Mwl mwenzangu anataka mume

M Nina mke lakinii nataka kuongeza mwingine kama yuko tayalii ajeeee
 
Nimechoka kuwa mpweke,tafadhal niunganishe naye nione kama atanifaa kwa tabia
 
serious!!! heb nipm namba yake, mm mwl mwenzake idara sec tokyo, huku mji mzuri mvua nyiinga mtoto wa kingoni atakula mbaraga, magimbi, maparachichi, yaan wly yenye neema atakaa, alafu wagon wa kuzini wanavyo yajua mambo yetu, jamani faster haraka niunganishe naye. lkn usisahau kumwambia "shake well before use" ni muhimu
 
Hello
 
Midume cjuwi tukoje, ukitongoza ukakataliwa unatoa matusi kejeli na ujinga kibao, ukipewa ofa Dem Malaya, au nfo mmezowea kuwinda mpaka mtoane jasho ujione Kidume ni ww tu, wana haki ya kutupa ofa km izo na sisi ili maisha yaende
 
Nataka, sitaki, cjui ipi nifate
Fanya mchezo wa lamli, lakini kumbuka kwenye hilo jukwaa wengi manafanywa sample.

Ataanza kuwauliza kazi na kama mkulima kama mimi na wameshaenda walimu wenzake wa biology form one ndo hupati. Na ukicheza utapolwa pesa ya mbegu na vibarua.
 
Sio kwa karne hii.Rudi Shule kaka wewe
 
Naomba utulie sana mwalimu maana hapo unapotangaza ni muda ambao utadanganywa kuwa makini sana juu ya Hilo maana usije jutia Maisha yako yote
 
Fanya mchezo wa lamli, lakini kumbuka kwenye hilo jukwaa wengi manafanywa sample.

Ataanza kuwauliza kazi na kama mkulima kama mimi na wameshaenda walimu wenzake wa biology form one ndo hupati. Na ukicheza utapolwa pesa ya mbegu na vibarua.
Sadakta
 
Daah!!

Hivi unaanzaje kufikiria hadi unafikia maamuzi ya kuandika namna hii?

Ninyi watu sijui mnawaza namna gani....

Ni hasara sana kuwa na mwanachama wa namna hii hapa JF.....
Hata Mimi hii nimeiona imeniuma sana.Sijui Ni Hawa Watu wa vyeti feki a nini.Maana MTU wa kawaida hawezi kufikia hatua hii.Au mhusika alimkataa or something. So pathetic.Mod popote ulipo.Mban Huyo MTU mwaka mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…