Mwizi uliyeiba i phone jua unaonekana mpaka kwako picha inajieleza

Mwizi uliyeiba i phone jua unaonekana mpaka kwako picha inajieleza

Unanunus Iphone na unapanda daladala sasa usikute ni Iphone 5S au Iphone 6...
 
Lengo la Uzi wa jamaa huyu yaweza kuwa NI:-

Mosi,KUCHIMBA biti kwa Mwizi huyo ili airudishe kwa mwenyewe au huyo Mwizi asiweze kuiwasha na kuanza kuitumia.

PILI, Biashara ,Mtu amfuate inbox ili amfundishe na kumsetia JINSI ya kuitafuta Simu iliyoibwa.


NOTE. Mimi nawashauri wanaotaka kujua JINSI ya kuitafuta Simu iliyoibwa, INGIA PLAY STORE,KISHA ANDIKA HOW TO FIND MY PHONE.Kisha I download hiyo program, Kisha itakuwa inakuelekeza yenyewe,Huhitaji hata kwenda kwa mtaalamu ukaliwa pesa zako.
 
Ndugu yangu aliibiwa last week, binti yetu akatuma post na kuriport police. Mwizi aliirudisha fasta pale alipoiiba. Hii inasaidia kama mwizi ni mwoga.
 
Back
Top Bottom