Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu kaja kuipigia Dodoma!Daaaah Hatari sana ,hii ni zaidi ya ndoige itakuwa msangambuga.
Sasa picha inasaidia nini..si uweke hiko kipande alichotamka hayo?Acha ubishi, nimemsikia na kumuona live .....nikabaki nashangaa tu. View attachment 2593185
Fuatilia kwenye youtube kama bado iko hewani...irudishe nyuma. Utamsikia!Ntakua wa mwisho kuamini
Wanyakyusa wameamua kuwekeza katika uongo wa kirohoWadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Yupo anajiandaa kupaaHi yule Yesu wa tongaren aliishia wapi mkuu!? Baada ya kula Pasaka vipi aligongelewa nchi 6 au!? Wakenya Wana vituko... Mara marehemu yehova Wanyonyi!....dah
Mmh ntafatilia.....until then sina cha kusemaFuatilia kwenye youtube kama bado iko hewani...irudishe nyuma. Utamsikia!
Kama nasema uongo...nigeuke nyau!!
Sasa hizo picha ndio uthibitisho.? Hizo picha zinatoa sauti au umekazana nazo tuu.?Nilipiga picha hizi wakati anaongeaView attachment 2593188View attachment 2593189View attachment 2593190
Ww ndio uende huko youtube utuletee video na sio pichaFuatilia kwenye youtube kama bado iko hewani...irudishe nyuma. Utamsikia!
Kama nasema uongo...nigeuke nyau!!
Wanatofautiana jinsia na rangi tu ila wote ni mafakeni tuHuyu jamaa nae kumbe wale wale tu
Acha kuwaogopa hawa watu! Ni wa kawaida sana,...tena huenda wewe ukawa vyema kuliko wao,..ni kwamba haujapata tu nafasi ya kuyajua wayafanyao behind the camera!Mmh ntafatilia.....until then sina cha kusema
Ilikua live,...akili ya haraka haraka ilinituma kupiga picha!Sasa picha inasaidia nini..si uweke hiko kipande alichotamka hayo?
Siwaogopi ila ninamfahamu huyu Mzee kwa kiasi chake....ovaAcha kuwaogopa hawa watu! Ni wa kawaida sana,...tena huenda wewe ukawa vyema kuliko wao,..ni kwamba haujapata tu nafasi ya kuyajua wayafanyao behind the camera!
Iyo ni plan "B".Mara Zumaridi
Mara Mwakasege
Yeye na Zumaridi hawana tofauti ni jinsia tuWadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Baada ya miaka 300 wwtakuww na makundi makubwa sana hawa na ndo watakuwa kama yesu wa kwenye bibilia na tutakuwa na bibilia ingine kabisaWadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Imani yangu ni kwamba....hicho kipande kitaanza kusambaa kuanzia usiku huu au kuanzia kesho ....God willing!Sasa hizo picha ndio uthibitisho.? Hizo picha zinatoa sauti au umekazana nazo tuu.?
Watakuja na mwendokasi za mbinguniIyo ni plan "B".
bado wapo watafunguka zaidi wakishachanganya sasa tukaona kawaida watarudi na zawadi kutoka mbinguni kwa Yesu kama nguo,vyakula n,k na vitauzwa kwa bei ya juu.
Mimi ndo mana nilisema waliokuwa wanamponda mfalme zumaridi ni kwamba aliwazidi airtime tuuu , lakini sio kusema kuwa wapo sahihi , hawa mitume na manabii mbona tunawaelewa na tupo nao kitaa sema na wao ni wataftaji hvyo tunakaushaHuyu jamaa nae kumbe wale wale tu