Joste
Senior Member
- Jun 28, 2009
- 116
- 7
Nadhani jamaa amaelewa ubora wa BABA WA TAIFA HILI......kama hataki ni kutokama na uchache wa mawazo na pengine ufinyu wa kukubaliana na ukweli kuhusu NyerereHaya Nobel hiyoooo....mpe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani jamaa amaelewa ubora wa BABA WA TAIFA HILI......kama hataki ni kutokama na uchache wa mawazo na pengine ufinyu wa kukubaliana na ukweli kuhusu NyerereHaya Nobel hiyoooo....mpe.
mbofu mbofu!Matatizo ya kuishi kwenye nchi yenye gazeti na Radio moja ya chama inayoimba Nyerere siku nzima basi mnafikiri Nyerere is the best kila kitu,alikuwa dikteta tuu ingawaje alikuwa sio muuaji,kwa akili zenu Nyerere na style yake ya CCM kushika hatamu na kampeni na jina la mgombea peke yake na kunyanganya watu mali zao kwa jina la azimio la Arusha,kuwaweka watu vizuizini bila kesi na nani asiyejua torture chamber ya St Peters eti apewe Nobel Prize na si ndio huyu ali engineer wizi wa kura Zanzibar then mnafikiri dunia haioni..kuweni serious kidogo!