Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Mwakasege hajaenda mwaka huu,ni miaka mingi iliyopita wakati anaanza hudumaMwaka huu Yesu kapokea wageni sana uko mbinguni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwakasege hajaenda mwaka huu,ni miaka mingi iliyopita wakati anaanza hudumaMwaka huu Yesu kapokea wageni sana uko mbinguni.
Aah! Mi sina tatizo kizuri wanasema unakula na mwenzio..je, na wewe utakua tayari muda ukifika? Au nd'o yale ya changu chako chako chako?Mkeo si huwa anakaa kushoto kwako? Nipe connection niongee nae Mkuu kama hutokua na wivu wa kibrazil! [emoji23]
Mistake ni ipi na upupu ni upi?One mistake can destroy your whole career.
sasa ndio kaongea upupu gani huyu mnyaki?
Hahahaha kyoma bhana!Aah! Mi sina tatizo kizuri wanasema unakula na mwenzio..je, na wewe utakua tayari muda ukifika? Au nd'o yale ya changu chako chako chako?
Hata mimiKama ni kweli, nmemshusha chini.
Sasa picha ndo maneno?Nilipiga picha hizi wakati anaongeaView attachment 2593188View attachment 2593189View attachment 2593190
Kuna dogo mmoja hivi , muimbaji wake wa kiume , simuoni kabisa siku hizi yule jamaa,...sijui ndo keshatoka tunduni? Maana siku hizi yupo huyu bonge wa kiume ..anaimba kwà mic PEKE yake wakati yule alikua anaimba huku akipiga kinanda! Simuoni siku hizi kabisa aisee!!Mwakasege nae kashaanza upumbavu. Atapoteza heshima yake yote aliyojijengea kwa miaka mingi.
Hata mi nashangaa,suala la mtumishi wa Mungu kupewa maono ya mbinguni au kuchukuliwa kiroho mbinguni wala sio ishu ya ajabu,hata Stefano wakati anapigwa mawe kabla ya kufa aliona Mbingu inafunguka kwa ajili yake,sula lililopo ni kujua nani anasema kweli basiKwani hapo mnachopinga ni nini? Mbona Paulo katika 2 Korintho 12:2-19 anashuhudia namna Mungu alivyomnyakua na kuuona utukufu wa Mbinguni.
Kweli naamini Neno linalosema hata mtu akitoka kuzimu sasa na kjwaletea wanadamu habari za maisha ya wafu mtakataa.
Let's assume ni kweli wanakwenda Mbinguni, ndio waje na story za aina hiyo?Hata mi nashangaa,suala la mtumishi wa Mungu kupewa maono ya mbinguni au kuchukuliwa kiroho mbinguni wala sio ishu ya ajabu,hata Stefano wakati anapigwa mawe kabla ya kufa aliona Mbingu inafunguka kwa ajili yake,sula lililopo ni kujua nani anasema kweli basi
hujiulizi jina FREEMASON na maovu inayo semelezewa haviendani??Ndio wanatawala iman za madhehebu mengi
kumbe,,!.Mwakasege hajaenda mwaka huu,ni miaka mingi iliyopita wakati anaanza huduma
Mimi ambacho sioni ajabu ni suala la mtumishi kuchukuliwa kiroho kwenda mbinguni,kama kuna suala la ujumbe kama unavyosema mimi sijui maana yeye alienda miaka mingi iliyopita kama alikuja na ujumbe au la sijui,maana sijawahi kwenda.Let's assume ni kweli wanakwenda Mbinguni, ndio waje na story za aina hiyo?
Zumaridi aliishia kusema Mbinguni kuna tugorofa turefuuu
Huyu nae anasema alikutana na Musa + Yesu... ( Kwà nijuavyo mtu yeyote akipata nafasi au bahati ya kuzuru mbinguni lazima arudi ama na meseji au report )
Wanasema mbinguni ni kama uuonavyo mfumo wa simu upande wa SMS/ TEXT
( Kuna message sent na delivery report )
Meaning ukienda mbinguni....lazima uje na kimoja wapo...kutushuhudia ulichokiona kwenye kiganja cha Mungu.
Isaiah 53:1 ,Who has believed our message/ report and to whom has the arm of the LORD been revealed?
View attachment 2593431
MATHAYO 24:4-5-11-23-24Wadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Ni kweli , niliwahi kumcompare Huyo Mwalimu na Mwamposa ....lengo langu lilikua ni kuonyesha matumizi ya Neno la Mungu.Mimi ambacho sioni ajabu ni suala la mtumishi kuchukuliwa kiroho kwenda mbinguni,kama kuna suala la ujumbe kama unavyosema mimi sijui maana yeye alienda miaka mingi iliyopita kama alikuja na ujumbe au la sijui,maana sijawahi kwenda.
Kuna mtu hapo juu katoa mfano wa Paulo,na Ufunuo wa Yohana,kwahio suala ni mtu kuamini au kuacha basi,Kuna watu wanaamini kuna Mungu wengine wanasema hakuna Mungu ni maamuzi tu.
Ila najua kwako ni vigumu kukubali maana kuna Uzi uliopita pia ulileta humu ukimzungumzia Mwakasege negatively ukimlinganisha na Mwamposa unayemwamini wewe,Kwahio huwa unamfuatilia Mwakasege sio kujifunza ila kutafuta wapi umkosoe,Ndio maana hata hii habari umeanza na eti...?
Hata Nyoka alipotaka kumdanganya Eve pale eden alianza na hayo hayo maneno eti?...akaendelea
Kwa mtu aliyetaka maoni huru ungeleta habari kama ilivyo uache mjadala ufanyike ila umeleta kwa mrengo Fulani hivi.
Dangerous World!Nilikua namuona anaakili huyu Nigga kumbe maandazi tu na yeye
Propaganda za warumi katika kuhujumu dini ya waisraeli,. wayahudi wenyewe walimtimua huyu jamaa. Hakupokelewa yeye pamoja na matapeli wenzake aliowatengeneza.Wadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Freemason wamewaweza kweli Wakristo kuwaamisha sura ya Brian Decor kuwa ndie Yesu, hata wakitokewa na jinni washariri ni YESU.
Kama alivyowakaririsha wanaotokewa na shetani akijifanya ni Bikira Maria, Bikira Maria ajawahi mtokea mwanadamu yeyeto yule tangu alipoondoka duniani ile ni michezo ya majini.