Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa ni hivyo basi nitakuwa nahakikisha najitahidi kuibiwa makusudi.
Hahaha...mkuu kwani na wewe ni mwizi wa aifoni...maana ameudediketi kwa wezi wote wa simu
Alikuwa ndani ya daradaraUnanunus Iphone na unapanda daladala sasa usikute ni Iphone 5S au Iphone 6...
Umewaza nje ya boxNinahisi harufu kali ya biashara itaendelea hapa.
Mjini akili nyingi.
Haha ..Yan uwe na utundu wa kisearch simu iliyopotea halagu ushindwe ku upload picha jf!
Unanunus Iphone na unapanda daladala sasa usikute ni Iphone 5S au Iphone 6...