Mkuu sema mimi ndio sipendi id yangu ijulikane
ingia kariakoo ulizia wanakonunua i phone zenye lock ukishambiwa, waulize wao wanazifanyia nini,
Japo kubandua na kubandika ic sio i phone zote zinakubali ila shida yako hata nikitaka kukuthibitishia ni ic ipi inabanduliwa bado nikutoa maarifa bure pasipo faida
Pia kumbuka ukomo wa fikra zako sio kila mtu ataishia hapo na kama ulikuwa haujui simu zinazoongoza kwa security tunaangalia security ya nguvu yakutokuweza kudukuliwa ila sio ukiipoteza
Na simu zinazoongoza ni BB wala sio i phone unazozijua wewe, kama zinashindikana jiulize kwanini bado watu wanapigwa kila siku