Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Freemason wamewaweza kweli Wakristo kuwaamisha sura ya Brian Decor kuwa ndie Yesu, hata wakitokewa na jinni washariri ni YESU.
Kama alivyowakaririsha wanaotokewa na shetani akijifanya ni Bikira Maria, Bikira Maria ajawahi mtokea mwanadamu yeyeto yule tangu alipoondoka duniani ile ni michezo ya majini.
Siyo bahati mbaya Deacon alichaguliwa.Fear the Holy catholic church
 
Nadhani wewe itakuwa hujamsikiliza sana...

Katika ushuhuda wa utumishi wake jinsi alivyoanza, ameshawahi simulia jinsi alivyokuwa akiugua sana kiasi cha kukatiwa tamaa ya kuishi na wakati huo ndipo alipotokewa na Yesu Kristo, akaoneshwa mambo yake yajayo na hayo ya kupelekwa mbinguni...
Sasa wewe ndio uko pamoja na mimi..ushuhuda huu nimeuskia toka kwake zaid ya miaka 15 iliopita.. na ninao kwenye radio casette ya kanda zake enzi hizoooo...pamoja mkuu.
NB
namheshimu sana mwakasege
 
Wadau kwema?

Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)

Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.

Dah! Hii kitu imekaaje wadau?

Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.

Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!

Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!

(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Mbengo zikafongoke chioni ya leo🙏🙏
 
Huwezi kupelekwa mbinguni ukiwa hai bhana!

Hata Yesu Kristo alipokua hai, aliwahi kwenda mlimani kusali na wafuasi kadhaa....ndipo mitume wakatoka mbinguni na kumfuata alipo ....mmoja wa wawafuasi akasema tujenge vibanda vitatu...
Naomba niongezee, kama ayasemayo siyo kweli na njia aifundishayo siyo ya kweli basi kila mtu afuate njia yake then tutakutana mbinguni.

Naona wengi wanadhani kupelekwa mbinguni kiroho ni jambo ambalo halipo kwa kutegemea nadharia na mafundisho ya wanadamu yadanganyayo juu ya kitendo hicho.
 
K
Huwezi kupelekwa mbinguni ukiwa hai bhana!

Hata Yesu Kristo alipokua hai, aliwahi kwenda mlimani kusali na wafuasi kadhaa....ndipo mitume wakatoka mbinguni na kumfuata alipo ....mmoja wa wawafuasi akasema tujenge vibanda vitatu...
Kwani Yohana aliandikaje kitabu cha ufunuo.? Au vipi kuhusu Nabii Isaya na manabii wengine pia walipelekwa kwa maono .
 
Kuna mambo mawili
1. Hukuelewa Mwl Mwakasege anafundisha nini. Nachojua huyo mwl yupo deep kwa mambo ya rohoni sana kwaio kama umekurupukia chakula cha watu wazima na ww n mtt basi huwezi elewa. Yan lazima uwe na kitu kwanza rohoni ndo unaweza kuunganisha doti . Na hiki na asilimia nacho kubwa.
2. Ni kumharibia tu mtumishi wa wa2. Nuru na giza ni mbali mbali na vinakinzana. Kwa mtu mwereve na mkomavu kiroho hasambazi udhaifu wa mtumishi asiyemwelewa bali anakuwa na chujio binafsi la kuchuja kipi achukue na kipi hakigusi moyo wake kwaio aachane nacho. Kwaio ww kuckia tu na kukimbia dukan kununua vocha dukan uje umkosea uku, mtu mkomavu asingechukua hatua izo bali mshabiki anawezafanya ivo kwaio kwa mantiki hio narudi pale pale point 1, ww ni darasa la 4 umeenda kusoma reproduction form 3 kwaio utaona ni vichekesho n
 
Kwani akienda Mbinguni kuna ubaya gani?
Sio kirahisirahisi hivyo bana! KWANZA mambo ya mbinguni ni forbidden kuyaelezea publically.

Hata Yesu aliwahi kusema publically ya kwamba " kama ninawaambia habari za duniani hamsadiki, vipi nikiwaeleza za mbinguni? "

Maana yake, anyone anayesema amefika mbinguni na kutupa details za huko publically ni Muongo!
 
Kuna mambo mawili
1. Hukuelewa Mwl Mwakasege anafundisha nini. Nachojua huyo mwl yupo deep kwa mambo ya rohoni sana kwaio kama umekurupukia chakula cha watu wazima na ww n mtt basi huwezi elewa. Yan lazima uwe na kitu kwanza rohoni ndo unaweza kuunganisha doti . Na hiki na asilimia nacho kubwa.
2. Ni kumharibia tu mtumishi wa wa2. Nuru na giza ni mbali mbali na vinakinzana. Kwa mtu mwereve na mkomavu kiroho hasambazi udhaifu wa mtumishi asiyemwelewa bali anakuwa na chujio binafsi la kuchuja kipi achukue na kipi hakigusi moyo wake kwaio aachane nacho. Kwaio ww kuckia tu na kukimbia dukan kununua vocha dukan uje umkosea uku, mtu mkomavu asingechukua hatua izo bali mshabiki anawezafanya ivo kwaio kwa mantiki hio narudi pale pale point 1, ww ni darasa la 4 umeenda kusoma reproduction form 3 kwaio utaona ni vichekesho n
Usintishe bhana! I have written what I know and testified to what I have seen. Period!!

Mtumishi Mtumishi kitu gani bhana! Acheni habari zenu za kilokole bhana! Mnaudharirisha ukristo bhana!!
 
Back
Top Bottom