Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Tunashuhudia kwa nyakati hizi tulizo nazo watoto wa viongozi mbalimbali nao kuwa na kauli au nguvu za kufanya matendo ambayo sio halali ambayo hatimaye hupelekea kuleta aibu kwa wazazi wao kama tulivyoshuhudia hivi Majuzi kisa cha mtoto wa ndugu yetu Simbachawene, na hili sakata la mtoto wa Prince Jr. , linalotrends kwa sasa, je vijana wetu au watoto wetu wamekosa maadili sahihi?
Mwl. Aliwezaje? Kusimamia hili, au wazazi tumelegalega juu ya usimamizi makini wa familia zetu.
Watoto wanatuvua nguo wazazi.
Mwl. Aliwezaje? Kusimamia hili, au wazazi tumelegalega juu ya usimamizi makini wa familia zetu.
Watoto wanatuvua nguo wazazi.