Mwl Nyerere alikosea sana ifanya TANU kuwa chama cha Kitaifa-Alipaswa anzisha kipya kabisa.

Mwl Nyerere alikosea sana ifanya TANU kuwa chama cha Kitaifa-Alipaswa anzisha kipya kabisa.

Mkiweza kufanikiwa kuirejesha tanganyika tu mafisadi wote watapukutika,mafisadi wamejificha kwenye chaka la muungano.
 
Nyerere alianzisha chama chake pamoja na wenzake wakiwa Makerere katikati ya miaka ya 1940. Walikuwa wanapanga kukileta Tanganyika ili kukifanya kiwe chama cha kitaifa na kuongoza harakati za Uhuru. Bahati nzuri/mbaya mmoja wa wanafunzi wenzake pale (nadhani ni wa kina Mwapachu) alimwambia kuwa tayari kulikuwa na chama ambacho kilikuwa na matawi ya kitaifa (TAA). Wakakubaliana kuwa watakapomaliza masomo waende kujiunga nacho na kukibadilisha kuwa chama cha siasa. Akatumwa Dr. Kyaruzi (walikuwa wote na Nyerere Makerere) pamoja na wengine kwenda kutakeover TAA ambayo ilikuwa inasuasua ikiwa imepitia vikwazo vingi. Hivyo, Nyerere aliporudi kutoka Edinburgh mwanzoni mwa miaka ya 1950 alikuta wenzie tayari wameshatake over kama walivyokuwa wamekubaliana (Dr. Kyaruzi akiwa rais wa TAA). Nyerere aliwaongoza wenzie kuichukua TANU na kuibadilisha kuwa chama cha siasa cha kupigania Uhuru na kushika uongozi wa chama hicho kama walivyokuwa wamepanga miaka karibu kumi nyuma.

Kinyongo kikubwa cha baadhi ya wazee wa Dar ilikuwa ni hili la Nyerere kuchukua uongozi wa TAA na kubadilisha kuwa TANU akishirikiana na wenzake na hatimaye kuongoza harakati za Uhuru. Baadhi ya wazee hawa hawakumsamehe Nyerere kwa hilo. Wazee wengine hata hivyo wa Dar na wa Tanganyika walifurahia kuwa na Nyerere kama kiongozi wa harakati za Uhuru na muda wote wa kupigania Uhuru alikuwa ndiye kinara wa harakati hizo akiongoza kundi la mashujaa wetu wa Uhuru.

Kosa ambalo naamini Nyerere alilifanya ni kuiacha CCM kama chama tawala baada ya kurudisha mfumo wa vyama vingine. Kulitakiwa kuwa na serikali ya mpito baada ya mabadiliko ya Katiba ya 1992 na kulazimisha vyama vyote kuanza moja. Kuiacha CCM kama a 'de facto' political party ambacho hakikuhitaji hata kutafuta wanachama lilikuwa kosa kubwa la kisiasa la Baba wa Taifa.
 
Binafsi huwa sielewi ni nini kilimfanya nyerere kuingia maamuzi ya watanzania na kuingia miguu yote miwili kwenye kampeni za 1995?
 
Tujifunzi kwa yaliyopita na sasa tugange yajayo na mstakabadhi wa Taifa letu hasa kipindi hiki kinachosubiriwa upepo wa kisiasa upite
 
Unasema Ukweli kabisa; mfano mzuri ni Mangi Marealle wao walikuwa wana chama chao ambacho sidhani walikuwa wanajua TANU - TANU kilikuwa cha Watu wa kanda ya DAR; Na Kanda ya ziwa walikuwa na Chama Chao na Makwaia alikuwa ni kiongozi na alikuwa msomi na Kagera hivyo hivyo Sir George Kahama na kusini pia; Hayo Maeneo yalikuwa yameendelea kivyake; na Kama Nyerere asinge amaua kutafuta na kuamua kimoja kiwa cha NCHI NZIMA sidhani UHURU ungepatikana; na kama Ungepatikana sidhani tungekuwa na AMANI na MUUNGANO TULIOKUWA nao WAKATI wa NYERERE

Wewe Angalia kuna Kisiwa kinaitwa HAITI nadhani ni kikubwa kidogo zaidi ya Zanzibar au the same size Wanazungumza lugha Moja CREOLE... Lakini kwasababu ya kuto-mingle kwenye hicho kakisiwa kuna zaidi ya 6 dialects; ni CREOLE wengine waongea kimkato hauwezi hata kuelewa ni ni kiinchi cha watu sio zaidi ya Milioni 3; Wamegawana KIJIMBO Walipata Mafuriko Unaona wenye Uwezo wanaoishi USA wanapeleka kwao kwanza... Wanasema sehemu nyingine hawazijui na ni kakisiwa kadogo...

Sasa Angalia sisi Nyerere alivyoifanya Tanganyika; wote hakutupa UHURU WETU alichukua kimoja au viwili ili kutufanya angalau tuwe sawa... lakini sisi ni wanadamu haturidhiki tunadhani kuna alivyofanya kwa CHUKI...

Nikijaribu daka vitu vichache naweza pata hivi:
1.kuwepo kwa vyama vingine ktk sehemu za nchi.-Hii ni kweli wachaga walikuwa na vyao,na marealle was nothing but kibaraka wa mzungu na baadaye kuwauza wenzake ambo walimchagua kuwa mangi mkuu na kuingiza kilimanjaro ktk makubaliano binafsi na TANU..na hivyo wenzake wakavunja umangi mkuu.Pia kulikuwa na vyama vilivyokuw avikubwa tuu na vilitaka kuwepo bila kuvinja uchifu.

2.suala la pili ni muunganiko wa nchi kupitia chama kimoja.Kweli ni jambo sahihi ila haikuwa sahihi kutumia TANU ambayo tayari ilianza na miba ya U -Dar ..Kitu kilihcoleta Zimwi la taabu hadi leo.Unafiki wa waanzilishi wengine baada ya Mwl Kuwekeza kwa mawazo na juhudi na uwezo binafsi,haukuishia ktk glory walizopata baadaye.Bado walitaka Glory zote hata zile za Nyerere.Hayo magugu ndio yameingia na kuota mizizi ktk CCM ya leo.
Chama kimoja si wazo baya,ila haikuwa sahihi kuwa TANU.
 
Nyerere alianzisha chama chake pamoja na wenzake wakiwa Makerere katikati ya miaka ya 1940. Walikuwa wanapanga kukileta Tanganyika ili kukifanya kiwe chama cha kitaifa na kuongoza harakati za Uhuru. Bahati nzuri/mbaya mmoja wa wanafunzi wenzake pale (nadhani ni wa kina Mwapachu) alimwambia kuwa tayari kulikuwa na chama ambacho kilikuwa na matawi ya kitaifa (TAA). Wakakubaliana kuwa watakapomaliza masomo waende kujiunga nacho na kukibadilisha kuwa chama cha siasa. Akatumwa Dr. Kyaruzi (walikuwa wote na Nyerere Makerere) pamoja na wengine kwenda kutakeover TAA ambayo ilikuwa inasuasua ikiwa imepitia vikwazo vingi. Hivyo, Nyerere aliporudi kutoka Edinburgh mwanzoni mwa miaka ya 1950 alikuta wenzie tayari wameshatake over kama walivyokuwa wamekubaliana (Dr. Kyaruzi akiwa rais wa TAA). Nyerere aliwaongoza wenzie kuichukua TANU na kuibadilisha kuwa chama cha siasa cha kupigania Uhuru na kushika uongozi wa chama hicho kama walivyokuwa wamepanga miaka karibu kumi nyuma.

Kinyongo kikubwa cha baadhi ya wazee wa Dar ilikuwa ni hili la Nyerere kuchukua uongozi wa TAA na kubadilisha kuwa TANU akishirikiana na wenzake na hatimaye kuongoza harakati za Uhuru. Baadhi ya wazee hawa hawakumsamehe Nyerere kwa hilo. Wazee wengine hata hivyo wa Dar na wa Tanganyika walifurahia kuwa na Nyerere kama kiongozi wa harakati za Uhuru na muda wote wa kupigania Uhuru alikuwa ndiye kinara wa harakati hizo akiongoza kundi la mashujaa wetu wa Uhuru.

Kosa ambalo naamini Nyerere alilifanya ni kuiacha CCM kama chama tawala baada ya kurudisha mfumo wa vyama vingine. Kulitakiwa kuwa na serikali ya mpito baada ya mabadiliko ya Katiba ya 1992 na kulazimisha vyama vyote kuanza moja. Kuiacha CCM kama a 'de facto' political party ambacho hakikuhitaji hata kutafuta wanachama lilikuwa kosa kubwa la kisiasa la Baba wa Taifa.

Nakubaina na wewe ktk hayo uliyosema ingawa mimi ninachagua hayo ktk Bold,kwani ndio kiini cha mimi kuandika hili.
-TANU au TAA isingevuka sana nchini km si Brilliancy ya Nyerere.Na palikuwa na option mbili hapa.

2.Ama Nyerere kuua chama chake na kuanzisha kingine ambacho kingeanzia Bara na kuifikia Dar.Kingekuwa na nguvu kuliko TAA/TANU kwani mambo Jambo ya Dar hayajawahi iacha dara bila migogoro na hawajawahi kuwa na uwezo wa kuivusha nje ya dar.Na Pia wakoloni walimwamini sana Nyerere kwa jinsi alivyokuwa anasimamia maneno yake na mwenye uwezo wa kuongoza.Wakoloni waliona bora zimwi walijualo kuliko.Walijua hakuwa rafiki yao ila hakuwa mtu anayeweza fanya jambo la kiwenda wazimu.

2.Ama angeanzisha chama tofauti palepale dar na baadaye kukifanya kuwa cha kitaifa kama TANU..chama ambacho kisigekuwa na blackmailing nyingi,chama ambacho hakikumpa break hadi alipong`atuka.

Mwl Nyerere hata baada ya kutoka ktk CCM aliitazama km monster fulani hivi..Mzee huyu alikuwa mtu wa cosolve issues,watu walikuwa wakimpania sana ktk kila encounter.Ila wa vile alikuwa briliiant and fair,alikuwa akijianda mara zote aliwazimisha kwa majibu na maswali sahihi mabyo yaliwafanya waovu kujificha na kunong`ona chini ya uvungu.Nyerere kichwa yake(Kifika ) ilikuwa kubwa kuliko mwili wake na hilo hata watu wa nje waliomheshimu kama mtoto wa Africa walikuwa wakimshangaa.Kwa vile alikuwa na nguvu ya kutisha ktk fikra kuliko mwili.Ndio maan habari za uchawi na kifimbo tulizisikia sana kwa vile watu wenye elimu ndogo walishangaa sana uwezo wake.Na hawakuweze msingizi kuwa ni mbabe.

Wanaharakati wengi wa hilo kundi ambalo "halikumsamahe" mwl wameandika vitabu vingin sana,vingi ni vya hovyo sana,vigine vimechukua vipande vya waandishi makini km sehemu yakutia uzito ktk waandikacho.Ila vyote kwa pamoja vinaonyesha wazi kuwa bado watu wanadai TANU yao.
 
Mkuu,

Mantiki ya hoja yako imekaa kinyume,

Huenda hujaichambua kwa undani filosofia ya AA iliyoanzishwa 1929 chini ya uasisi wake Mwalimu Cesil Matola,

Pia huenda hujaichambua na kuitambua filosofia ya TAA iliyoasisiwa mwaka 1948 chini ya Klest Sykes,

Vivyo hivyo huenda hujaichambua filosofia ya TANU iliyoasisiwa mwaka 1954 chini ya Mwalimu Julius Nyerere,

Na mwisho hujachambua filosofia ya CCM iliyoasisiwa na Mwalimu Julius Nyerere!

Kwanza nikuleze kuwa kabla Mwalimu hajajiunga na TAA, tayari 1948 akiwa pale Makelele Uganda alisha chama chake cha siasa kilichoitwa TAWA,

Mwaka huo huo akaombwa na baashi ya wanachama wa TAA waliokuwa Tanganyika kuwa aachane na chama chake cha TAWA na kisha ajiunge na TAA, hivyo alikubali ombi hilo na TAWA ikabadilika kuwa tawi la TAA hapo Makerere!

1953 baada ya uchaguzi wa Arnautoglo mnazi mmoja uliompata Julius Nyerere na kuwa rais wa TAA, mwalimu aliingia na filosofia yake ya TAWA ambayo ndiyo hasaaa iliyozaa uhuru na sera za Tanganyika/Tanzania ya Mwalimu Nyerere ambayo dunia wanaifahamu!

Mkuu yapo mengi sana ambayo ni muhimu kuyafahamu ndipo ujenge hoja hiyo!

Ningekushauri tembelea mjadala wetu unaosema, "Uchochezi wa Mohamed Said na Dhihaka kwa wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar"

Mjadala upo hapa jf jukwaa la siasa!

Mistari uliyoiweka ni facts na siwezi gombana nayo kabisa.Ila ninachoweza kuambia hapa ni kwamba si pinzani na nilichoandika.Yote hayo yanaweza kuwa na immense amount of facts ,philosophy na history.Lakini finaly utarudi ktk clues ktk sehemu niliyoweka RED...hapo ndipo kuna ugonjwa unaoisumbua hii nchi kwa kutembea ndani ya CCM(kama Mbu na vimelea vya malaria).Hapo ktk red ndipo pameleta shida kubwa sana ambayo ilimfanya mwalimu maisha yake yote asiweze fanikisha malengo yote ya kimaendeleo.Hapo ndipopalipo mfanya mwalimu ajikute kuhandle watu kuwa main task yake.

So hata hiyo "Uchochezi wa Mohamed Said na Dhihaka kwa wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar" ni matokeo tuu ya issue nyingine nyingi sana ambzo ni cancer ktk nchi.Ambayo ingeweza kuwa solved km pangeanzishwa chama Kipya kabisa.Nyerere alikuwa smart enough kuweza option zote.Shida ni kwamba hakuwa na mshauri mwenye fikra kama zake ili waweze chagua hizo options.

Mwalimu aliamua toa maoni kuwa rais awe mwenyekiti kwa vile alijua ktk CCM kuna uasi siku zote.Alijua kabisa si vyem akumpa mtu madaraka yote ila si salama kumyima pia.Kila mtu anajua kinachotokea dodoma kila wakifanya vikao vya kitaifa. Lazima mwenyekiti azimishe kitu.Lazima pawe na vitisho..au maamuzi ya kibabe.Huu si upinzani wa kawaida wa ndani ni ugonjwa mkubwa.Lakini itakwenda hivyo hadi lini?Akiingia kiongozi asiye na busara au uwezo wa kuhandle mambo tutaona sura km hii ya CCM leo. Udini na Ukanda na Ukabila ni vitu "vitakatifu vinavyoongelewa uani" ambavyo si haviongolewi ila vinaongelewa kwa kazi ya chama na kuondoa hofu za watu wanaotembea na ile cancer iliyoanzia ktk uundaji wa TANU.
 
Nikijaribu daka vitu vichache naweza pata hivi:
1.kuwepo kwa vyama vingine ktk sehemu za nchi.-Hii ni kweli wachaga walikuwa na vyao,na marealle was nothing but kibaraka wa mzungu na baadaye kuwauza wenzake ambo walimchagua kuwa mangi mkuu na kuingiza kilimanjaro ktk makubaliano binafsi na TANU..na hivyo wenzake wakavunja umangi mkuu.Pia kulikuwa na vyama vilivyokuw avikubwa tuu na vilitaka kuwepo bila kuvinja uchifu.

2.suala la pili ni muunganiko wa nchi kupitia chama kimoja.Kweli ni jambo sahihi ila haikuwa sahihi kutumia TANU ambayo tayari ilianza na miba ya U -Dar ..Kitu kilihcoleta Zimwi la taabu hadi leo.Unafiki wa waanzilishi wengine baada ya Mwl Kuwekeza kwa mawazo na juhudi na uwezo binafsi,haukuishia ktk glory walizopata baadaye.Bado walitaka Glory zote hata zile za Nyerere.Hayo magugu ndio yameingia na kuota mizizi ktk CCM ya leo.
Chama kimoja si wazo baya,ila haikuwa sahihi kuwa TANU.

You are Definately RIGHT... Mangi Marealle yeye hakutaka UHURU; Walikuwa wameendelea Wanapata pesa za kigeni; Wanasomesha Wanachama wao Nje ya NCHI; Wana Magazeti yao; Chama chao CHA USHIRIKA kilikuwa kinasaidia Wananchi wao... Na Ukiangalia Upande wa MACHAME pia walikuwa na Powerful wanamwita nadhani SHANGALI wao walijenga hadi HOSPITALI - Machame Hospital Walikuwa na barabara ya lami... yaani walikuwa wameendelea

Sasa uwaambie tunataka tumwondoe MWINGEREZA; Hawawezi kukusikia... kwahiyo NYERERE alifanya vya ajabu wao kumsikiliza kuwaambia watu wao kuipigia kura TANU halafu baada ya UHURU kuondoa UCHIFU ili tu kuondoa hizo nguvu zao na kufanya nchi iwe na AMANI na MOJA; sasa hapo sio kuwa waislamu ndio waliokuwa wamekosa baadhi ya haki zao ni wengi; na NYERERE akapiga marufuku Maendeleo KILIMANJARO mpaka Mikoa Mingine ifikie angalau hayo Maendeleo...

Sasa ukikaa chini na kuanza kuorodhesha nani walinyimwa haki ili tu kuleta AMANI na MSHIKAMANO NCHINI kila mtu; HADI Mama zetu walioachwa na BABA ZETU Mama yangu alikwenda kusoma nje ya nchi; Baba hakuvumilia akapata kimada wakazaa nyumba ilikuwa ya Mama yangu; Mama yangu karudi... Mahakama zetu kwa Makubaliano wakati wa UHURU bado kuna sheria za kiislamu zinafuatwa; Baba ndie mwenye uamuzi wa Mwisho... Kwahiyo BABA yangu akachukua NYUMBA sisi tukakaa na Mama kulikuwa hakuna any CHILD SUPPORT ni mama katusomesha mpaka VYUO VIKUU; Yeye bada kaendelea na kaoa mara nyingine tena na furaha kwake... na hana responsibility...

Sasa hapo Nami natakiwa pia kulalamika nilionewa na hiyo SYSTEM ya NYERERE?
 
Binafsi huwa sielewi ni nini kilimfanya nyerere kuingia maamuzi ya watanzania na kuingia miguu yote miwili kwenye kampeni za 1995?

Nyerere alijifunza vitu kwa njia ngumu sana,alihukumiwa kila mara,alilaumiwa kila mara, aliviziwa sana ktk mambo,mfululizo .Alijua red ,green,black na blue lines, alijua no go zones zote.Alikuwa akihurumia sana nchi alipata shida kuona mtu wa kumpa ndio maana akajaribu kwa mkapa ...hapa napo alibugi kitu (hakujua kuwa watu hubadilika,hakujua kuwa tayari uwekezaji ktk urais kipindi cha Mwinyi tayari ulishafikia mahali pa kupanda mbengu mbaya kila mahali, pia hakujua kuwa mwanafunzi wake Mkapa hakuwa akijua mengi km Yeye na hakuweza kimbia sana utandawaz i.)

Mkapa alipoingia tuu na kuanza tengeneza tasisi muhimu ktk utawala bora mbegu zilizopandwa zikaingia ktk hizo taasisi na kufanya kazi waliyostahili.By the time mkapa anaingia mjini akajikuta nae kama bangi ktk mboga.Ndipo hapo mkapa akajikuta naye pia wajanja wancho cha kumblackmail.Taasisi zote za mkapa zilifanya kazi kumweka Kikwete, na kuja fanikisha ufisadi mkubwa sana kwa kiasi ambacho hata mkapa mwenyewe atakuwa akishngaa sana.Wakati akishangaa anashangaa anatishiwa kufungwa kwa makosa yanayoonekana kabisa ni ya watu walimpokea.

Mkapa pamoja ukapa wake na kuacha hela nyingi Hazina, leo hii ndiye mwizi mkubwa.Mramba nae alijtahidi weka record ya muda wake ktk kodi leo anajikuta anaburuzwa na hizi cancer za CCM (UKABILA+UDINI+UKANDA).
 
You are Definately RIGHT... Mangi Marealle yeye hakutaka UHURU; Walikuwa wameendelea Wanapata pesa za kigeni; Wanasomesha Wanachama wao Nje ya NCHI; Wana Magazeti yao; Chama chao CHA USHIRIKA kilikuwa kinasaidia Wananchi wao... Na Ukiangalia Upande wa MACHAME pia walikuwa na Powerful wanamwita nadhani SHANGALI wao walijenga hadi HOSPITALI - Machame Hospital Walikuwa na barabara ya lami... yaani walikuwa wameendelea

Sasa uwaambie tunataka tumwondoe MWINGEREZA; Hawawezi kukusikia... kwahiyo NYERERE alifanya vya ajabu wao kumsikiliza kuwaambia watu wao kuipigia kura TANU halafu baada ya UHURU kuondoa UCHIFU ili tu kuondoa hizo nguvu zao na kufanya nchi iwe na AMANI na MOJA; sasa hapo sio kuwa waislamu ndio waliokuwa wamekosa baadhi ya haki zao ni wengi; na NYERERE akapiga marufuku Maendeleo KILIMANJARO mpaka Mikoa Mingine ifikie angalau hayo Maendeleo...

Sasa ukikaa chini na kuanza kuorodhesha nani walinyimwa haki ili tu kuleta AMANI na MSHIKAMANO NCHINI kila mtu; HADI Mama zetu walioachwa na BABA ZETU Mama yangu alikwenda kusoma nje ya nchi; Baba hakuvumilia akapata kimada wakazaa nyumba ilikuwa ya Mama yangu; Mama yangu karudi... Mahakama zetu kwa Makubaliano wakati wa UHURU bado kuna sheria za kiislamu zinafuatwa; Baba ndie mwenye uamuzi wa Mwisho... Kwahiyo BABA yangu akachukua NYUMBA sisi tukakaa na Mama kulikuwa hakuna any CHILD SUPPORT ni mama katusomesha mpaka VYUO VIKUU; Yeye bada kaendelea na kaoa mara nyingine tena na furaha kwake... na hana responsibility...

Sasa hapo Nami natakiwa pia kulalamika nilionewa na hiyo SYSTEM ya NYERERE?

Tehe..ulivyoandika kuna sehemu napata kucheka in between..kweli umejaliwa uwezo wakuandika aisee...anyway.Ukisoma mahusiano ya mangi na vita zao marealle hakuwa trust worth.Na kuchaguliwa mangi mkuu kulisaidiwa na mkoloni pamoja na TANU.Na kabla hata makuliano ya TANU na Marealle kufikiwa tayari wajanja walishamtoa umangi mkuu..ila TANU ikafanya ambayo CCM imefanya kwa NCCR (Mbatia na Kafulila).Kuwataka wasuluhishane ili wamtakaye asiwe kavuliwa mamlaka kwa muda wanamhitaji au kutafuta solution.Leo CCM wanakataa tambua uwazi wa Nafasi ya Diwani Mawazo Ambaye hadi sasa ni mwana CDM na yupo busy na M4C kuliko.

Anyaway hayo si muhimu sana kwani yataleta mijadala sana ya (Kilichofikifikisha wachaga kujikuta ktk nafasi ya kutakiwa ku fight for survival).

Kama hayo yote yametokea na wengi nchini walisacrifice,kwanini wanaodai sana,hata baada ya kupewa sana ni wachache?Kwanini hizi kutu hazijaisha na zinabebwa kwa vizazi ktk CCM?
 
CCM tuliyoachiwa leo ina kila sifa za kuitwa chama cha kigaidi..ingawa si CCM ambayo mwalimu angependa ikue na kuwa km ilivyo.CCM imefikia mahali ina "ukabila" kidogo wa tofauti ukabila wa kuyakubali amakabila yote ila baadhi, ina ukanda wa kukubali kanda zote ila kanda fulani, na udini ambao haujawahi jificha tangu kabla ya TANU.
 
CCM iliyobaki sasa ni kama uchawi ambao sasa unawarudi wana familia huku wakiwa hawajui wafanye nini.Wa nyumba ya jirani wandhani aunatakiwa kutupwa, waliopo ndani wengine wanauogombania na wengine wanahofu ya kuutupa wakihisi mizimu ya babu zao itawarudia.
 
Duh!
Mada imejaa maoni yasiyo na mashiko ya muanzisha sredi.
Lakini at least matusi yamepungua maana hawezi kujitukana!!
 
Duh!
Mada imejaa maoni yasiyo na mashiko ya muanzisha sredi.
Lakini at least matusi yamepungua maana hawezi kujitukana!!

Uwe unaacha watu wajadili mambo ya msingi....Hiaya ni mambo yasiyohitaji jichekesha hata kidogo..

Tafadhali heshimu watu na mada humu ndani.
 
Nani ataivunja hii CCM kabla haijaanguka ktk uovu mkubwa zaidi na kusababisha nchi kuingia ktk CIVIL war?Tayari CCM kwa maneno na vitendo inalazimisha sana amani kupotea..wapo busy sana kufanya uahlifu kuliko kutekeleza ilani,kuliko kutimiza ahadi zao walizotoa km mvua za rasha rasha.Muda umebaki kidogo sana hata wanazi wake (Tangu TANU) wanaona Muda umepita haraka sana,na hawajafanikisha malengo kwa kiasi cha kukata kiu,kwa kiasi cha kujihakikishia chama ni chao.

Nani atasaidia kukiondoa kabisa hich chama defective, chama chenye ulemavu mmkubwa na cancer kwa taifa.

Mwalimu kila laipofikiri kuhuzu Zenj na matatizo yake alitamani hata kingesogea mbali baharini ili kiwe bara lingine,mimi ningependa(pengine hata mwalimu) CCM ispotee ktk macho ,maisha na masikio ya watanzania.na inapaswa iangamize hata ktk historia ya Nchi ili sumu na cancer isiingie chama kingine.
 
Kosa ambalo naamini Nyerere alilifanya ni kuiacha CCM kama chama tawala baada ya kurudisha mfumo wa vyama vingine. Kulitakiwa kuwa na serikali ya mpito baada ya mabadiliko ya Katiba ya 1992 na kulazimisha vyama vyote kuanza moja. Kuiacha CCM kama a 'de facto' political party ambacho hakikuhitaji hata kutafuta wanachama lilikuwa kosa kubwa la kisiasa la Baba wa Taifa.[/QUOTE]

Kwame Nkurumah wa Ghana alisema sababu ya kuwa na single party system ni kwakuwa wasomi walikuwa wachache ilikuwa rahisi kukusanya wasomi wale kwenye chama kimoja na kuongeza nguvu kwenye elimu, raia watakapokuwa na elimu ya kutosha watakuwa na uwezo wa kuwa na multi party system. Nyerere na Nkurumah walikuwa maswahiba wazuri, na ninaona mantiki hiyo ilikuwa kwa Tanzania pia.
 
Kosa ambalo naamini Nyerere alilifanya ni kuiacha CCM kama chama tawala baada ya kurudisha mfumo wa vyama vingine. Kulitakiwa kuwa na serikali ya mpito baada ya mabadiliko ya Katiba ya 1992 na kulazimisha vyama vyote kuanza moja. Kuiacha CCM kama a 'de facto' political party ambacho hakikuhitaji hata kutafuta wanachama lilikuwa kosa kubwa la kisiasa la Baba wa Taifa.

Kwame Nkurumah wa Ghana alisema sababu ya kuwa na single party system ni kwakuwa wasomi walikuwa wachache ilikuwa rahisi kukusanya wasomi wale kwenye chama kimoja na kuongeza nguvu kwenye elimu, raia watakapokuwa na elimu ya kutosha watakuwa na uwezo wa kuwa na multi party system. Nyerere na Nkurumah walikuwa maswahiba wazuri, na ninaona mantiki hiyo ilikuwa kwa Tanzania pia.

Kwangu mimi nilichochukua ktk quote ya Mzee Mwanakijiji ambayo tunaweza kuwa na tofauti ya kosa ya kuicha CCM yenyewe...Mimi ninasema kuiacha CCM (Reject/Defective) kubaki na kubaki kama Chama pekee.Yeye anaweza kuwa litaka ishia ktk (chama pekee)..CCM mbovu,gonjwa ya cancer ,CCM iliyobaba genetic problem kubaki yenyewe ni kukuza ugonjwa zaidi ya kuleta usalama.

Nasema haya kwa vile CCM ingekuwa na afya hata mwalimu alipojaribu Influence ili ianze zaa kiumbe kizima kwa kuipa sentence ambayo ni well crafted kuwa "upinzani bora utatoka ndani ya CCM " alikuwa akipanda mbegu ya njia mbadala ,huku wana CCM wakijiandaa kifikra kukubalina na hali n aikibidi kuendesha hali halisi.Ila hadi leo tunaon ajinsi gani CCM walivyo tayari ua raia km kafara ya mipango ya kutaka bomboa CDM.Huku wana CCM wakizidi gombea CCM gonjwa/defective km sehemu ya kupata ufuo mpya.

Mwalimu hapa alikuwa km deal breaker au mtongozaji mzuri ambaye huanza mchomea binti neno fulani na kumuachia likazae fikra muda binti akiwa pekee yake,neno litakalomfanya binti ajiandae na kujenga ndoa na mtu aliyelisema,neno litakalomfanya binti aone jukumu la kujenga mahusiano ni lake,binti ajione kuwa hiyo ni bahati anayostahili idaka haraka.But CCM is a crippled dog/defect machine.

Nkuruma hakukosea kusema hivyo kwani chama makini kimoja kingeweza jenga hayo..mbona hata timu za mpira kubwa tuu bara zilivunjika na kutengeneza timu nzuri na pinzani.?So issue inarudi hapa "CCM Ilikuwa na bado ina genetic proble,halafu ikapewa nchi izae uzao wenye afya",wazo la Nkuruma na Nyerere halikuwa applicable hapa.
 
Unasahau kuwa babiyo ni shikaji la wengi, kwa hiyo sikushangai nawe waiga, homoism is hereditary.
Fuatilia watu wa kwenu walioishia Mombasa.
Kwanini usijaribu kuwa human being kidogo.Wengine tunaongelea Choices za taifa ambazo zilikuwepo na nini kingechaguliwa ili taifa liwe na matokeo tofauti na haya tuyaonayo kwa CCM.

wewe unaongelea mambo ya "haki sawa" ktk nchi yenye watu wenye staha,na wenye vitu vya maana zaidi kuchukua nafasi ktk ubongo kuliko,choo unachokomaa nacho hapa.
 
You started it , kama kwenu wanaume ni "mamsapu" basi inaelezea makuzi yako.
 
Kuanzisha chama kingine ilikuwa ni vigumu kutokana na kutokuwa na PESA, wale waasisi wa TANU ndio waliokuwa na MSHIKO wa nguvu wa kuendesha chama cha TANU, kwahiyo basi njia pekee kwa Nyerere ilikuwa ni kuwa karibu na hao matajiri wa wakati huo
 
Back
Top Bottom