Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

Kwa kuwa jicho la tatu halipo kimaandiko,

Hayo ni mafundisho ya WANADAMU na mashetani hivyo Wana wa Mungu hatupaswi kuyafuata.

Macho ya MWILI hayabadulisgwi kuwa ya Roho,

Ila mtu wa ndani ambaye ni wewe, Roho ana macho mawili.
Mimi Gamic nina macho matatu . Na jicho langu la tatu ndilo jicho la Roho-13 yangu . Jicho langu la tatu ndiyo taa ya mwili wangu. Jicho langu la tatu ni zima. Jicho langu la tatu ni zuri. Mathayo 6:22.
 
Mimi kila siku naenda mbinguni kwa meditation kwa kutumia GANJA

Ila sijawahi kumuona yesu!
Yuko mfalme mwingine kibiblia anaitwa mfalme wa anga.Ukimwona huyu huwezi kumwona Yesu.Jitahidi uache ganja na kuanza kumtafuta Yesu ni rahisi tu
 
Mimi Gamic nina macho matatu . Na jicho langu la tatu ndilo jicho la Roho-13 yangu . Jicho langu la tatu ndiyo taa ya mwili wangu. Jicho langu la tatu ni zima. Jicho langu la tatu ni zuri. Mathayo 6:22.
Mathew 6:22

Inaongelea jicho la mwili,

Hiyo namba 13 unatumika na Giza,

Narudia jicho la tatu ni uchawi.

Wana wa Mungu tuna macho ya rohoni na yameandikwa ndani ya BIBLIA
 
Mathew 6:22

Inaongelea jicho la mwili,

Hiyo namba 13 unatumika na Giza,

Narudia jicho la tatu ni uchawi.

Wana wa Mungu tuna macho ya rohoni na yameandikwa ndani ya BIBLIA
Upeo wako kuhusu uelewa wa mambo ya kiroho ni mdogo. Roho-13 yangu ambayo ina mwanga wa jicho langu la tatu ndiyo inayo angaza mwili wangu. Siruhusu mwanga wa macho yangu mawili ya nyama uangaze Roho-13 yangu maana hii ni mianga yenye utafauti mkubwa.


Walokole bhana ... Mnajiita walokole lakini mko mbali na wokovu. Sio kila atajaye Bwana Bwana kama mnavyofanya walokole mtaingia katika ufalme wa mbinguni. Siku ya mwisho Yesu Kristo atasema hawajui nyinyi.

Namba 13 inabeba mwanga wangu halisi kutoka mbinguni.
 
Really? I don't want to believe that, slightly and slowly Mwalimu Mwakasege Is turning illusionist
 
walokole katika moja na mbili😁😁😁😁
umesema uongo jhioooni ya leo

utakufa vibaya sana usipo tubu kwa allah
 
Ni kweli Mungu yupo japo wapumbavu watakaa mimi binafsi nilimuona Mungu akiwa na hasira na akiwa mpole .


1: Siku akiwa kawaka hasira nilikua na lazimisha jambo ambalo halikua langu na alikuja hadi malaika ( sina uhakika kama yule alikua malaika au ni Yesu pekee) na sura haikuonekana ila mwili ulionekana na hakua na rangi tulizo nazo sisi binadamu ila akiwa juu ya farasi mweupe akikinga ukinzani wa hasira iliyokuwa iniwakie mithili ya hadi mimi mwenyewe kuanguka chini ni kiwa na hofu kuu

2: Na siku alokua mpole alikua ananipa majibu ya jambo nililokua nikilazimisha baada ya kuanza kukata tamaa kabisa kiasi cha kutaka kudhihaki. Alinitoa magamba kwenye macho yangu na kunivua ngozi ilokua imenivika nikawa mpya .. kuna vitu sikuviona kwa macho ila nilisikia vikivuliwa kutoa utosi wa kichwa mpaka vikawa vinashuka ardhini na kupotelea huko.


Nb. MUNGU YUPO NA WAAMBIENI PIA NAWAAMBIAGA WATU NINAVYO ONA SASA HIVI SIVYO NILIVYOKUA NA ONA AWALI HAWANIELEWI ILA NDIYO HIVYO
 
Tulishaambiwa tutulieeee, kila mtu atachanganyikiwa muda wake ukifika
🤣🤣🤣🤭
 
Labda useme na wew wasijkie,

Na ukimwambia ukimwona Mungu Kwa macho yepi, labda wataelewa zaidi.
 
Labda useme na wew wasijkie,

Na ukimwambia ukimwona Mungu Kwa macho yepi, labda wataelewa zaidi.
Mungu anaonekana kwa macho yote mkuu, ukitaka kumuona kwa macho ya nyama anakuja na ukitaka kumuona kwa macho ya rohoni anakuja ila kuna namna ya kumuita na umtake asinyamaze, pia ukitaka kuongea nae kirafiki mnaongea kabisa ila kama unajua haupo sawa sawa kuna mawili upigwe au unusurike hakikisha una kinga hata akiwa na hasira Yesu akusaidie kuzuia hiyo hasira tofauti na hapo asee usijaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…