BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Mimi kila siku naenda mbinguni kwa meditation kwa kutumia GANJA
Ila sijawahi kumuona yesu!
Ila sijawahi kumuona yesu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Gamic nina macho matatu . Na jicho langu la tatu ndilo jicho la Roho-13 yangu . Jicho langu la tatu ndiyo taa ya mwili wangu. Jicho langu la tatu ni zima. Jicho langu la tatu ni zuri. Mathayo 6:22.Kwa kuwa jicho la tatu halipo kimaandiko,
Hayo ni mafundisho ya WANADAMU na mashetani hivyo Wana wa Mungu hatupaswi kuyafuata.
Macho ya MWILI hayabadulisgwi kuwa ya Roho,
Ila mtu wa ndani ambaye ni wewe, Roho ana macho mawili.
Yuko mfalme mwingine kibiblia anaitwa mfalme wa anga.Ukimwona huyu huwezi kumwona Yesu.Jitahidi uache ganja na kuanza kumtafuta Yesu ni rahisi tuMimi kila siku naenda mbinguni kwa meditation kwa kutumia GANJA
Ila sijawahi kumuona yesu!
Mathew 6:22Mimi Gamic nina macho matatu . Na jicho langu la tatu ndilo jicho la Roho-13 yangu . Jicho langu la tatu ndiyo taa ya mwili wangu. Jicho langu la tatu ni zima. Jicho langu la tatu ni zuri. Mathayo 6:22.
Upeo wako kuhusu uelewa wa mambo ya kiroho ni mdogo. Roho-13 yangu ambayo ina mwanga wa jicho langu la tatu ndiyo inayo angaza mwili wangu. Siruhusu mwanga wa macho yangu mawili ya nyama uangaze Roho-13 yangu maana hii ni mianga yenye utafauti mkubwa.Mathew 6:22
Inaongelea jicho la mwili,
Hiyo namba 13 unatumika na Giza,
Narudia jicho la tatu ni uchawi.
Wana wa Mungu tuna macho ya rohoni na yameandikwa ndani ya BIBLIA
Really? I don't want to believe that, slightly and slowly Mwalimu Mwakasege Is turning illusionistSalaam, Shalom!!
Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla.
Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU atamtambuaje?
Mwalimu Christopher Mwakasege akamjibu Kwa kumkumbusha juu ya siku aliyotoka ndani ya MWILI wake na kwenda Mbinguni, alipofika Mbinguni, alikutana na Nabii Musa yule Nabii wa kale, na alimtambua, akaongeza kusema, Ukiwa katika mwili wa kiroho, huhitaji kutambulishwa sababu Roho inajua yote na kutambua yote yajayo na yaliyokwisha pita.
..... Mwisho wa kunukuu....
Naungana na Mwalimu Christopher Mwakasege juu ya UKWELI wa jambo hili, mbingu IPO na ni halisi, Mimi pia nimewahi kwenda Nchi nzuri sana, mfano wa uzuri wa Nchi Ile hauelezeki, mji huo hakuna jua Wala mwezi, IPO Nuru nzuri sana ambayo macho hayachoki kuitazama,
Nimewahi kuandika pia juu kupewa taarifa juu ya ujio wa Yesu kulinyakua Kanisa Kwa kumwona Yesu akiwa na jeshi la Malaika, amepanda farasi mweupe wakienda Kwa Kasi mawinguni.
Ndipo tujue yafuatayo.
1. Mbingu ni halisi Si hadithi.
2. WATAKATIFU wote wapo Mbinguni, wakifa hawakai kaburini.
3. Mungu yupo na ni MMOJA, na Jina la Mungu huyo mmoja tulilopewa WANADAMU liwezalo kuokoa ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.
Mungu awabariki.
Allah S.WMohammad alitumwa nini mkuu
nataka nielewe japo kwa ufupi
Mwakatobe ndio kitu Gani?Really? I don't want to believe that, slightly and slowly Mwalimu Mwakatobe Is turning illusionist
walokole katika moja na mbili😁😁😁😁Salaam, Shalom!!
Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla.
Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU atamtambuaje?
Mwalimu Christopher Mwakasege akamjibu Kwa kumkumbusha juu ya siku aliyotoka ndani ya MWILI wake na kwenda Mbinguni, alipofika Mbinguni, alikutana na Nabii Musa yule Nabii wa kale, na alimtambua, akaongeza kusema, Ukiwa katika mwili wa kiroho, huhitaji kutambulishwa sababu Roho inajua yote na kutambua yote yajayo na yaliyokwisha pita.
..... Mwisho wa kunukuu....
Naungana na Mwalimu Christopher Mwakasege juu ya UKWELI wa jambo hili, mbingu IPO na ni halisi, Mimi pia nimewahi kwenda Nchi nzuri sana, mfano wa uzuri wa Nchi Ile hauelezeki, mji huo hakuna jua Wala mwezi, IPO Nuru nzuri sana ambayo macho hayachoki kuitazama,
Nimewahi kuandika pia juu kupewa taarifa juu ya ujio wa Yesu kulinyakua Kanisa Kwa kumwona Yesu akiwa na jeshi la Malaika, amepanda farasi mweupe wakienda Kwa Kasi mawinguni.
Ndipo tujue yafuatayo.
1. Mbingu ni halisi Si hadithi.
2. WATAKATIFU wote wapo Mbinguni, wakifa hawakai kaburini.
3. Mungu yupo na ni MMOJA, na Jina la Mungu huyo mmoja tulilopewa WANADAMU liwezalo kuokoa ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.
Mungu awabariki.
Osiiiie....Ulienda mbinguni!!?, mbinguni ya nyokwe au?
Ni kweli Mungu yupo japo wapumbavu watakaa mimi binafsi nilimuona Mungu akiwa na hasira na akiwa mpole .Salaam, Shalom!!
Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla.
Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU atamtambuaje?
Mwalimu Christopher Mwakasege akamjibu Kwa kumkumbusha juu ya siku aliyotoka ndani ya MWILI wake na kwenda Mbinguni, alipofika Mbinguni, alikutana na Nabii Musa yule Nabii wa kale, na alimtambua, akaongeza kusema, Ukiwa katika mwili wa kiroho, huhitaji kutambulishwa sababu Roho inajua yote na kutambua yote yajayo na yaliyokwisha pita.
..... Mwisho wa kunukuu....
Naungana na Mwalimu Christopher Mwakasege juu ya UKWELI wa jambo hili, mbingu IPO na ni halisi, Mimi pia nimewahi kwenda Nchi nzuri sana, mfano wa uzuri wa Nchi Ile hauelezeki, mji huo hakuna jua Wala mwezi, IPO Nuru nzuri sana ambayo macho hayachoki kuitazama,
Nimewahi kuandika pia juu kupewa taarifa juu ya ujio wa Yesu kulinyakua Kanisa Kwa kumwona Yesu akiwa na jeshi la Malaika, amepanda farasi mweupe wakienda Kwa Kasi mawinguni.
Ndipo tujue yafuatayo.
1. Mbingu ni halisi Si hadithi.
2. WATAKATIFU wote wapo Mbinguni, wakifa hawakai kaburini.
3. Mungu yupo na ni MMOJA, na Jina la Mungu huyo mmoja tulilopewa WANADAMU liwezalo kuokoa ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.
Mungu awabariki.
Kwa wachawi na wapagani habari za Mbinguni ni uongo mtupu😀walokole katika moja na mbili😁😁😁😁
umesema uongo jhioooni ya leo
utakufa vibaya sana usipo tubu kwa allah
Labda useme na wew wasijkie,Ni kweli Mungu yupo japo wapumbavu watakaa mimi binafsi nilimuona Mungu akiwa na hasira na akiwa mpole .
1: Siku akiwa kawaka hasira nilikua na lazimisha jambo ambalo halikua langu.
2: Na siku alokua mpole alikua ananipa majibu ya jambo nililokua nikilazimisha baada ya kuanza kukata tamaa kabisa kiasi cha kutaka kudhihaki.
Nb. MUNGU YUPO NA WAAMBIENI
Sorry ni MwakasegeMwakatobe ndio kitu Gani?
ila kwanyie manabii wasaka sadaka kwenda mbinguni niukweli mtupu?Kwa wachawi na wapagani habari za Mbinguni ni uongo mtupu😀
Salama kabisa, mtumishi nataka kuona maoni Yako tu hii madaNipo mpendwa ktk Kristo!.
Habari ya wewe?
wakisha jipaka mafuta ya upako na kuogea chunvi basi kila wakiota mauzauza yao wanatusimuliaTulishaambiwa tutulieeee, kila mtu atachanganyikiwa muda wake ukifika
🤣🤣🤣🤭
Mungu anaonekana kwa macho yote mkuu, ukitaka kumuona kwa macho ya nyama anakuja na ukitaka kumuona kwa macho ya rohoni anakuja ila kuna namna ya kumuita na umtake asinyamaze, pia ukitaka kuongea nae kirafiki mnaongea kabisa ila kama unajua haupo sawa sawa kuna mawili upigwe au unusurike hakikisha una kinga hata akiwa na hasira Yesu akusaidie kuzuia hiyo hasira tofauti na hapo asee usijaribuLabda useme na wew wasijkie,
Na ukimwambia ukimwona Mungu Kwa macho yepi, labda wataelewa zaidi.
Hivi ni nani ambao husema Yesu ni Mungu? Nalionaga kanusho tu ila sijawahi ona lilikoanzia