Mwl. Nyerere aliasisi mfumo Kristo?

moja ya imani ziko backward sana!
 
Mwalimu alitaifisha shule nyingi mno za waislam ili wakristo wasome
Acha uongo hapa.
Uislamu haujawahi kuwa na kipaumbele cha elimu dunia. Kabla ya uhuru, wakati wa uhuru, baada ya Uhuru na mpaka leo hii uislamu kwa dhati kabisa umekuwa ukijitenga na Elimu dunia. Ndio maana mpaka leo hii, jamii za kiislamu zina mwamko duni wa kuipenda Elimu.

Shule zote zilizotaifishwa na Nyerere (nyingi zilikuwa za wakristo na waasia) zilifanywa kuwa mali ya umma ili kuwezesha mtu yoyote kusoma.
 
Kuna lizee limoja la hovyo humu linaitwa mohamed said linaongoza kwa kulalaika kila siku kwamba waislamu wanaonewa watu kama lile lizee lipumbavu ndio wanao sambaza huo uzushi
 
Laiti ungetambua kuwa Muungano unawaumiza waislamu wa Tangayika usingenzisha mada hii.

Yaani mfumo wa muungano ulivyo ni kuwa waislamu Wazanzibar wanaenjoy fursa za muungano kutokana na Uzanzibar wao huku Waislamu wa bara wakistruggle kuwania nafasi zilizobaki. Ndiyo maana majority ya nafasi za uongozi ktk jamhuri ya muungano kama aliyeishika ni muislamu basi probablity kubwa atakuwa muislamu wa Zanzbar
 
... kuhusu Zanzibar ni kwamba Mchonga alihakikisha Zanzibar inapata kisukari ('metaphorically') na kuhakikisha 'Insulin' inapatikana Bara tu!
Muda wa kuimeza Zanzibar ukifika ni mwendo wa kuitishia kuinyima 'Insulin' tu! ... itasalim amri tuu! ... AU SIO?

😅
UDINI SIO UDINI?
 
Ukweli mchungu Mwl Nyerere aliwabeba sana,lakini leo wapo baadhi yao wamefikia kiwango kikubwa cha utovu wa nidhamu hadi kuandika vitabu vilivyo jaa uongo,uzushi,unafiki na uzandiki.
Ukweli mchungu mzee Ngongo hawatakueelewa, eti kisa tu mwalimu alizuia chuo kujengwa na ile jumuia ya waislam wa Afrika mashariki kumea kisha akawaundia BAKWATA kwa Maslaha mapana ya Taifa, ajabu kweli we nenda katazame baraza la mawaziri miaka yote waislam ni wengi kuliko wagalatia, halafu mwalimu hata huo ukristo aliukana
 
Kwa sehemu kubwa hizi mambo ya udini yanaletwa na baadhi ya wahafidhina wa kiislamu na wamebase kwenye yaliyopita...Mda mwingine Nyerere tumpe maua yake imagine kama Mohamad said amesoma ndo ana mitazamo ya hovyo kiasi kile vipi hao wazeee wake wa 1920-1955, ndo maana mwalimu alitumia mda mfupi kufanikisha uhuru ambao wazee wake wasingeweza hata wapewe miaka 100
 
Lugha y
Lugha ya kiarabu Ni swa na lugha nyingine swala kukariri imani yk mtu sio kosa na nyny mnaweza kukariri mana nynyi ndio mabingwa wa kukariri kila mnacholetewa ndio mana hata papa ameshaujua uzaofu wnu kila mnacho ambiwa mnakariri basi na lile la kubarik likaririn
 
kabla ya uislamu kuingia nchini na waarabu mababu zetu wote kwa wakati huo ni makafr na wako jehenam siyo!
 


Wanafiki hawataurithi ufalme wa Mungu.

Waarabu katika Mila na Desturi zao ni watu wanafiki sana.

Katika unafiki wao Mwenyezi Mungu alishusha Aya ya wanafiki .

Wamewaambukiza wale masalia waliojificha chini ya uislam. Tatizo Kuna watu wanaamini kuwa mtu akiwa mwarabu basi ni muislam Safi .

Angalia mfano Kwa mujibu wa Uislam na Mila za Kiarabu Mwanamke awe muislam au la ,haruhusiwi kuwa Mtawala.
Je, umewahi kusikia wakipinga Hilo ? Au akina kinana ,Kikwete, Lipumba,Zito kabwe wakilizungumzia. Au nguruwe ni haramu tu akichinjwa na kupikwa na mtu wa dini nyingine.?

Je, riba na magendo na Biashara za mdawa ya kulevya ni haramu yakifanywa na asiye na vinasaba vya kiarabu au wa Mila zao?
Au ndio ule unafiki wa kusema fedha haramu zinapotumika kujenga Nyumba za Ibada zinageuka kuwa Safi na kutoa thawabu?

Nchi hii mpaka Sasa zimetawaliwa na maRais wa 3 wa dini ya kiislama Kwa upande wa Tanganyika lakini Zanzibar haijawahi kuwepo hata sheha Mkristo. Kama Tanganyika chini ya Nyerere aliweka utaratibu ambao Waislam walitawala kuanzia serikali za mitaa mpaka urais Kwa nini Zanzibar imeshindikana hata Kwa uwiano Huo wa uchache uliopo. ?
Kumbe basi Zanzibar Kuna mfumo Islam na bara ni mfumo wa wote. Na mwasisi wa siasa za usawa aliuasisi Nyerere Kwa Tanganyika lakini Zanzibar kwenye uislam ikashindikana kuwa na mfumo utakaoonyesha namna ambavyo Waislam katika wingi wao wanaweza kuwa Vumilia wachache wasio na nguvu Wala madhara katika Mila ndasturi na dini Yao.?

Leo hii uliangalia wanamziki wengi wanaomba nyimbo zenye jembe za matusi na kuhamasisha ngono ,Cha ajabu watawala wapo Tena Waislam na wabunge wengi Waislam ambao Kwa wingi wao wana uwezo wa kupiga kura ya kupinga na kutunga Sheria Kali ya kudhibiti nyimbo zisizo na Maadili katika jamii.

Lakini wanafiki hao hao wakisikia wimbo umeimbwa na Mtu wa dini nyingine ukisema Mungu ni mwema ,Yesu ni bwana , Roho wa Mungu tutakase basi wanazima TV na Redio wasisikilize.

Kwenye mioyo ya watu wanafiki na waovu siku zote wanalalamika hata pale wanapopewa nafasi ya kutatua changamoto.

Walipewa nafasi ya kubadili katiba ili waondoe mfumo Kristo na kuleta mfumo wa usawa lakini badala yake wakaungana kutafuna nchi na kuuza ardhi Kwa wageni huku wakijilimbikizia Mali na visima vya mafuta Kila Kona ya nchi .

Walipewa nafasi ya kuunda Mahakama ya kadhi kupitia Ilani ya CCM 2010 na wakwpewa Rais Mwislam matokeo yake wakashindwa kuiwajibisha CCM na Rais Mwenye dini kama Yao Kwa kuwadanganya badala yake wanamlaumu Hayati Nyerere badala ya kumbana mwenzao aliyekua madarakani Tena akiwa na nguvu na madaraka kamili katika kuduta au kuweka Sheria itakayoondoa mfumo Kristo .

Wanafiki Kwa kawaida ni watu wanaopinga jambo midomoni mwao ilihali mioyoni mwao wanaunga mkono mifumo isiyofaa katika jamii

Ukweli ni kwamba Hicho wanachokiita mfumo Kristo ndicho kilichosababisha nchi hii kuwa na mabilionea 90 % ni wa dini Moja. Mfumo Kristo wanaoutuhumu kuwa umeasisiwa na Mwalimu unaonekakana kuwa na faida na manufaa makubwa Kwa ndio maana hatuoni Zanzibar na wazonZibari nao wakishinikiza kutungwa Kwa Katiba itakayoondoa mfumo Kristo chini ya Katiba ya Mwaka 1977 chini
 
Hili nalo neno.
 
Ukweli mchungu Mwl Nyerere aliwabeba sana,lakini leo wapo baadhi yao wamefikia kiwango kikubwa cha utovu wa nidhamu hadi kuandika vitabu vilivyo jaa uongo,uzushi,unafiki na uzandiki.
Ni vitabu vipi nasi tupate fursa ya kuvisoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…