Mwizi uliyeiba i phone jua unaonekana mpaka kwako picha inajieleza

Mzalendo39

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
881
Reaction score
1,033
Majira ya saa 10 jioni mjomba wangu akiwa ndani daradara maeneo ya mbezi beach aliibiwa simu aina ya Iphone .... lakini baada ya kuifuatilia kupitia find my i phone simu inaonyesha mpaka chumba ilipo.

My friend ni wakati wa wezi kuacha vitendo vya wizi kulingana na technolojia kukua unaweza ukapoteza maisha au hata kifungo bila ya kutegemea kumbe ulichoiba kinakuumbua.....Ntaweka satelite map inavyomuonesha simu ilipo pamoja na makazi ..... huu ujumbe uwafikie wezi wote wa smat phone na iphones

Picha

Kutokana na shida ya kimtandao picha zimeshindwa kuja kwa wakati... tuendelee subiri picha zipo za satelite
 
Tunasubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…