Mwizi maarufu wa Kawe/Mbezi Beach 'Minyembe' auawa na Wananchi

Juu ya zahma na misukosuko aliokufanyia ya kukusachi na kukupapasa mpaka sehemu za siri, unathubutu kumwombea "RIP MINYEMBE".

Inaonekana utam miss sana.
Mkuu usifurahie kufika furahia aliekukimbiza ukafika salama alale tupema peponi

Na misje zangu angeweza niweka kilema popote pale acha tu
 
Aisee sikujuaa alikuwa anatugongeaaa vidada vyetu VIZURI leoo NIMESHTUKA sana vibinti vimeitana vikaanza KULIA naambiwa Shemeji zakoo HAOO aisee

Na nimepishana navyo sana enzi hizo SAASABA usiku PENGINE niwashukuru labda walisaidia nkaishia kupigwa sachi tu WENGINE Wanaalama zakutoshaaa hahahaaa wanyasaaa awatamsahauuuu

KUMBE wezi ni ROMANTIC HIVYO NIMESHTUKA sanaa
 
Anakosoa watu wa Kilwa atapata anachokitafua hata hio simu asiione kabisa
Top garage imefunguliwa mdau inaitwa macarena kwa sasa, nakumbuka sana story yako ya Tom Boy alimsaga demu mwanafunzi hadi akajinyea nashangaa kumbe ulihamia Kawe hadi ukawa unapapaswa na marehemu mwizi huku ukiweka simu kwenye soksi
 
Hapo walikuwa wanamkubali sababu ya kutodhuriwa na huo ukabaji wake, sasa wakishampa t...mu basi tena kama unavyojua ukila mara moja basi mbili na tatu ni kawaida na hatimaye ni mazoea.
 
This is so sad really. Why did they have to kill him instead of apprehnding him to the police to face the full force of law?

That thief has the right to live and enjoy the fruits of John's fifth term.

Just imagine if it was you or it was your brother or father. Why do people in this nation never value life? Whyyyy?

Those people who killed that dude their hands are full of blood. And the guilty conscious will haunt them forever.

Imagine his family maybe wife and children are waiting where is daddy?

Every single life is precious and must be valued at all cost.

'If you never sin pick the stone'.

Am so saddened and heart broken by this loss.

Hata hivyo Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
 
Mkaldayo, hili yai uliondoka nalo au ulilikuta huko Kwa mzee Shmaiko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…