Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Freemason wamewaweza kweli Wakristo kuwaamisha sura ya Brian Decor kuwa ndie Yesu, hata wakitokewa na jinni washariri ni YESU.
Kama alivyowakaririsha wanaotokewa na shetani akijifanya ni Bikira Maria, Bikira Maria ajawahi mtokea mwanadamu yeyeto yule tangu alipoondoka duniani ile ni michezo ya majini.
FREEMASON ha hayo ulio andika hawausiani
 
Wadau kwema?

Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)

Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.

Dah! Hii kitu imekaaje wadau?

Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.

Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!

Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!

(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Unaposafiri kwa TAZARA kati ya Mlimba na Ifakara kuna sehemu inaitwa Mbingu. Nadhani alikwenda huko.
 
No sleep No slumber! ...Mtu mwenye Spirit ya Yesu huwa halalagi ...mara nyingi huwa anakua na usingizi wa mang'amung'amu....

I mean, wale watu wanaopenda kufanya astral projection kuingia kwenye nyumba za watu ...wakifika tu...spirit yake inakua very alert.

Mchawi akikuta roho iko macho huwa hawezi kuilazimisha ilale au kuizuru! #MidaYaWanga
Mkuu hapa umemrefer nani? Mwl Mwakasege au?
 
Yote tisa..

Kumi, kama ww huamini anachofundisha mwl mwakasege kuhusu siku za mwisho na kwenda mbinguni bas ww fuata mafundisho yako unayoamini ambayo yatakufikisha mbinguni

NB: pita njia yako na mm nipite yangu kikubwa tukutane mbinguni
 
Wadau kwema?

Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)

Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.

Dah! Hii kitu imekaaje wadau?

Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.

Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!

Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!

(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya
Nadhani wengi wanatoa maoni yao bila kupata taarifa sahihi ya nini alikuwa anazungumzia na ilikuwa lini tukio hilo lilipotokea.

Binafsi nimesikia akisema hilo lilitokea nyakati hizo wakati ameokoka miaka hiyo na alisema alipelekwa huko akiwa ndotoni na siyo kuwa alienda live kwa kupanga.

Mpaka nimekumbuka neno lake la leo ambalo kwa asilimia kubwa lilijikita juu ya wokovu pamoja na manabii na walimu wa uongo.
 
Na kama ww ni mfuatiliaji wa mafundisho yake hii ni mara ya pili ametamka hili jambo

Watu wa rohoni wanaelewa kitu ambacho roho wa Mungu analiambia kanisa kuhusu habari ya siku za mwisho na unyakuo

Hakika hizi ni siku za mwisho na roho ya udanganyifu inaendelea kulitawanya kundi la wateule
 
Kama uko vizuri rohoni ni rahisi kuwasiliana na Mungu,siwezi kuwapinga
Heaven is my throne and the earth is my footstool, Mungu anataka kila mtu amtafute kimpango wake na kisha amjengee nyumba yake na Mahala pa kupumzikia.

I mean, ukiwa hai,...hupaswi kwenda mbinguni huko juu..bali Mungu ndiye hukufuata pale ulipo huku chini....( Ndio maana ni muhimu sana kuwa na nuru yake ambayo ndio nyumba yake , na pia kuwa na Mwanga wa Neno lake, ambao ni Sawa na Mahala pake pa kupumzikia)

Siku Ukifa....anakuchukua nakukupeleka kwenye makao yake. Huko watu huishi juu ya SHERIA kwasababu wote wanakua walishakufa huku duniani.

Huku duniani kila mtu mwenye uhai lazima awe chini ya SHERIA, na haruhusiwi kamwe kufika mbinguni mpaka afe kwanza. Utaratibu ni kwamba , yeye atakua anafuatwa na Mungu kama alivyokua anafuatwa Yesu Kristo , mfano pale mlimani wakati anasali alifuatwa na manabii waliotumwa na Mungu...#rejea habari ya vibanda vitatu

"Unapozuru wengine , usinipite Mungu...." Ni nani aliimba haka ka wimbo vile?
 
Yote tisa..

Kumi, kama ww huamini anachofundisha mwl mwakasege kuhusu siku za mwisho na kwenda mbinguni bas ww fuata mafundisho yako unayoamini ambayo yatakufikisha mbinguni

NB: pita njia yako na mm nipite yangu kikubwa tukutane mbinguni
Safari ya mbinguni ni personal. Achana na hizo sugarcoated teachings Ndugu yangu
 
Yote tisa..

Kumi, kama ww huamini anachofundisha mwl mwakasege kuhusu siku za mwisho na kwenda mbinguni bas ww fuata mafundisho yako unayoamini ambayo yatakufikisha mbinguni

NB: pita njia yako na mm nipite yangu kikubwa tukutane mbinguni
Werevu wanakusaidia ushtuke kutoka kwenye usingizi wa kuwafuata hawa wajasiriamali wa biblia, wewe unadadisi.
 
Nadhani wengi wanatoa maoni yao bila kupata taarifa sahihi ya nini alikuwa anazungumzia na ilikuwa lini tukio hilo lilipotokea.

Binafsi nimesikia akisema hilo lilitokea nyakati hizo wakati ameokoka miaka hiyo na alisema alipelekwa huko akiwa ndotoni na siyo kuwa alienda live kwa kupanga.

Mpaka nimekumbuka neno lake la leo ambalo kwa asilimia kubwa lilijikita juu ya wokovu pamoja na manabii na walimu wa uongo.
Huwezi kupelekwa mbinguni ukiwa hai bhana!

Hata Yesu Kristo alipokua hai, aliwahi kwenda mlimani kusali na wafuasi kadhaa....ndipo mitume wakatoka mbinguni na kumfuata alipo ....mmoja wa wawafuasi akasema tujenge vibanda vitatu...
 
Na kama ww ni mfuatiliaji wa mafundisho yake hii ni mara ya pili ametamka hili jambo

Watu wa rohoni wanaelewa kitu ambacho roho wa Mungu analiambia kanisa kuhusu habari ya siku za mwisho na unyakuo

Hakika hizi ni siku za mwisho na roho ya udanganyifu inaendelea kulitawanya kundi la wateule
Oya, Acheni hizi mambo nyie walokole! Mnatuudhi wengine bhana!!
 
Back
Top Bottom