MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
- #141
Utakutana na hiyo clip soon. Labda waifiche!!!Mkuu picha mgando tutaamini vipi maneno yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakutana na hiyo clip soon. Labda waifiche!!!Mkuu picha mgando tutaamini vipi maneno yako?
Mbna huo mstari unachomaanisha ni kwamba ukiambiwa mambo ya mbinguni hautasadiki kwa sababu ya duniani tuu husadiki... huu mstari unakuhusu wewe zaidi kuliko unavyomuhusu mwakasege. Sababu umeambiwa mambo ya mbinguni na hujasadiki........ kusadiki means kuaminiSio kirahisirahisi hivyo bana! KWANZA mambo ya mbinguni ni forbidden kuyaelezea publically.
Hata Yesu aliwahi kusema publically ya kwamba " kama ninawaambia habari za duniani hamsadiki, vipi nikiwaeleza za mbinguni? "
Maana yake, anyone anayesema amfika mbinguni na kutupa details za huko publically ni Muongo!
Kupelekwa mbinguni sio issue ngeni...
Wapo watu kibao tu walioshuhudia hivyo, na hata sio wahubiri...
Meditate + Sali na kuomba sana. Sometimes jipe likizo ya kutowasikiliza wanadamu. Msikilize Mungu,...na Mungu aliyesirini atakuelekeza na kukukumbusha kila kitu.Naomba niongezee, kama ayasemayo siyo kweli na njia aifundishayo siyo ya kweli basi kila mtu afuate njia yake then tutakutana mbinguni.
Naona wengi wanadhani kupelekwa mbinguni kiroho ni jambo ambalo halipo kwa kutegemea nadharia na mafundisho ya wanadamu yadanganyayo juu ya kitendo hicho.
Kama ukweli wa alichoongea unao tuwekee hapa hiyo clip tuisikilize la sivyo utakuwa mpayukaji na mfuasi wake wa huyo anayejihita Mwalimu Mwakasege.Umeandika Uongo kwa kusudi unalolijua
Leta sasa icho kipande cha video tuone, tutaaamini vipi kupitia izo picha ulizopiga kama ndo alikua anatamka ayo maneno. No evidence no right to speak na ndo maana mahakimu mahakamani watu kama nyiny wanatamanigi wawakande kwanza akili ziwakae vizuri,Usintishe bhana! I have written what I know and testified to what I have seen. Period!!
Mtumishi Mtumishi kitu gani bhana! Acheni habari zenu za kilokole bhana! Mnaudharirisha ukristo bhana
hata mimi nimehisi hivyo,mtumishi kama mwakasege hawezi ongea hivyo hata siku moja,,mbaya sana kumsingizia ubaya,mtu anaetangaza wema...Umeandika Uongo kwa kusudi unalolijua
Nilikua naongelea issue ya doctrines ( Mafundisho). Ni vyema ukatambua Neno la Mungu ni Sawa na Mwili wako.Mbna huo mstari unachomaanisha ni kwamba ukiambiwa mambo ya mbinguni hautasadiki kwa sababu ya duniani tuu husadiki... huu mstari unakuhusu wewe zaidi kuliko unavyomuhusu mwakasege. Sababu umeambiwa mambo ya mbinguni na hujasadiki........ kusadiki means kuamini
Exactly! Point iko apahata mimi nimehisi hivyo,mtumishi kama mwakasege hawezi ongea hivyo hata siku moja,,mbaya sana kumsingizia ubaya,mtu anaetangaza wema...
Mimi nimeandika nilichokisikia na kukiona. Na wapo baadhi ya watu humu wamekiri kusikia nakuona nilichokiandika...lakini kwakua ni wafuasi wa Mwl.Mwakasege , wanapindisha sentensi , kuupaka ukweli rangi.hata mimi nimehisi hivyo,mtumishi kama mwakasege hawezi ongea hivyo hata siku moja,,mbaya sana kumsingizia ubaya,mtu anaetangaza wema...
tuwekee video,hizo tuhuma zako ni nzito sana,siyo kila mtu wa kumfanyia mzaha,ni mbaya sana..Acha ubishi, nimemsikia na kumuona live .....nikabaki nashangaa tu. View attachment 2593185
Nimesema issue ilikua live. Nimsingizie huyo jamaa nipate nini? Mimi nilichoshangaa ni kuona nae anakua na swaga kama za Zumaridituwekee video,hizo tuhuma zako ni nzito sana,siyo kila mtu wa kumfanyia mzaha,ni mbaya sana..
kwa nini usimwambie aliyeleta mada aweke ushahidi?ili wote tuone na kusikia?Kama ukweli wa alichoongea unao tuwekee hapa hiyo clip tuisikilize la sivyo utakuwa mpayukaji na mfuasi wake wa huyo anayejihita Mwalimu Mwakasege.
Wadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Ni image waliyoichagua lakini haifanani na YesuSiyo bahati mbaya Deacon alichaguliwa.Fear the Holy catholic church
Ndio wanatawala iman za madhehebu mengiFREEMASON ha hayo ulio andika hawausiani
Mamboo ya kiroho ni ngumuWadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
wafanyayo behind the scene watajuana na Mungu,lakini kuwapakazia watu ubaya,wakati wanatangaza mema,tena unaandika na uzi ili kupata comment nyingi,na hauweki ushahidi,unawaambia wajitafutie ushahidi,,ni mbaya sana..Acha kuwaogopa hawa watu! Ni wa kawaida sana,...tena huenda wewe ukawa vyema kuliko wao,..ni kwamba haujapata tu nafasi ya kuyajua wayafanyao behind the camera!
When people fail at something, they deny it, they lie about it , they put much colors on it to look glamorous ,to look beautiful!Kuna mambo mengine yanahitaji uelewa mzuri.Unakijua Kitu kinaitwa MAONO wewe? Nimemsikiliza nilimuelewa alichosema.Nilijua lazima kuna watu amewaachanganya,hasa wale wenye hengi over ya interview ya Milad Ayo na Zumaridi.