Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

😅😅😅😅😅😅Ule Uchawi wa Rakins umetufikisha huku?

Mimi nasemaga hapa tz hakuna Injili
Ukiambiwa juu ya kuzimu na wachawi unaelewa kirahisi, maana asili Yako ni chini.

Lakini ukiambiwa habari za Mbinguni juu, lazima ubishe.

Pole sana.
 
Sijui ni lini haya yalitukia,kama ni baada ya kifo cha TB Joshua nataka nimuulize bwana mwakasege kama huyo bwana TB joshua yupo huko mbinguni au yuko kule kwa bwana ibilisi anatembezwa na kurushwa kichurachura kwenye barabara yenye miba yenya umbali wa mile 100
 
Hebu usimuhusishe mtume wetu kwenye upuuzi wenu
Mtume wenu alidai alienda mbingu ya kwanza mpaka mbingu ya saba kukutana na manabii mbalimbali. Kwa hiyo kama ni upuuzi, bila shaka yeye anahusika moja kwa moja na huu upuuzi. Unless hujui hata dini yako imeandika nini.
Pia, Je, si mtume wenu alijifanya kupaa kwa farasi usiku kwenda Al Aqsa kuswali na kurudi usiku huo huo.
Unahitaji kuwa mjinga tu, ili kuamini na kutetea upuuzi kama huo.
 
Back
Top Bottom