maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Kinaendelea nn kwani mkuuNI extremist trending news! [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinaendelea nn kwani mkuuNI extremist trending news! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemwaga chozi kumlilia Benja, my neighbor mtu mwema kweli, na mpenda ukweli alikuwa anajua kweli kumchana mtu makavu lives, akigonga tu safari 3,simile inamtoka kwa yale ya kipuuzi, "REST IN CMPLETENESS SIR"Kwenye kundi la watoto wa JKN waweke watoto wa WBM na JPM
Discussion za maadili tu mkuu kwa viongozi wetu mbalimbali hasa kwa familia zao.Kinaendelea nn kwani mkuu
Lugha uliyotumia si sahihi, unamaanisha Nyerere aliwaruhusu waingilie serikali yake jambo ambalo si sahihi.Hapana mkuu watoto wa Nyerere walikuwa kimya hawakusikika hata kidogo.
Hii hii tuliyonayoJamii ipi ya kukulea mtoto?
Unamjua Abas Mwinyi wewe,na kashfa zile za IPS building na madawa ya kulevya miaka ile,au ilikuwa hujazaliwa wewe?Kwa Maraisi wote
Aliyemudu kuwalea watoto wake kwa mawili ya juu sana mimi Ni Mzee Mwinyi tu
Watoto wake alijitahidi mno wako vizuri kuanzia vichwani hadi kitabia
Si watu wa kujikweza wala mbwembwe wala uchakaramu
AKILI NDUGU YANGU. AKILI.Tunashuhudia kwa nyakati hizi tulizo nazo watoto wa viongozi mbalimbali nao kuwa na kauli au nguvu za kufanya matendo ambayo sio halali ambayo hatimaye hupelekea kuleta aibu kwa wazazi wao kama tulivyoshuhudia hivi Majuzi kisa cha mtoto wa ndugu yetu Simbachawene, na hili sakata la mtoto wa Prince Jr. , linalotrends kwa sasa, je vijana wetu au watoto wetu wamekosa maadili sahihi?
Mwl. Aliwezaje? Kusimamia hili, au wazazi tumelegalega juu ya usimamizi makini wa familia zetu.
Watoto wanatuvua nguo wazazi.
Watoto wadogo hao. Mwinyi alikuwa na kashfa mbili kuuUn
Unamjua Abas Mwinyi wewe,na kashfa zile za IPS building na madawa ya kulevya miaka ile,au ilikuwa hujazaliwa wewe?