Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Majira ya saa 10 jioni mjomba wangu akiwa ndani daradara maeneo ya mbezi beach aliibiwa simu aina ya Iphone .... lakini baada ya kuifuatilia kupitia find my i phone simu inaonyesha mpaka chumba ilipo.
My friend ni wakati wa wezi kuacha vitendo vya wizi kulingana na technolojia kukua unaweza ukapoteza maisha au hata kifungo bila ya kutegemea kumbe ulichoiba kinakuumbua.....Ntaweka satelite map inavyomuonesha simu ilipo pamoja na makazi ..... huu ujumbe uwafikie wezi wote wa smat phone na iphones
Picha
Kutokana na shida ya kimtandao picha zimeshindwa kuja kwa wakati... tuendelee subiri picha zipo za satelite
Kiboko ya wezi wa simuMajira ya saa 10 jioni mjomba wangu akiwa ndani daradara maeneo ya mbezi beach aliibiwa simu aina ya Iphone .... lakini baada ya kuifuatilia kupitia find my i phone simu inaonyesha mpaka chumba ilipo.
My friend ni wakati wa wezi kuacha vitendo vya wizi kulingana na technolojia kukua unaweza ukapoteza maisha au hata kifungo bila ya kutegemea kumbe ulichoiba kinakuumbua.....Ntaweka satelite map inavyomuonesha simu ilipo pamoja na makazi ..... huu ujumbe uwafikie wezi wote wa smat phone na iphones
Picha
Kutokana na shida ya kimtandao picha zimeshindwa kuja kwa wakati... tuendelee subiri picha zipo za satelite
Hili linadhihirisha jinsi gani nchi hii ilivyo na umasikini wa kutupwa, ndio maana tupo kwenye lile kundi la nchi maskini zaidi duniani.Sikuhizi hizo simu wakiziiba zinafunguliwa kisha zinasambazwa vifaa vinauzwa kama spares parts so mkiwa mnatarajia kuzipata mje niwape zawadi
Wizi upo Dunia nzima... so mfano wako wa umasikini hauendani kabisa... even serikali tajiri zinaibiana technology so cool down soma maisha yanavyoenda tuHili linadhihirisha jinsi gani nchi hii ilivyo na umasikini wa kutupwa, ndio maana tupo kwenye lile kundi la nchi maskini zaidi duniani.