Mwizi uliyeiba i phone jua unaonekana mpaka kwako picha inajieleza

Mimi nilisha mdaka kupitia samsung find my phone.
 
Wizi upo Dunia nzima... so mfano wako wa umasikini hauendani kabisa... even serikali tajiri zinaibiana technology so cool down soma maisha yanavyoenda tu

Hayo maeneo wanayopora/iba simu na kuuza spares yote ni wana umasikini wa kutupwa, acha justification za ajabu kisa tu nchi yako watu wanafanya vitu vya kimaskini.

Umeona wapi duniani gari linapigwa ribiti kila kona, kuna nchi tajiri wanafanya huo upumbavu wenu? Nyumba zina bulgars kila sehemu, hata moto ukianza ghafla kama mmejifungia humo hamtoki.

Nchi yako ni masikini tu, one of the most poorest countries in the world, in fact ipo kwenye "ten best".
 
Majira ya saa 10 jioni mjomba wangu akiwa ndani daradara maeneo ya mbezi beach aliibiwa simu aina ya Iphone .... lakini baada ya kuifuatilia kupitia find my i phone simu inaonyesha mpaka chumba ilipo.

My friend ni wakati wa wezi kuacha vitendo vya wizi kulingana na technolojia kukua unaweza ukapoteza maisha au hata kifungo bila ya kutegemea kumbe ulichoiba kinakuumbua.....Ntaweka satelite map inavyomuonesha simu ilipo pamoja na makazi ..... huu ujumbe uwafikie wezi wote wa smat phone na iphones

Picha

Kutokana na shida ya kimtandao picha zimeshindwa kuja kwa wakati... tuendelee subiri picha zipo za satelite
Hivi mi kwa mini mnadhani kila mtu yuko jf? Nashindwaga elewa meseji kama hizi.
 
Hayo maeneo wanayopora/iba simu na kuuza spares yote ni wana umasikini wa kutupwa, acha justification za ajabu kisa tu nchi yako watu wanafanya vitu vya kimaskini.

Umeona wapi duniani gari linapigwa ribiti kila kona, kuna nchi tajiri wanafanya huo upumbavu wenu? Nyumba zina bulgars kila sehemu, hata moto ukianza ghafla kama mmejifungia humo hamtoki.

Nchi yako ni masikini tu, one of the most poorest countries in the world, in fact ipo kwenye "ten best".
Taja nchi tajiri nikupe facts za omba omba wao tena faster... tatizo hujui kuwa binadamu tunafanana kitabia... uvivu,wivu,wizi n.k kill nchi inawatu wenye same tabia na yako na yangu na ya yule... so nchi zinashindana idadi tu like rank ya Kwanza na ya mwisho... wizi wa vifaa vya magari ni dunia nzima even Japan used spares parts zinazokuja Tanzania au Africa ni za wizi huko Japan. .. wanaiba hadi gari zima wanakatakata zinapakiwa tunaojua hatusemi wewe unawaza tu maisha yanavyokwenda... inawezekana wewe unaishi kimaskini au una roho ya korosho na waonekana huishi vizuri na wanaokuzunguka
 
Ha ha ha ha ha ha
ngoja nichangie ya kwakngu

I phone ukishatoa line hata ingekuwa ya mwamerica hampati mtu mkuuu
Kisha inafunguliwa
Una disconect battery
Baada ya hapo unapeleka kioo kuuza na housing kuuza unapata pesa nzuri tu
kama ulileta biashara hapa imekula kwako mpe pole mjomba ako, hakuna kitu kama hiyo mkuu
sahau kabisaaa kabisaaaa kupata hiyo simu
Ha ha ha ha ha ha
HIyo NJia Ya Kwanza
Njia ya pili
Ukibandua IC yake(naijua mimi) kisha simu unajaribu kuiwasha, ukisha the unaibandika tena simu inakuwa imepoteza kumbukumbu zote inasahau hadi imei zake
Ha ha ha ha
Umepigwa umepigwa tuuu
Hakuna chakupata I phone wala nini we unadhani ulimwengu huu unaweza kukamatika kirahsi sahau kabisa
next time usirudie kuleta matangazo hapa kuibia watu
 
Taja nchi tajiri nikupe facts za omba omba wao tena faster... tatizo hujui kuwa binadamu tunafanana kitabia... uvivu,wivu,wizi n.k kill nchi inawatu wenye same tabia na yako na yangu na ya yule... so nchi zinashindana idadi tu like rank ya Kwanza na ya mwisho... wizi wa vifaa vya magari ni dunia nzima even Japan used spares parts zinazokuja Tanzania au Africa ni za wizi huko Japan. .. wanaiba hadi gari zima wanakatakata zinapakiwa tunaojua hatusemi wewe unawaza tu maisha yanavyokwenda... inawezekana wewe unaishi kimaskini au una roho ya korosho na waonekana huishi vizuri na wanaokuzunguka
Watu wanaweza kuwa omba omba ila wasiwe wezi, kubali au kataa. Niambie gari gani imetoka UK, US, Japan na ribiti za kufwa mtu. Sasa uliza ukilitoa bandarini unalipeleka wapi liwekwe ribiti ili tu watu wenye mentality kama zako za kimasikini wasichomoe taa nk!!!

Nchi yako ni masikini, tena ina ufukara wa kutupwa, mbaya zaidi watu wake/baadhi wana fikra za kimasikini sana.
 
Unamawazo mgando tu wewe kuna watu wameishi nchi hizo tajiri uziwazazo na bado wakatamani kuwa sungusungu Tanzania
 
Back
Top Bottom