OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa hiyo hapo ndio anasikika?Acha ubishi, nimemsikia na kumuona live .....nikabaki nashangaa tu. View attachment 2593185
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hapo ndio anasikika?Acha ubishi, nimemsikia na kumuona live .....nikabaki nashangaa tu. View attachment 2593185
Huyu ni kondoo wa Mwakasege amba hataki kusikia lolote baya Kuhusu Mwakasege,na hata akiambiwa Mwakasege kakutwa na mkeo,huyu atabisha,hata akionyeshwa Kuwa Mwakasege yule pale yupo na mkeo bado atabisha.Umeandika Uongo kwa kusudi unalolijua
Hivi Kwanini wanaweka hizo account namba,M-PESA,Tigo pesa,airtel money ili tuwatumie Sadaka si biashara hii Jamani?Nilipiga picha hizi wakati anaongeaView attachment 2593188View attachment 2593189View attachment 2593190
Video iko wapiHuyu mpigaji siku nyingi ndio mnaanza kumshtukia mmechelewa
Umemsikia sio kumsikiliza. Sisi tumemsikiliza muda tukamshtukia huyu bwana wa mavuno. Anatokea watu wakivuna na mafundisho mengi ya sadaka na zaka.Mwakasege hawezi kusema hayo katu.Nimeanza kumsikia mwakasege nikiwa na miaka 10 saiv niko 34
Hapo inamaanisha kaenda mbinguni hili gumu kumtetea hawa makanjanja wa imaniNimemsikiliza vizuri Sana ..na kasema kama ulivyosema ila mbona kaanza Kwa kusema " "wakati nimelala nikanza kuona maono nafsi inavyo nyanyuka mpaka kufika mbinguni akaanza kuona hayo maono ya kukuta na huyo Musa na akajihami usiulize amemjuaje akasema alitambulishwa ...
Sasa wewe unavyoiweka ni kama ya mama mdogo wako zumaridi..acha upotoshaji man.. mbona unakuaga mjinga we mzee
Picha haiongei.Nilipiga picha hizi wakati anaongeaView attachment 2593188View attachment 2593189View attachment 2593190
Kwani haujasoma comments za watu wengine waliomsikia akisema hayo...lakini kwà kua ni wafuasi wake...wanamtetea kwà kupindisha sentensi wakisema alienda Mbinguni kwà kunyakuliwa mara kwà ndoto...wanajikanyagakanyaga tu!Picha haiongei.
Huwezi kusema nimesikia fulani amesema hivi tukikuuliza uthibitishe utuletee picha!
Hakuna ulichothibitisha.
Hao ni kondoo wake, ...hawawezi kukubaliana na ukweli. Maana tayari weshakua misukule wake...they can't think by themselvesHapo inamaanisha kaenda mbinguni hili gumu kumtetea hawa makanjanja wa imani
Tunapaswa kuwa makini sana Watanzania.Umemsikia sio kumsikiliza. Sisi tumemsikiliza muda tukamshtukia huyu bwana wa mavuno. Anatokea watu wakivuna na mafundisho mengi ya sadaka na zaka.
Kasema kwamba alienda mbinguni au alichukuliwa kwenda mbinguni?
Mwakasege hawezi kusema hayo katu.Nimeanza kumsikia mwakasege nikiwa na miaka 10 saiv niko 34
Hii ni stage mbaya sana. Kumtumaini mwanadamu badala ya Mungu.Huyu ni kondoo wa Mwakasege amba hataki kusikia lolote baya Kuhusu Mwakasege,na hata akiambiwa Mwakasege kakutwa na mkeo,huyu atabisha,hata akionyeshwa Kuwa Mwakasege yule pale yupo na mkeo bado atabisha.
Kwenda na kuchukuliwa/kupelekwa unaona ni maneno yenye maana sawa? Ina maana huoni kuna kutenda na kutendewa hapo?
Wa kulaumiwa awe mwalimu wako wa Kiswahili kama unaona hayo maneno yanabeba mantiki moja...
Yote tisa..
Kumi, kama ww huamini anachofundisha mwl mwakasege kuhusu siku za mwisho na kwenda mbinguni bas ww fuata mafundisho yako unayoamini ambayo yatakufikisha mbinguni
NB: pita njia yako na mm nipite yangu kikubwa tukutane mbinguni
Sasa wewe ndio uko pamoja na mimi..ushuhuda huu nimeuskia toka kwake zaid ya miaka 15 iliopita.. na ninao kwenye radio casette ya kanda zake enzi hizoooo...pamoja mkuu.
NB
namheshimu sana mwakasege
tuwekee video,hizo tuhuma zako ni nzito sana,siyo kila mtu wa kumfanyia mzaha,ni mbaya sana..
Ukisoma mwanzo mwisho utanielewa, mbinguni sio kijiji bali ulimwengu wa roho, au nawe unaamini mbinguni kijiji au jiji flani juu?