Mwizi uliyeiba i phone jua unaonekana mpaka kwako picha inajieleza

Mwizi uliyeiba i phone jua unaonekana mpaka kwako picha inajieleza

Ha ha ha ha ha ha
ngoja nichangie ya kwakngu

I phone ukishatoa line hata ingekuwa ya mwamerica hampati mtu mkuuu
Kisha inafunguliwa
Una disconect battery
Baada ya hapo unapeleka kioo kuuza na housing kuuza unapata pesa nzuri tu
kama ulileta biashara hapa imekula kwako mpe pole mjomba ako, hakuna kitu kama hiyo mkuu
sahau kabisaaa kabisaaaa kupata hiyo simu
Ha ha ha ha ha ha
HIyo NJia Ya Kwanza
Njia ya pili
Ukibandua IC yake(naijua mimi) kisha simu unajaribu kuiwasha, ukisha the unaibandika tena simu inakuwa imepoteza kumbukumbu zote inasahau hadi imei zake
Ha ha ha ha
Umepigwa umepigwa tuuu
Hakuna chakupata I phone wala nini we unadhani ulimwengu huu unaweza kukamatika kirahsi sahau kabisa
next time usirudie kuleta matangazo hapa kuibia watu
nan ww unadanganya eti.hiyo IC unaijua wewe
 
Hizo picha labda ndio amekwenda kusafisha negative [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nan ww unadanganya eti.hiyo IC unaijua wewe
Mkuu sema mimi ndio sipendi id yangu ijulikane
ingia kariakoo ulizia wanakonunua i phone zenye lock ukishambiwa, waulize wao wanazifanyia nini,
Japo kubandua na kubandika ic sio i phone zote zinakubali ila shida yako hata nikitaka kukuthibitishia ni ic ipi inabanduliwa bado nikutoa maarifa bure pasipo faida
Pia kumbuka ukomo wa fikra zako sio kila mtu ataishia hapo na kama ulikuwa haujui simu zinazoongoza kwa security tunaangalia security ya nguvu yakutokuweza kudukuliwa ila sio ukiipoteza
Na simu zinazoongoza ni BB wala sio i phone unazozijua wewe, kama zinashindikana jiulize kwanini bado watu wanapigwa kila siku
 
nan ww unadanganya eti.hiyo IC unaijua wewe

Pia Jiulize IP Box Imetengenezwa kwa ajili gani?
usije jidanganya ukiwa na iphone ndio kila kitu broo kuna mda ukiwa mpole unaweza uliza kwa upole ukapata maarifa zaidi shida wabongo tunakariri ukiwa na uwezo wako na umesifiwa na watu wawili watatu ndio baasi
 
Mkuu sema mimi ndio sipendi id yangu ijulikane
ingia kariakoo ulizia wanakonunua i phone zenye lock ukishambiwa, waulize wao wanazifanyia nini,
Japo kubandua na kubandika ic sio i phone zote zinakubali ila shida yako hata nikitaka kukuthibitishia ni ic ipi inabanduliwa bado nikutoa maarifa bure pasipo faida
Pia kumbuka ukomo wa fikra zako sio kila mtu ataishia hapo na kama ulikuwa haujui simu zinazoongoza kwa security tunaangalia security ya nguvu yakutokuweza kudukuliwa ila sio ukiipoteza
Na simu zinazoongoza ni BB wala sio i phone unazozijua wewe, kama zinashindikana jiulize kwanini bado watu wanapigwa kila siku
ulitakiwa utueleze hiyo IC infanya fanya vipi kazi sio kusema eti naijua MIMI ili iweje? au ulitaka tuje huko pm.
 
Mleta mada sio umetupiga fix, mpaka sasa hamna picha uliyo-upload.
 
Labda kwenye android ha ha nakumbuka wife aliibiwa simu mwizi kila akijaribu kuifungua inampiga picha na kutuma location kwenye email tulienda kumkamata jamaa pale mawasiliano kwenye kibanda cha vocha
Usiombe nikuibe mm.. hutokaa uione...
Nilichogundua wezi wengi hawana shule kichwani hivyo hufanya kazi yetu ionekane ngumu.. kumbe manguli tunakuiba na huipati hata ashuke yesu.. uwe na IPHONE, SAMSUNG, INFINIX, TECNO na takataka zote... nikiitia mikononi hutoipata na lazima niitumie...
Hapa natumia simu ya WIZI NILIIBAGA UBUNGO...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulitakiwa utueleze hiyo IC infanya fanya vipi kazi sio kusema eti naijua MIMI ili iweje? au ulitaka tuje huko pm.
IC ya security ndio inabanduliwa ikishakuwa disconnected katika mathorboard ya simu kwa zaidi ya nusu saa inapoteza kumbukumbu,
Ukija kuibandika tena inafanya kazi vizuri ila huwa hatushauri kufanya hivyo kwasababu ya imei zote zinakuwa zimesajiliwa so inaleta ugumu kutumika simu labda upate iphone iliyokufa mashine kisha ukaitumia imei yake katika simu mpya ambayo ulibandua IC
 
Labda kwenye android ha ha nakumbuka wife aliibiwa simu mwizi kila akijaribu kuifungua inampiga picha na kutuma location kwenye email tulienda kumkamata jamaa pale mawasiliano kwenye kibanda cha vocha
Unaiset vp ili ipige picha

$ There's clear light at the end of the Tannel $
 
Mtoa mada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuona nakuona

Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu aliibiwa last week, binti yetu akatuma post na kuriport police. Mwizi aliirudisha fasta pale alipoiiba. Hii inasaidia kama mwizi ni mwoga.
True story.
 
Sio mchezo kweli vyuma vimekaza naona kila mbinu itatumika kulaleki!
 
Back
Top Bottom