Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

sina hakika kama aliyoyaandika yana ukweli ndani yake

Mwakasege ni Mwl,hajawahi hata kujiita mchungaji,au askofu

leo hii aje ayaseme hayo ya muandika huu UZI,nina mashaka na hilo!

i am a pure KKKT namjua mwakasege tangu enzi na enzi,siamini na bado

sitoamini mpaka nione uthibitisho wa audio au video niyasikie maneno ya mwakasege!

ila ki ufupi Nchi hiii mtumishi wa Mungu niliebaki nikimuamini ni MWAKASEGE,kama haya

yatathibitishwa nikayasikia akiyatamka kweli,naaapa kwa jina la BABA mimi ntabaki mkristo JINA.
Ndo kasema sasa leo! Tena Dodoma kabisa!
 
Wadau kwema?

Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)

Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.

Dah! Hii kitu imekaaje wadau?

Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.

Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!

Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!

(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Mungu ni mwema siku zote.

Ninamtumainia yeye all the way
 
umemsikilizaa ukaaelewa au wewe ukadak tu kipande cha kusema alienda mbinguni, nina hofu mno na uelewa wako mwandishi na nia yako
You be the judge! Na wala usidhai nimeandika ili kumuhukumu huyo Mwalimu wenu.

Nimeandika ili kuwaonyesha wakristo trend inayoendelea hivi sasa katika Taifa letu...ya wanaojiita watumishi kusema wanakwendaga mbinguni kukutana na Yesu, Mitume au manabii.

Haya mambo yalikua huko Zimbabwe, now yameingia TANZANIA. ( Zimbabwe kuna Pastor anasema yeye ana namba mpaka ya Mungu asee)
 
umemsikilizaa ukaaelewa au wewe ukadak tu kipande cha kusema alienda mbinguni, nina hofu mno na uelewa wako mwandishi na nia yako
Wala hata usiwe na hofu, woga, wasiwasi na mashaka ya aina yeyote kuhusu Mimi.

I Am only a human being like you..., Jitahidi sana kumcha Mungu kwa kuwa na hofu yake, Kumuogopa, kuwa na wasiwasi na kwà kuwa na mashaka nae, hasa pale unapojiona umetenda yasiyo mapenzi yake. #GodIsWatching

Hayupo Mwanadamu atakayekupeleka Mbinguni. Mtumaini Bwana Ndugu yangu!!!
 
Wadau kwema?

Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)

Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.

Dah! Hii kitu imekaaje wadau?

Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.

Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!

Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!

(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Freedom of expression.hata mm naweza Sema nilienda mbinguni nikakuta shetni anaimba mapambio na watakatifu wengne huku akiwashangaa wanadam wakitenda maovu afu wanamsingizia.so don't bother your mind with those people.
 
Back
Top Bottom