Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Anatuchukuliaje? 😅😅Huyu jamaa nae kumbe wale wale tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatuchukuliaje? 😅😅Huyu jamaa nae kumbe wale wale tu
Kila la heri watu wa rohoniHuwezi elewa badi.
Mbinguni sio lazima upae, ni kuchukuliwa katika ulimwengu wa roho, yaani kupewa ufunuo, jicho la ndani na sikio la ndani liweze kuongea na wale walio katika maumbo ya kiroho.
Yesu akiwa na Petro, Yohana na Yakobo waliweza kupanda mlimani, wote wakageuzwa macho wakamwona Musa na Eliya wakasema nao.
Petro akaona ni mahali patamu sana.
Akamuomba Yesu wajenge vibanda 3...
Kimoja cha Musa
Elia na Yesu.
Haya mambo ni ya watu wa Rohoni sio ya akina:
mzabzab DeepPond wala dronedrake 🤣🤣🤣🤣
Anahisi sisi ni ma foooAnatuchukuliaje? 😅😅
Mi sio mlokole brooo na sio mkristo kabisa my friendAcheni hizi mambo nyie walokole wa Mabwepande. Acheni kutisha watu bhana. Mimi nilishatoka huko katika hiyo hatua ya IGNORANCE, now nipo katika hatua ya CONFIDENCE. Imani thabiti ndiyo inajifanya nijiamini....
Hizi Imani zinahitaji uvumilivu sana aisee. Vinginevyo unaweza timuliwa churchAnahisi sisi ni ma fooo
Phambaf weww😂😂Kila la heri watu wa rohoni
Hizo ni human teachings.... Na hata biblically Mbinguni pameelezewa kwà nadharia tu ....Ukisoma mwanzo mwisho utanielewa, mbinguni sio kijiji bali ulimwengu wa roho, au nawe unaamini mbinguni kijiji au jiji flani juu?
Si serikal ilikataza mambo hayaa.. sijawahi hudhuria semina za huyu mwamba ila nikiwa jeshi nilishangaa had wanajeshi wanapanga kwenda semina zake .....nkashangaaa sanaWadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Nyie watu vipi? Mnafel wapi? Mbona mnamtetea sana huyo jamaa. Kubalini tu kuwa leo kachemka!Moja ya Point Muhimu iko hapo''
Wakati amelala? C ndio!
Hivyo Ni sasahihi kabisa, unaweza kupewa ujumbe na maono ukiwa umelala'
Hivyo hakuwa Katika physical Body.
Sasa Mtumishi anaweza kuona maono'
Ila jinsi ya kuyaelezea yanaweza leta mtawanyiko kwa baadhi ya watu.
Wadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Kwani uko kwenu hskina mazuzu?.Au unataka kuonyesha ujinga wako.Dini zenyewe za watu hizi usijifanye umeshakua mtume.Hiyo Imani Ina mazuzu wengi mno,haishangazi kuitwa kondoo
Hayo maandiko uliyoyatoa Yako deep sana kuyaelewa.HEAVENLY EXPERIENCES ARE REAL, BUT WE MUST TEST THE SPIRITS TO CONFIRM IF THE MESSAGE IS FROM THE LORD.
Ndugu zangu.
Kuhusu heavenly experience, Mtume Paulo alizungumza jambo hili
2 Wakorintho 12:2-4
[2]Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu.
I knew a man in Christ above fourteen years ago, (whether in the body, I cannot tell; or whether out of the body, I cannot tell: God knoweth such an one caught up to the third heaven.
[3]Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua);
And I knew such a man, (whether in the body, or out of the body, I cannot tell: God knoweth.
[4]ya kuwa alinyakuliwa mpaka Peponi, akasikia maneno yasiyotamkika, ambayo haijuzu mwanadamu ayanene.
Kwakuwa Mwakasege tunamfahamu Kwa matunda yake inawezekana kabisa alipelekwa Mbinguni kwa maono au ndoto na kumuona Yesu Kristo na watakatifu ambao wamefanikiwa kuingia Mbinguni akimtaja Nabii Musa, na kuzungumza nao.
Inapaswa utubu na kuishi maisha matakatifu sana na Maombi kuweza kufunuliwa mambo ya rohoni hasahasa kuhusu ulimwengu wa Roho.
HATA wewe unaweza experience hiki kitu Kwa neema tu za Mungu ila pia ni Bora zaidi na Kuna baraka kubwa kumwamini Yesu Kristo bila HATA kumuona kwa macho kama ilivoandikwa
Yohana 20:29
[29]Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.
Jesus saith unto him, Thomas, because thou hast seen me, thou hast believed: blessed are they that have not seen, and yet have believed.
Naona sasa visa za kwenda mbinguni zinapatikana kirahisi. Vituko vikubwa!Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Je,wote wanaoihubiri Injili ni wasaka pesa?Hela zinatafutwa kwa kila njia, hasa uongo na hadaa ni njia kuu kwa wachungaji kuwaaminisha uongo wanaowasikiliza na kupata fedha kwa njia ya sadaka, utapeli mtupu.
You be the judge! Na wala usidhani nimeandika ili kumuhukumu huyo Mwalimu wenu.kwanza uliyeleta huu uzi , tukulize unaelewa nini kuhusu mbiguni na jee unamini mbinguni kupo, kama una mini kupo unahisi wataokwenda mbinguni wataendaje watapanda daladala au wataenda kwa uweza wa MUNGU , yapo mambo mawili kwa mwandishi wa huu uzi either unauelewa mdogo sana kuhusu mambo ya ukristo au umekuj kutafta sifa hapA
Je,wote wanaoihubiri Injili ni wasaka pesa?
PoleAll 100% wako after money