzese na Magomeni kuwatesa wananchi wa Kawe na Mbezi ameuwawa usiku huu
Kijana Minyembe kijana mwembamba na mwemye mbio kuliko mwanariadha Bolt ameuawa usiku huu baada ya kumuibia dada mmoja njia ya mchangani chadema
Kama wasemavyo siku ya kifo n kifo tu Minyembe alikuwa na wenzie wawili
Ghafla walipokimbia yule binti akapiga kelele wananchi wakamfwata aliekimbilia mtoni Kawe
Alipoanza kukimbizwa kwenye maji akaomba asamehewe arudii tena ana mtoto wakamshauri apande juu
Hapo ndipo wakamfunga kamba pembeni ya nyumba ya mjumbe. Wakanzaa mdundika mawe yasio na idadi kichwani
Kijana Minyembe ambae Kawe polisi pamekuwa kama shule yake akiingia na kutoka hivi sasa atuko nae tena
Polsi wakawe mtusaidie kutoa hii maiti yake ulizeni kwa mjumbe
Nenden bar ya Soweto mtaelekezwa alipo......
RIP Minyembe umewahi kunisachi kama, mwanamke mara nne tena saa tano tu nashukuru hukuwahi kunidhuru ingawa nilijitahdi kukupa ushirikiano kila nikuonapo
Ulinifanya nikirudi saa sita niweke simu na pochi kwenye soksi huku nikikuwekea 2000-3000 kwa ajili ya kuweka amani nifike salama nyumbam
RIP
Dk Minyembe
Mkaldayo, hili yai uliondoka nalo au ulilikuta huko Kwa mzee Shmaiko?This is so sad really. Why did they have to kill him instead of apprehnding him to the police to face the full force of law?
That thief has the right to live and enjoy the fruits of John's fifth term.
Just imagine if it was you or it was your brother or father. Why do people in this nation never value life? Whyyyy?
Those people who killed that dude their hands are full of blood. And the guilty conscious will haunt them forever.
Imagine his family maybe wife and children are waiting where is daddy?
Every single life is precious and must be valued at all cost.
'If you never sin pick the stone'.
Am so saddened and heart broken by this loss.
Hata hivyo Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.