TANZIA Mwl. Ndosi aliyefundisha Shule ya Msingi Muhimbili afariki dunia

Wa uswazi anasoma tandika,mwananyamala na kitunda mwanagati.

Wa muhimbili ni washua.
Me nilisoma Upanga
Kuna kipindi huyo mwalimu alihamia toka Muhimbili ila hakukaa sana akarudi tena Muhimbili nadhani.

Huko nilipata ufadhili wa serilkali, kama bahati tu πŸ˜ƒ
 
Me nilisoma Upanga
Kuna kipindi huyo mwalimu alihamia toka Muhimbili ila hakukaa sana akarudi tena Muhimbili nadhani.

Huko nilipata ufadhili wa serilkali, kama bahati tu πŸ˜ƒ
Mwana Upanga mwenzangu kumbe. Kipindi Ndossi anahamia Upanga (yeye na Mwalimu Salum) mimi nilikua darasa la saba. Kumbe hakukaa alirudishwa tena Muhimbili...!? Nilimaliza nikamuacha hapo. Nimeelezea zaidi kwenye post # 51.
 
Wakati anahamia me nilikua darasa la 5/6, sikumbuki vizuri maana la 7 nilihama sikusoma pale.
Alikua anaogopewa sana, na matusi kama yote daah πŸ˜ƒ

Ila mwl Salum mbona simkumbuki, unakumbuka surname yake? Labda nitamkumbuka
 
Wakati anahamia me nilikua darasa la 5/6, sikumbuki vizuri maana la 7 nilihama sikusoma pale.
Alikua anaogopewa sana, na matusi kama yote daah πŸ˜ƒ

Ila mwl Salum mbona simkumbuki, unakumbuka Sir name yake? Labda nitamkumbuka
Sikumbuki vizuri surname yake, ila ni kitu kama Kabeta or Kageta..... Yeye alihamia hapo na kufanywa mwalimu mkuu.
Ndossi alikua balaa aisee. Alitupiga sana stiki std 7 kipindi kile cha mwisho mwisho. Korofi sana jamaa.
Linakwambia, "Seng.e baridi", "Seng.e la mungu wewe".
 
Hilo jina linasound familiar...Yaani hayo matusi sasa daah
Sema amekula chumvi nyingi, maana tangia kipindi kile tunasoma alikua tayari mtu mzima sana
 
Enzi hizo Muhimbili ni Ndosi na Ndosi ni Muhimbili
 
Ndosi: Korokodio, nyumbu wa Manyara. Msenge baridi.

Mwanafunzi: Mimi?

Ndosi: Si wewe, ni mavi yaliyo tumboni mwako.

Rest well Ndosi.

So many stories.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtendeni pr school, pia alifundisha - Rip teacher... hisabati hiyo imelala kama haujaelewa hisabati Kwa huyo jamaa sijui ufundishwe na Nani? Uelewe

Kijana wako nakukumbuka

Mbuzi kavimba- dooh
 
Huu wasifu na bado alale kwa amani?

Mbona mmemsimanga mno?

Tuwekeeni mema yake pia
 
Nilisoma Tambaza SS jirani na Muhimbili PS tulikuwa tunasikia habari za Mwl. Ndossi enzi hizo old 80s, Oooh RIP Mwalimu!! Pale Kibasila PS tulikuwa waalimu maarufu Mwl Chale, Mwang"onda na Mwl. Makinda huyu ni Ke, walikuwa wantembeza sana mboko hawa siku wakiwa zamu, daah imekuwa historia sasa!!!
 
Kipindi hicho huku Tambaza SS akuwepo mkali wa Maths alikuwa anaitwa Mwl. Sindato, naye alikuwa anatembeza viboko balaa😁😁😁😁
 
Mwak gani alikufundisha mzew mnk mm nilifundishwa. Na mwalimu laizer Arusha pale jamaa alikuwa kichwa haswa kwa hesabu
 
Kumbuka huyo Ni mchaga mkuu nadhani unajuwa tabia ya wale jamaa zetu
 
Wakati anahamia me nilikua darasa la 5/6, sikumbuki vizuri maana la 7 nilihama sikusoma pale.
Alikua anaogopewa sana, na matusi kama yote daah πŸ˜ƒ

Ila mwl Salum mbona simkumbuki, unakumbuka surname yake? Labda nitamkumbuka
Ndosi Upanga alihamia mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…