MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
- #21
Nilipiga picha hizi wakati anaongeaView attachment 2593188View attachment 2593189Tuwekee audio hapa .
Ama sivyo tutahukumu bila ushahidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipiga picha hizi wakati anaongeaView attachment 2593188View attachment 2593189Tuwekee audio hapa .
Ama sivyo tutahukumu bila ushahidi.
Kweli aiseeZumaridi alionewa tu
Hatari sana. Mimi baada ya kusema hivyo, nikaamua kupiga picha kabisa tukio. Kisha nikatoka nje kwenda kununua vocha ili nijiunge bando , niwape hili tukio. Nimeshangaa sana!Na kuna watu wakatoa na sadaka alivyosema hvyo
Tumerogwa
Dini au ukiristo!?Mimi dini huwa zinanichanganya kichwa sana.
Itakua kajisahauHuyu jamaa nae kumbe wale wale tu
Hiyo Imani Ina mazuzu wengi mno,haishangazi kuitwa kondooHatari sana. Mimi baada ya kusema hivyo, nikaamua kupiga picha kabisa tukio. Kisha nikatoka nje kwenda kununua vocha ili nijiunge bando , niwape hili tukio. Nimeshangaa sana!
Daah hii ni hatari sana wadau!Mwaka huu Yesu kapokea wageni sana uko mbinguni.
Hi yule Yesu wa tongaren aliishia wapi mkuu!? Baada ya kula Pasaka vipi aligongelewa nchi 6 au!? Wakenya Wana vituko... Mara marehemu yehova Wanyonyi!....dahLabda Yesu wa Tongaren
Zumaridi wanamuonea maana akisema yeye wanasema anapotosha wakisema wengine aah freshWadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Daah sioni picha nimeupdate lakini waapi dahhhAcha ubishi, nimemsikia na kumuona live .....nikabaki nashangaa tu. View attachment 2593185
Mara ZumaridiMwaka huu Yesu kapokea wageni sana uko mbinguni.
Ni sawa tuu na waislam wakisujudu huwa wanapulizwa makalioniFreemason wamewaweza kweli Wakristo kuwaamisha sura ya Brian Decor kuwa ndie Yesu, hata wakitokewa na jinni washariri ni YESU.
Kama alivyowakaririsha wanaotokewa na shetani akijifanya ni Bikira Maria, Bikira Maria ajawahi mtokea mwanadamu yeyeto yule tangu alipoondoka duniani ile ni michezo ya majini.
Kaongea hivyo daah...afu Dodoma kabisa bila aibu ,..macho makavuuuuu daahItakua kajisahau
Mwakasege kabisa afu nilikua naangalia nimetoka kupokea simu nimeingia chumbani [emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hee kumbe kaongea hvyo
Wafuasi wa Mwakasege na Zumaridi ni rahisi sana kuwajuaUmeandika Uongo kwa kusudi unalolijua