MWIZI WA GARI AKIFANYA MICHEZO YA HATARI HUKO MJINI MELBOURNE AUSTRALIA

MWIZI WA GARI AKIFANYA MICHEZO YA HATARI HUKO MJINI MELBOURNE AUSTRALIA

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Mwanaume wa miaka 36, huko mjini Melbourne nchini Australia amekamatwa na polisi baada ya kuruka katika gari ambayo inasadikika iliibiwa.

Mtuhumiwa huyo alianza kukimbizwa na polisi baada ya kushindwa kusimama kwenye trafiki.

Mapema ijumaa polisi walipewa taarifa ya kuibiwa kwa gari katika barabara ya St kilda huko mjini Melbourne mnamo saa 5.40am.
Credit to 7newsmelbourne
 

Attachments

  • 7newsmelbourne_20250711_reel_3674271629091134795_1_3674271629091134795.mp4
    36.6 MB
Huyu alikuwa na matatizo ya akili.

ndani ya viunga vya Basra.
 
Kwa wale ambao hawajafungua....
Naomba nitoe shortly description..

Wakuu kiufupi jamaa anakimbia na gari as if anaigiza maana mapolisi kila wanapoongezeka Jamaaa anawakwepa mpaka kuna polia alikua anachungulia dilishani akajikuta anapigwa na butwaa bahati mbaya
 
Jamaa kama yupo kwenye GTA vile.
Huyo tutaambiwa ana matatizo ya Aqil. Ingekuwa ule upande mwengine tungeambiwa vingine.
 
Back
Top Bottom