Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

One mistake can destroy your whole career.

sasa ndio kaongea upupu gani huyu
Usichukuliwe na maneno ya huyu mwehu..
Bora angezingatia somo alilokuwa anafundisha.Kwa bahati mbaya adui yuko makini sana amefanya yale ya mbegu ilianguka kwenye miiba.
Huyu jamaa hajaanza Leo hizi kampeni zake alileta mjadala wa kumponda na kumpandisha mwamposa
 
Nimemsikiliza vizuri Sana ..na kasema kama ulivyosema ila mbona kaanza Kwa kusema " "wakati nimelala nikanza kuona maono nafsi inavyo nyanyuka mpaka kufika mbinguni akaanza kuona hayo maono ya kukuta na huyo Musa na akajihami usiulize amemjuaje akasema alitambulishwa ...
Sasa wewe unavyoiweka ni kama ya mama mdogo wako zumaridi..acha upotoshaji man.. mbona unakuaga mjinga we mzee
Kwani unadhani hao kina Zumaridi na Geordavie wanaendaga Mbinguni kwà style zipi?


Hiyo inaitwa Astral Projection ( inapendwa sana na wapiga nyeto,....wakiona demu mchana , wanamzoom kisha ikifika usiku wamfuata kipopobawa na kumuingilia kimwili)
60975119z.jpg
 
Wadau kwema?

Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)

Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.

Dah! Hii kitu imekaaje wadau?

Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.

Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!

Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!

(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
I AGREE WITH HIM, BUT WE WOULD BE BOTH WRONG
 
Usichukuliwe na maneno ya huyu mwehu..

Huyu jamaa hajaanza Leo hizi kampeni zake alileta mjadala wa kumponda na kumpandisha mwamposa
Watu kama hawa ndo somo lilikuwa linafundishwa leo .Watu wamefungwa kwenye madhabau zenye mafundisho ya makristo waongo kweli kweli..Neema iliyoachiliwa leo ikawaguse wengi kwakweli.
 
Ukweli ndio huo. Yesu anarudi. Japo maandiko yanasema kwa MUNGU siku Moja ni sawa na Miaka elfu.

Andaa moyo wako Ndugu, hapa Duniani hakuna maisha yadumuyo. Ni heri ungemuelewa Mwl Mwakasege ukatengeneza mambo Yako. Utakuja kumshukuru
Wanadamu wote tunaelewa nusu tu;.. kama tungekua tunaelewa yote tungeweza kuumba mtu.

Hakuna aijuaye siku wala saa Ndugu yangu! Usintishe bhana wewe Muha!
 
Usichukuliwe na maneno ya huyu mwehu..

Huyu jamaa hajaanza Leo hizi kampeni zake alileta mjadala wa kumponda na kumpandisha mwamposa
Kah! Nshakua Mwehu tena bob!. astakafirura,..nimekusamehe Ndugu! Maana wewe Nakufananisha kama wale waumini waliokua wanaandamana kumtetea Mchungaji Kimario wa pale KKKT

#Acheni kuwafuata watu kiasi hicho...mfuateni Yesu...yeye ndiye njia ya kweli na uzima! Salvation is personal!
 
Kwenda na kuchukuliwa/kupelekwa unaona ni maneno yenye maana sawa? Ina maana huoni kuna kutenda na kutendewa hapo?

Wa kulaumiwa awe mwalimu wako wa Koswahili kama unaona hayo maneno yanabeba mantiki moja...
Hapa issue ni MBINGUNI
 
Kwani hapo mnachopinga ni nini? Mbona Paulo katika 2 Korintho 12:2-19 anashuhudia namna Mungu alivyomnyakua na kuuona utukufu wa Mbinguni.

Kweli naamini Neno linalosema hata mtu akitoka kuzimu sasa na kjwaletea wanadamu habari za maisha ya wafu mtakataa.
 
Hakuna MTU mwenye Akili timamu na Mwema kweli anaweza kusema hivyo, kwani huo ni Uongo na pia ni hadithi za watoto.

Lakini kama unaamini Biblia na Quran basi huna sababu ya kumpinga Mwakasege,
 
Watu hubadirika kila sekunde,...ni vyema ukalitambua hili.

Huyo Bwanaako umuonavyo saa hii sio kama atakavyokua baada ya saa mbili zijazo. Unaweza kushangaa now unacheka nae afu ukajikuta unalala huku unalia
Ni kweli mkuu.....ila hapo kwenye Bwana nimecheka sanaa mimi Bwana wangu Yesu ni yeye yule jana leo na hata milele, HABADILIKI KAMWE
 
Ni kweli mkuu.....ila hapo kwenye Bwana nimecheka sanaa mimi Bwana wangu Yesu ni yeye yule jana leo na hata milele, HABADILIKI KAMWE
No sleep No slumber! ...Mtu mwenye Spirit ya Yesu huwa halalagi ...mara nyingi huwa anakua na usingizi wa mang'amung'amu....

I mean, wale watu wanaopenda kufanya astral projection kuingia kwenye nyumba za watu ...wakifika tu...spirit yake inakua very alert.

Mchawi akikuta roho iko macho huwa hawezi kuilazimisha ilale au kuizuru! #MidaYaWanga
 
Back
Top Bottom