Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Ndo maana mi ukiniambia habari za dini huwa sielewi wala habari za manabii dijui mitume najua kuna supperpower ambayo binadam wote tunatakiwa kuiheshimu but ukiniuliza ni mungu mm sijui na hiyo ndo ninaiheshimu na kuiabudu
 
Nimemsikiliza vizuri Sana ..na kasema kama ulivyosema ila mbona kaanza Kwa kusema " "wakati nimelala nikanza kuona maono nafsi inavyo nyanyuka mpaka kufika mbinguni akaanza kuona hayo maono ya kukuta na huyo Musa na akajihami usiulize amemjuaje akasema alitambulishwa ...
Sasa wewe unavyoiweka ni kama ya mama mdogo wako zumaridi..acha upotoshaji man.. mbona unakuaga mjinga we mzee
 
Ukweli ndio huo. Yesu anarudi. Japo maandiko yanasema kwa MUNGU siku Moja ni sawa na Miaka elfu.

Andaa moyo wako Ndugu, hapa Duniani hakuna maisha yadumuyo. Ni heri ungemuelewa Mwl Mwakasege ukatengeneza mambo Yako. Utakuja kumshukuru
 
Mwakasege hawezi kusema hayo katu.Nimeanza kumsikia mwakasege nikiwa na miaka 10 saiv niko 34

Nadhani wewe itakuwa hujamsikiliza sana...

Katika ushuhuda wa utumishi wake jinsi alivyoanza, ameshawahi simulia jinsi alivyokuwa akiugua sana kiasi cha kukatiwa tamaa ya kuishi na wakati huo ndipo alipotokewa na Yesu Kristo, akaoneshwa mambo yake yajayo na hayo ya kupelekwa mbinguni...
 
Nimemsikiliza vizuri Sana ..na kasema kama ulivyosema ila mbona kaanza Kwa kusema " "wakati nimelala nikanza kuona maono nafsi inavyo nyanyuka mpaka kufika mbinguni akaanza kuona hayo maono ya kukuta na huyo Musa na akajihami usiulize amemjuaje akasema alitambulishwa ...
Sasa wewe unavyoiweka ni kama ya mama mdogo wako zumaridi..acha upotoshaji man.. mbona unakuaga mjinga we mzee
Bora angezingatia somo alilokuwa anafundisha.Kwa bahati mbaya adui yuko makini sana amefanya yale ya mbegu ilianguka kwenye miiba.
 
Back
Top Bottom