Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Acha uhuni na uzandiki weka hio video hapa, watanzania walivo wepesi wataamini uongo huu bila akili evidence hamna tayari wanachotwa akili Pastor hajasema huo utopolo tatizo Yanga Utopolo mmepanic sana
Check comment YAKO ya juu huyo jamaa alivyokiri....lakini bado anataka kumtetea!!
 
Wadau kwema?

Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)

Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.

Dah! Hii kitu imekaaje wadau?

Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.

Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!

Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!

(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Dunia ipo mwishoni, aliongea zumaridi tulijua ni mwendawazimu 😂
 
Heaven is my throne and the earth is my footstool, Mungu anataka kila mtu amtafute kimpango wake na kisha amjengee nyumba yake na Mahala pa kupumzikia.

I mean, ukiwa hai,...hupaswi kwenda mbinguni huko juu..bali Mungu ndiye hukufuata pale ulipo huku chini....( Ndio maana ni muhimu sana kuwa na nuru ya yake ambayo ndio nyumba yake , na pia kuwa na Mwanga wa Neno lake, ambao ni Sawa na Mahala pake pa kupumzikia)

Siku Ukifa....anakuchukua nakukupeleka kwenye makao yake. Huko watu huishi juu ya SHERIA kwasababu wote wanakua walishakufa huku duniani.

Huku duniani kila mtu mwenye uhai lazima awe chini ya SHERIA, na haruhusiwi kamwe kufika mbinguni mpaka afe kwanza. Utaratibu ni kwamba , yeye atakua anafuatwa na Mungu kama alivyokua anafuatwa Yesu Kristo , mfano pale mlimani wakati anasali alifuatwa na manabii waliotumwa na Mungu...#rejea habari ya vibanda vitatu



"Unapozuru wengine , usinipite Mungu...." Ni nani aliimba haka ka wimbo vile?
Alisema wakikutana ndotoni hiyo ni kitu ya kawaida,watu unadhani wanapataje maono?
Kiufupi ukiwa vizuri rohoni vitu kama hivyo siyo vigeni
Mfano mimi binafsi mara nyingi huwa napata ujumbe kupitia ndoto na mara nyingi huwa ni kweli,
 
Huyu jamaa nae kumbe wale wale tu
Huwezi elewa badi.
Mbinguni sio lazima upae, ni kuchukuliwa katika ulimwengu wa roho, yaani kupewa ufunuo, jicho la ndani na sikio la ndani liweze kuongea na wale walio katika maumbo ya kiroho.

Yesu akiwa na Petro, Yohana na Yakobo waliweza kupanda mlimani, wote wakageuzwa macho wakamwona Musa na Eliya wakasema nao.

Petro akaona ni mahali patamu sana.
Akamuomba Yesu wajenge vibanda 3...
Kimoja cha Musa
Elia na Yesu.
Haya mambo ni ya watu wa Rohoni sio ya akina:
mzabzab DeepPond wala dronedrake 🤣🤣🤣🤣
 
Mamboo ya kiroho ni ngumu
kuyaelewa,kama huyaishi na
kuyafahamu.
Ni vigumu kumkosoa au kumuamini
Mtumishi yeyote kama kiwango
chako cha kumjua Mungu ni
kidogo.
MF;
Kanisani mvivu kwenda,
Biblia husomi,
Wokovu umeukataa,
Kuomba au Kuombea watu huwezi.
Hujawahi kumsikia Mungu akisema na wewe nk..nk
Ushuhuda alioutoa Mwakasege leo,na somo alilofundisha
nausadiki&sina shaka nao
kama ambavyo sikuwa&shaka
na ushuhuda unaofanana na
huu wa Marehemu Dr Moses
Kulola.
Nimalizie hivi;
Je,umeokoka?Yesu ni Bwana na Mwokozi kwako?
Acheni pigo hizi. Na usinichukulie poa kabisa bob! Mimi ni level zingine kabisa. Na kiufupi , nilishawahi kutokewa na Yesu nikiwa kwenye ndoto....na aliniokoa kutoka kwà watu wa giza.

Alikua akisema nami kwà lugha ya ishara tu. Vazi lake lilikua jeupe sana linawaka kama taa!

Kama Yesu asingenitokea kwenye msitu ule wenye giza totoro...wale watu waliokua wananikimbiza gizani na nikawa nakimbilia nisikukujua...wangenikamata sidhani kama ningekua hai mpaka sasa.

Lakini aliweza kuniokoa pale tu walipotaka kunikamata.

Kesho yake nilivyostuka usingizini.....Nikajikuta safari yangu inakua nyepesi sana kwani nilikua stranded katikati ya maadui ( BhokoHaram) huko nchini Cameroon. ( enzi hizo Hao jamaa walikua wameisha penetrate mpaka Cameroon)
 
wafanyayo behind the scene watajuana na Mungu,lakini kuwapakazia watu ubaya,wakati wanatangaza mema,tena unaandika na uzi ili kupata comment nyingi,na hauweki ushahidi,unawaambia wajitafutie ushahidi,,ni mbaya sana..
Sasa huoni comment za watu wengine wanaosema waliona pia? Na kwà kuwa ni wafuasi wake wanamtetea?
 
Alisema wakikutana ndotoni hiyo ni kitu ya kawaida,watu unadhani wanapataje maono?
Kiufupi ukiwa vizuri rohoni vitu kama hivyo siyo vigeni
Mfano mimi binafsi mara nyingi huwa napata ujumbe kupitia ndoto na mara nyingi huwa ni kweli,
Sawa. Je ulishawahi kwenda mbinguni?
 
Huwezi elewa badi.
Mbinguni sio lazima upae, ni kuchukuliwa katika ulimwengu wa roho, yaani kupewa ufunuo, jicho la ndani na sikio la ndani liweze kuongea na wale walio katika maumbo ya kiroho.

Yesu akiwa na Petro, Yohana na Yakobo waliweza kupanda mlimani, wote wakageuzwa macho wakamwona Musa na Eliya wakasema nao.

Petro akaona ni mahali patamu sana.
Akamuomba Yesu wajenge vibanda 3...
Kimoja cha Musa
Elia na Yesu.
Haya mambo ni ya watu wa Rohoni sio ya akina:
mzabzab DeepPond wala dronedrake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapakua mbinguni pale Ndugu.
 
Nimemsikiliza vizuri Sana ..na kasema kama ulivyosema ila mbona kaanza Kwa kusema " "wakati nimelala nikanza kuona maono nafsi inavyo nyanyuka mpaka kufika mbinguni akaanza kuona hayo maono ya kukuta na huyo Musa na akajihami usiulize amemjuaje akasema alitambulishwa ...
Sasa wewe unavyoiweka ni kama ya mama mdogo wako zumaridi..acha upotoshaji man.. mbona unakuaga mjinga we mzee
Moja ya Point Muhimu iko hapo''
Wakati amelala? C ndio!
Hivyo Ni sasahihi kabisa, unaweza kupewa ujumbe na maono ukiwa umelala'
Hivyo hakuwa Katika physical Body.
Sasa Mtumishi anaweza kuona maono'
Ila jinsi ya kuyaelezea yanaweza leta mtawanyiko kwa baadhi ya watu.
 
HEAVENLY EXPERIENCES ARE REAL, BUT WE MUST TEST THE SPIRITS TO CONFIRM IF THE MESSAGE IS FROM THE LORD.
Ndugu zangu.
Kuhusu heavenly experience, Mtume Paulo alizungumza jambo hili
2 Wakorintho 12:2-4
[2]Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu.
I knew a man in Christ above fourteen years ago, (whether in the body, I cannot tell; or whether out of the body, I cannot tell: God knoweth such an one caught up to the third heaven.
[3]Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua);
And I knew such a man, (whether in the body, or out of the body, I cannot tell: God knoweth.
[4]ya kuwa alinyakuliwa mpaka Peponi, akasikia maneno yasiyotamkika, ambayo haijuzu mwanadamu ayanene.

Kwakuwa Mwakasege tunamfahamu Kwa matunda yake inawezekana kabisa alipelekwa Mbinguni kwa maono au ndoto na kumuona Yesu Kristo na watakatifu ambao wamefanikiwa kuingia Mbinguni akimtaja Nabii Musa, na kuzungumza nao.

Inapaswa utubu na kuishi maisha matakatifu sana na Maombi kuweza kufunuliwa mambo ya rohoni hasahasa kuhusu ulimwengu wa Roho.
HATA wewe unaweza experience hiki kitu Kwa neema tu za Mungu ila pia ni Bora zaidi na Kuna baraka kubwa kumwamini Yesu Kristo bila HATA kumuona kwa macho kama ilivoandikwa

Yohana 20:29
[29]Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.
Jesus saith unto him, Thomas, because thou hast seen me, thou hast believed: blessed are they that have not seen, and yet have believed.
 
Possible maana Leo mafundisho yake yalikua hayo hayo na akaongelea kuhusu kusulubiwa mpk yule mtu aliyemdhihaki Yesu kipindi anasulubiwa@MzeewaKipusa
Acheni hizi mambo nyie walokole wa Mabwepande. Acheni kutisha watu bhana. Mimi nilishatoka huko katika hiyo hatua ya IGNORANCE, now nipo katika hatua ya CONFIDENCE. Imani thabiti ndiyo inanifanya nijiamini....
 
Back
Top Bottom