Mwl Nyerere Alistahili kupewa nobel prizes

Mwl Nyerere Alistahili kupewa nobel prizes

Haya Nobel hiyoooo....mpe.
Nadhani jamaa amaelewa ubora wa BABA WA TAIFA HILI......kama hataki ni kutokama na uchache wa mawazo na pengine ufinyu wa kukubaliana na ukweli kuhusu Nyerere
 
mkuu labda hujajua umuhim wa Mwalim, leo najivunia napotembea nchi mbalimbali nikikutana na wa TZ huko jinsi tukiwa naumoja...Tanzania inamakabila zaidi ya mia moja na inadini mbili kubwa lakini inaishi kwa amani ukilinganisha hata nchi ambayo inamakabila mawili tu...leo mhaya anaoa msukuma, mpare mzigua mchaga na mnyamwezi. au mlitaka TZ iwe kama Rwanda ndo mumthamini Mwl Nyerere.....kuhusu dikteta hauoni kuwa kuna akina diklerk wameshinda tuzo hiyo.....mbona obama anasera ya kuongeza wanajesh afghanstan na watu wanazidi kufa lakini ameshinda?
kuhusu kuwa na chama kimoja me ningefikiri ujiulize kwanini ilikua vile ngoja nikuelimishe kidogo upate kuelimika

BARA LA AFRICA WAKATI LINAPIGANIA UHURU MABEBERU WA ULAYA WALIJITOKEZA NA KUPINGANA HUSUSAN BAADA YA VITA YA PILI YA DUNIA
HAPO WAKATOKEA WAMAREKANI NA WAINGEREZA WALIOKUA WAKI ADVOCATE CAPITALISM HUKU WAKIENDELEA KUCHUKUA MAKOLONI AFRICA NA KUYA EXPLOIT, AMBAPO MADHARA YAKE MPAKA SASA YAPO. UPANDE WAPILI UKATOKEA URUSI NA CHINA AMBAO WALIKUA NA SERA ZA KUIKOMBOA NJI KUTOKA KWA WAPINZANI WAO WAZUNGU. NA HAPO WAKAIPA SUPORT AFRICA...NCHI KAMA SOUTH AFRICA MPAKA LEO NI RAFIKI MKUBWA WA URUSI NA CHINA. ANC YENYEWE INA ADVOCATE COMMUNISM KIUNDANI NA WANANENO LINAITWA 'UBUNTU' AMBALO KAMA LINAMAANA YA UJAMAA VILE.
TANZANIA ILIKUA RAFIKI WA URUSI MPAKA LEO UNAONA WANAFUNZI WANAENDA PATRIC LUMUMBA UNIVERSITY KWA SCHOLARSHIP ILIKUA NI ULE MDA WA UHURU NDO ULIANZISHWA HUO USHIRIKIANO.
MWALIM ALIIPENDA SANA HIYO PHILOSOPHI YA URUSI NA AKAAMUA KUIFWATILIA KWA KUSOMA VITABU N.K
NDO MAANA AKAWA ANA ADVOCATE SOCIALISM KWA WAKATI ULE, NA ILIPO ANGUKA SOVIET UNION KWA USA NDO HATA YEYE AKAANZA KUKUBALI MATOKEO AMBAPO HATA RUSSIA WENYEWE WAMEKUBALI MATOKEO

hapa napoandika kiswahili ni matunda ya ujamaa ambapo aliweka Tanzania iwe moja na watu wapendane tofauti na kenya au nchi jirani watu wanauwana kwa makabila tu, tena kwa kuangaliana rangi wanajua huyu mwenzetu huyu si mwenzetu.

kwa kuiba kura Zanzibar for the sake of Zanzibaries ilibidi...hivi unajua kama hakuna Zanzibar bila muungano?ukitaka nifafanue ntafafanua/.
 
Matatizo ya kuishi kwenye nchi yenye gazeti na Radio moja ya chama inayoimba Nyerere siku nzima basi mnafikiri Nyerere is the best kila kitu,alikuwa dikteta tuu ingawaje alikuwa sio muuaji,kwa akili zenu Nyerere na style yake ya CCM kushika hatamu na kampeni na jina la mgombea peke yake na kunyanganya watu mali zao kwa jina la azimio la Arusha,kuwaweka watu vizuizini bila kesi na nani asiyejua torture chamber ya St Peters eti apewe Nobel Prize na si ndio huyu ali engineer wizi wa kura Zanzibar then mnafikiri dunia haioni..kuweni serious kidogo!
mbofu mbofu!
 
Back
Top Bottom