Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Maisha ya Kikristo ni rahisi semaa mtoa mada unayatia ugumu...

naamini mafundisho ya mwakasege yanakugusa that why ukaamua kuangalia.
Sikiliza mafundisho chukua yale yanayokufaa kwenye safari yako ya mbinguni yatendee kazi...

siwezi kuamini kwamba hujawai pata kitu cha kukufaa kutoka kwa huyu mwalimu.. haya mengine ni ngumu kumeza kwako yaache tuu
 
Umeandika Uongo kwa kusudi unalolijua
Huyu ni kondoo wa Mwakasege amba hataki kusikia lolote baya Kuhusu Mwakasege,na hata akiambiwa Mwakasege kakutwa na mkeo,huyu atabisha,hata akionyeshwa Kuwa Mwakasege yule pale yupo na mkeo bado atabisha.
 
Hapo inamaanisha kaenda mbinguni hili gumu kumtetea hawa makanjanja wa imani
 
Picha haiongei.

Huwezi kusema nimesikia fulani amesema hivi tukikuuliza uthibitishe utuletee picha!

Hakuna ulichothibitisha.
Kwani haujasoma comments za watu wengine waliomsikia akisema hayo...lakini kwà kua ni wafuasi wake...wanamtetea kwà kupindisha sentensi wakisema alienda Mbinguni kwà kunyakuliwa mara kwà ndoto...wanajikanyagakanyaga tu!
 
Hapo inamaanisha kaenda mbinguni hili gumu kumtetea hawa makanjanja wa imani
Hao ni kondoo wake, ...hawawezi kukubaliana na ukweli. Maana tayari weshakua misukule wake...they can't think by themselves
 
Umemsikia sio kumsikiliza. Sisi tumemsikiliza muda tukamshtukia huyu bwana wa mavuno. Anatokea watu wakivuna na mafundisho mengi ya sadaka na zaka.
Tunapaswa kuwa makini sana Watanzania.
 
Kasema kwamba alienda mbinguni au alichukuliwa kwenda mbinguni?

Haina tofauti, usijidai mwalimu wa Vitenzi shirikishi, destination ni mbinguni regardless, na hiyo naamini ni kinyume na maandiko.
 
Huyu ni kondoo wa Mwakasege amba hataki kusikia lolote baya Kuhusu Mwakasege,na hata akiambiwa Mwakasege kakutwa na mkeo,huyu atabisha,hata akionyeshwa Kuwa Mwakasege yule pale yupo na mkeo bado atabisha.
Hii ni stage mbaya sana. Kumtumaini mwanadamu badala ya Mungu.

Niliona issue ya Mch. Kimario wa pale KKKT, alipopewa ile barua ya kupumzika kwà siku 60. Ulicheki ile mizombie ilivyoanza kuandamana na mabango kumtetea? Yaani ikajisahau kabisa na ikataka kufanya fujo yote hiyo ni kumtetea mtu. Dah, ngachoka mie!
 
Kwenda na kuchukuliwa/kupelekwa unaona ni maneno yenye maana sawa? Ina maana huoni kuna kutenda na kutendewa hapo?

Wa kulaumiwa awe mwalimu wako wa Kiswahili kama unaona hayo maneno yanabeba mantiki moja...

Wewe ndo rubish kabisa, argument yalo haipo relevant na lengo la agenda inayojadili.

Ni sawa na tunajadili uhalali wa vita sudan, wewe unaulizia silahi zinazotumkka, issue ni uhalali.
 
Yote tisa..

Kumi, kama ww huamini anachofundisha mwl mwakasege kuhusu siku za mwisho na kwenda mbinguni bas ww fuata mafundisho yako unayoamini ambayo yatakufikisha mbinguni

NB: pita njia yako na mm nipite yangu kikubwa tukutane mbinguni

Uelewa wako ni mdogo sana
 
Sasa wewe ndio uko pamoja na mimi..ushuhuda huu nimeuskia toka kwake zaid ya miaka 15 iliopita.. na ninao kwenye radio casette ya kanda zake enzi hizoooo...pamoja mkuu.
NB
namheshimu sana mwakasege

Endelea kumheshimu, ni jambo jema
 
Ukisoma mwanzo mwisho utanielewa, mbinguni sio kijiji bali ulimwengu wa roho, au nawe unaamini mbinguni kijiji au jiji flani juu?

Swala sio wewe unaamini nn, swala ni yameandikwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…