[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yan uwe na utundu wa kusearch simu iliyopotea halafu ushindwe ku upload picha jf!
Wizi upo Dunia nzima... so mfano wako wa umasikini hauendani kabisa... even serikali tajiri zinaibiana technology so cool down soma maisha yanavyoenda tu
Hivi mi kwa mini mnadhani kila mtu yuko jf? Nashindwaga elewa meseji kama hizi.Majira ya saa 10 jioni mjomba wangu akiwa ndani daradara maeneo ya mbezi beach aliibiwa simu aina ya Iphone .... lakini baada ya kuifuatilia kupitia find my i phone simu inaonyesha mpaka chumba ilipo.
My friend ni wakati wa wezi kuacha vitendo vya wizi kulingana na technolojia kukua unaweza ukapoteza maisha au hata kifungo bila ya kutegemea kumbe ulichoiba kinakuumbua.....Ntaweka satelite map inavyomuonesha simu ilipo pamoja na makazi ..... huu ujumbe uwafikie wezi wote wa smat phone na iphones
Picha
Kutokana na shida ya kimtandao picha zimeshindwa kuja kwa wakati... tuendelee subiri picha zipo za satelite
Taja nchi tajiri nikupe facts za omba omba wao tena faster... tatizo hujui kuwa binadamu tunafanana kitabia... uvivu,wivu,wizi n.k kill nchi inawatu wenye same tabia na yako na yangu na ya yule... so nchi zinashindana idadi tu like rank ya Kwanza na ya mwisho... wizi wa vifaa vya magari ni dunia nzima even Japan used spares parts zinazokuja Tanzania au Africa ni za wizi huko Japan. .. wanaiba hadi gari zima wanakatakata zinapakiwa tunaojua hatusemi wewe unawaza tu maisha yanavyokwenda... inawezekana wewe unaishi kimaskini au una roho ya korosho na waonekana huishi vizuri na wanaokuzungukaHayo maeneo wanayopora/iba simu na kuuza spares yote ni wana umasikini wa kutupwa, acha justification za ajabu kisa tu nchi yako watu wanafanya vitu vya kimaskini.
Umeona wapi duniani gari linapigwa ribiti kila kona, kuna nchi tajiri wanafanya huo upumbavu wenu? Nyumba zina bulgars kila sehemu, hata moto ukianza ghafla kama mmejifungia humo hamtoki.
Nchi yako ni masikini tu, one of the most poorest countries in the world, in fact ipo kwenye "ten best".
Akileta picha nitagPicha bado tu
KakimbiaaAkileta picha nitag
huyu anaweka matangazo tu hakuna kitu kama hicho
Watu wanaweza kuwa omba omba ila wasiwe wezi, kubali au kataa. Niambie gari gani imetoka UK, US, Japan na ribiti za kufwa mtu. Sasa uliza ukilitoa bandarini unalipeleka wapi liwekwe ribiti ili tu watu wenye mentality kama zako za kimasikini wasichomoe taa nk!!!Taja nchi tajiri nikupe facts za omba omba wao tena faster... tatizo hujui kuwa binadamu tunafanana kitabia... uvivu,wivu,wizi n.k kill nchi inawatu wenye same tabia na yako na yangu na ya yule... so nchi zinashindana idadi tu like rank ya Kwanza na ya mwisho... wizi wa vifaa vya magari ni dunia nzima even Japan used spares parts zinazokuja Tanzania au Africa ni za wizi huko Japan. .. wanaiba hadi gari zima wanakatakata zinapakiwa tunaojua hatusemi wewe unawaza tu maisha yanavyokwenda... inawezekana wewe unaishi kimaskini au una roho ya korosho na waonekana huishi vizuri na wanaokuzunguka
Unamawazo mgando tu wewe kuna watu wameishi nchi hizo tajiri uziwazazo na bado wakatamani kuwa sungusungu TanzaniaWatu wanaweza kuwa omba omba ila wasiwe wezi, kubali au kataa. Niambie gari gani imetoka UK, US, Japan na ribiti za kufwa mtu. Sasa uliza ukilitoa bandarini unalipeleka wapi liwekwe ribiti ili tu watu wenye mentality kama zako za kimasikini wasichomoe taa nk!!!
Nchi yako ni masikini, tena ina ufukara wa kutupwa, mbaya zaidi watu wake/baadhi wana fikra za kimasikini sana.
Basi tukubali kutokubaliana!!Unamawazo mgando tu wewe kuna watu wameishi nchi hizo tajiri uziwazazo na bado wakatamani kuwa sungusungu Tanzania