Naomba jona moja la shule ya kiIslamu aliyotaifisha Mwalimu. Kwani ni lazima utuonyeshe kutojuwa kwako?Mwalimu alitaifisha shule nyingi mno za waislam ili wakristo wasome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba jona moja la shule ya kiIslamu aliyotaifisha Mwalimu. Kwani ni lazima utuonyeshe kutojuwa kwako?Mwalimu alitaifisha shule nyingi mno za waislam ili wakristo wasome
moja ya imani ziko backward sana!Hakuna sehemu dunia waislam wakawe na dini nyingine wasilalamike ni hivi sababu kwanini popote dunia wakichanganyika na watu wengine huwa hawatuliii sababu hizi
1.waanamiini wao wana haki zaidi wengine hawana
Quran inasema waislam pekee ndo watu wasafi watu wasio waislam ni makfir hawataiona pepo.....hii huwafanya kujiona wao muhimu sana kuliko wasio waislam
2. Kamwe hawataki serikali ya kawaida
Waislam mara nyingi hupenda serikali iwe ya kiislam ndo wataridhika so nchi ikiwa na mchanganyikoa wa dini nyingi swala hili huwa gumu ..hapo wao haunza kulalamika inshort wataanza kusema wanaonewa watataka sharia law watataka watu wengine wafuate utamaduni wa kiislam hata kama sio waislam ...wakigoma malalamiko
3.uislam kamwe hauwezi kuishi na dini zingine
Popote pale ambapo uislam upo population ikawa 10% tu hapo fujo huoanza sababu kuu uislam hauruhusu kabisa waislam kuchanganyikana sana watu wasio waislam mfano kuna mistari kwenye quran inakataza waislam hata kula chakula kapika kafir.....kwa mantiki hii hata viongoz wasio waislam kwao huwa haram
... .......
Hayo nime andika machache tu ila hata nyerere angefanya nini uislam ni very complicated hawa watu hawa wao kwa wao katika nchi za kiislam bila mkono wa chuma ni ngumu kuwatawala ndo maana nchi za kiarabu ila mambo yaaende u dictator huwa solution...maaana quran ina mistari mingi ambayo inachocchea fujo na sio amani
Na la mwisho wahanga wakubwa wa uislam ni waislam wenyewe ....
Acha uongo hapa.Mwalimu alitaifisha shule nyingi mno za waislam ili wakristo wasome
Na alipotaifisha shule za Wakristo je? Ili Wakristo wasome kwa wingi? Mantiki iko wapi? Porojo tuMwalimu Nyerere alitaifisha shule za Kiislamu nyingi sana ili Wakristo wasome kwa wingi.
Ukweli mchungu mzee Ngongo hawatakueelewa, eti kisa tu mwalimu alizuia chuo kujengwa na ile jumuia ya waislam wa Afrika mashariki kumea kisha akawaundia BAKWATA kwa Maslaha mapana ya Taifa, ajabu kweli we nenda katazame baraza la mawaziri miaka yote waislam ni wengi kuliko wagalatia, halafu mwalimu hata huo ukristo aliukanaUkweli mchungu Mwl Nyerere aliwabeba sana,lakini leo wapo baadhi yao wamefikia kiwango kikubwa cha utovu wa nidhamu hadi kuandika vitabu vilivyo jaa uongo,uzushi,unafiki na uzandiki.
Lugha ya kiarabu Ni swa na lugha nyingine swala kukariri imani yk mtu sio kosa na nyny mnaweza kukariri mana nynyi ndio mabingwa wa kukariri kila mnacholetewa ndio mana hata papa ameshaujua uzaofu wnu kila mnacho ambiwa mnakariri basi na lile la kubarik likaririnKwenye nchi yoyote yenye dini tofauti tofauti population ya waislamu ikizidi 30 % tu. Lazima waislamu walete mizengwe.
Nigeria waislamu wanalalamika pia lawama hizo hizo.
Nguvu ambayo watoto wa kiislamu wanaitumia madrassa katika kusoma ki arabu na kukariri quran ingekuwa waislamu wanaitumia kuelewa mathematics na kukariri laws za physics wangezalisha ma engineer wengi sana na waislamu wangekuwa mbali sana kimaendeleo. Shida kusoma sayansi hawataki wanakomaa na kukariri vitabu vya waarabu ambavyo vinawarudisha nyuma na kuwafundisha chuki
Ni shule ipi ya kiIslamu aliyotaifisha??Na alipotaifisha shule za Wakristo je? Ili Wakristo wasome kwa wingi? Mantiki iko wapi? Porojo tu
Tungefuata Sharia muda huu tungekuwa tunalipuana kwa mabomu ya kujitoa muhanga!Mwalimu Nyerere alitaifisha shule za Kiislamu nyingi sana ili Wakristo wasome kwa wingi.
kabla ya uislamu kuingia nchini na waarabu mababu zetu wote kwa wakati huo ni makafr na wako jehenam siyo!Ukimsikiliza Mohamed Said utafikiri ni mtu mwenye akili kumbe ujinga umemjaa kila mahali.
Fikiria kafikia hadi kulazimisha marehemu wa kikristo wa vita ya maji maji huko Songea eti walikuwa Waislam wakabatizwa kabla ya kunyongwa.Ukimdadisi zaidi anakimbilia maneno inasemekana,nimefanya mihadhara USA,German.........
Heshima sana wana ukumbi,
Nimesoma maandiko mengi ya wanazuoni wa Kiislam ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakimtwisha zigo Mwl Nyerere kama muasisi wa mfumo Kristo.
Katika tafakari yangu ta leo nimejikuta nikishangaa na kusikitika kwa wakati mmoja.
Muasisi wa mfumo Kristo alitengeneza mfumo ambao wananchi 1.5 miliion wamepewa upendeleo wa nafasi 80 za ubunge!.
Sote tunafahamu kwamba wabunge wote wanatokea Zanzibar ni swala 5. Mwl Nyerere alitengeneza mfumo ambao wapiga kura laki tano wanawakilishwa na wabunge 80.
Huu mfumo Kristo hata siuelewi, labda wadadavuzi kutokea kulee Tandamti wanaweza kutupeleka darsa kidogo.
Hili nalo neno.Wanafiki hawataurithi ufalme wa Mungu.
Waarabu katika Mila na Desturi zao ni watu wanafiki sana.
Katika unafiki wao Mwenyezi Mungu alishusha Aya ya wanafiki .
Wamewaambukiza wale masalia waliojificha chini ya uislam. Tatizo Kuna watu wanaamini kuwa mtu akiwa mwarabu basi ni muislam Safi .
Angalia mfano Kwa mujibu wa Uislam na Mila za Kiarabu Mwanamke awe muislam au la ,haruhusiwi kuwa Mtawala.
Je, umewahi kusikia wakipinga Hilo ? Au akina kinana ,Kikwete, Lipumba,Zito kabwe wakilizungumzia. Au nguruwe ni haramu tu akichinjwa na kupikwa na mtu wa dini nyingine.?
Je, riba na magendo na Biashara za mdawa ya kulevya ni haramu yakifanywa na asiye na vinasaba vya kiarabu au wa Mila zao?
Au ndio ule unafiki wa kusema fedha haramu zinapotumika kujenga Nyumba za Ibada zinageuka kuwa Safi na kutoa thawabu?
Nchi hii mpaka Sasa zimetawaliwa na maRais wa 3 wa dini ya kiislama Kwa upande wa Tanganyika lakini Zanzibar haijawahi kuwepo hata sheha Mkristo. Kama Tanganyika chini ya Nyerere aliweka utaratibu ambao Waislam walitawala kuanzia serikali za mitaa mpaka urais Kwa nini Zanzibar imeshindikana hata Kwa uwiano Huo wa uchache uliopo. ?
Kumbe basi Zanzibar Kuna mfumo Islam na bara ni mfumo wa wote. Na mwasisi wa siasa za usawa aliuasisi Nyerere Kwa Tanganyika lakini Zanzibar kwenye uislam ikashindikana kuwa na mfumo utakaoonyesha namna ambavyo Waislam katika wingi wao wanaweza kuwa Vumilia wachache wasio na nguvu Wala madhara katika Mila ndasturi na dini Yao.?
Leo hii uliangalia wanamziki wengi wanaomba nyimbo zenye jembe za matusi na kuhamasisha ngono ,Cha ajabu watawala wapo Tena Waislam na wabunge wengi Waislam ambao Kwa wingi wao wana uwezo wa kupiga kura ya kupinga na kutunga Sheria Kali ya kudhibiti nyimbo zisizo na Maadili katika jamii.
Lakini wanafiki hao hao wakisikia wimbo umeimbwa na Mtu wa dini nyingine ukisema Mungu ni mwema ,Yesu ni bwana , Roho wa Mungu tutakase basi wanazima TV na Redio wasisikilize.
Kwenye mioyo ya watu wanafiki na waovu siku zote wanalalamika hata pale wanapopewa nafasi ya kutatua changamoto.
Walipewa nafasi ya kubadili katiba ili waondoe mfumo Kristo na kuleta mfumo wa usawa lakini badala yake wakaungana kutafuna nchi na kuuza ardhi Kwa wageni huku wakijilimbikizia Mali na visima vya mafuta Kila Kona ya nchi .
Walipewa nafasi ya kuunda Mahakama ya kadhi kupitia Ilani ya CCM 2010 na wakwpewa Rais Mwislam matokeo yake wakashindwa kuiwajibisha CCM na Rais Mwenye dini kama Yao Kwa kuwadanganya badala yake wanamlaumu Hayati Nyerere badala ya kumbana mwenzao aliyekua madarakani Tena akiwa na nguvu na madaraka kamili katika kuduta au kuweka Sheria itakayoondoa mfumo Kristo .
Wanafiki Kwa kawaida ni watu wanaopinga jambo midomoni mwao ilihali mioyoni mwao wanaunga mkono mifumo isiyofaa katika jamii
Ukweli ni kwamba Hicho wanachokiita mfumo Kristo ndicho kilichosababisha nchi hii kuwa na mabilionea 90 % ni wa dini Moja. Mfumo Kristo wanaoutuhumu kuwa umeasisiwa na Mwalimu unaonekakana kuwa na faida na manufaa makubwa Kwa ndio maana hatuoni Zanzibar na wazonZibari nao wakishinikiza kutungwa Kwa Katiba itakayoondoa mfumo Kristo chini ya Katiba ya Mwaka 1977 chini
Ni vitabu vipi nasi tupate fursa ya kuvisoma.Ukweli mchungu Mwl Nyerere aliwabeba sana,lakini leo wapo baadhi yao wamefikia kiwango kikubwa cha utovu wa nidhamu hadi kuandika vitabu vilivyo jaa uongo,uzushi,unafiki na uzandiki.
BsMwalimu Nyerere alitaifisha shule za Kiislamu nyingi sana ili Wakristo wasome kwa wingi.