Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Siamini kama ni kweli wazazi wanawaingiza katika kufanya yasiyo ya kimaadili, watanzania wengi kunakakitu tunaugua na hivyo kupelekea hofu ya kumwogopa mfano, mtoto wa tajiri mkubwa, mtoto wa kiongozi mkubwa, mtoto wa mfanyabiashara nguli n.k,,hivyo kupelekea kuathiri au kupindisha mfumo fulani, aidha kuulazimisha bila shuruti uende vice versa,na kupelekea kutoka nje ya misingi yetu ya kitaaluma.Wengine wanawaingiza watoto wao kwenye siasa. Sio Jambo baya. Sasa wengine wameenda mbele zaidi na kuwaingiza kwenye ubabe, uhuni, magendo na msishangae kesho na kesho kutwa wakaingizwa kwenye umalaya na matumizi na biashara ya madawa ya kulevya. Wakati wazazi wao wakiwa kwenye majukwaa wanapinga vitendo viovu, kumbe geresha tu.
Tunajadili mifumo bora ya kuwajengea watoto wetu ili waje kuishi kwa ubora zaidi yetu na wawe na maadili bora zaidi.Kumbe tunawajadili watoto?Akili za kitoto.
Kumjenga mtoto ni lazima uibebe akili yake.Umpe ile kitu inaitwa psychosis effection.Mambinu kama yote.Nakubaliana na weye!Tunajadili mifumo bora ya kuwajengea watoto wetu ili waje kuishi kwa ubora zaidi yetu na wawe na maadili bora zaidi.
Hatukusika watoto wa mwl, wala jemedari kawawa, wala warioba kuyafanya haya, tunashuhudia mporomoko tu,Kumjenga mtoto ni lazima uibebe akili yake.Umpe ile kitu inaitwa psychosis effection.Mambinu kama yote.Nakubaliana na weye!
Kwenye kundi la watoto wa JKN waweke watoto wa WBM na JPMTunashuhudia kwa nyakati hizi tulizo nazo watoto wa viongozi mbalimbali nao kuwa na kauli au nguvu za kufanya matendo ambayo...
Jamii ipi ya kukulea mtoto?Mtoto akishabalehe au kuvunja ungo sio wako ni wa jamii, kwa hiyo hapo jamii ndio inamlea
Changanya na watoto wa Msuya. Huyu mzee ana watoto Wana maadili mema Sana.Kwenye kundi la watoto wa JKN waweke watoto wa WBM na JPM
Kwa kiswahili chako unataka kutuaminisha Nyerere aliruhusu familia yake kuingilia utawala wake!Tunashuhudia kwa nyakati hizi tulizo nazo watoto wa viongozi mbalimbali nao kuwa na kauli au nguvu za kufanya matendo ambayo sio halali ambayo hatimaye hupelekea kuleta aibu kwa wazazi wao kama tulivyoshuhudia hivi Majuzi kisa cha mtoto wa ndugu yetu Simbachawene, na hili sakata la mtoto wa Primes, linalotrends kwa sasa, je vijana wetu au watoto wetu wamekosa maadili sahihi?
Mwl. Aliwezaje? Kusimamia hili, au wazazi tumelegalega juu ya usimamizi makini wa familia zetu.
Watoto wanatuvua nguo wazazi.
Mkuu sijui kama unaelewa- waulize watu mdogo wake Kiboko ALIKUWA NAFANYAJE? Hata hivyo siyo vizuri kumhukumu mtu kwa sababu ya matendo ya ndugu zake. Nyerere alikuwa mtu na mtu kweli kama mtuTunashuhudia kwa nyakati hizi tulizo nazo watoto wa viongozi mbalimbali nao kuwa na kauli au nguvu za kufanya matendo ambayo sio halali ambayo hatimaye hupelekea kuleta aibu kwa wazazi wao kama tulivyoshuhudia hivi Majuzi kisa cha mtoto wa ndugu yetu Simbachawene, na hili sakata la mtoto wa Primes, linalotrends kwa sasa, je vijana wetu au watoto wetu wamekosa maadili sahihi?
Mwl. Aliwezaje? Kusimamia hili, au wazazi tumelegalega juu ya usimamizi makini wa familia zetu.
Watoto wanatuvua nguo wazazi.
Hapana mkuu watoto wa Nyerere walikuwa kimya hawakusikika hata kidogo.Kwa kiswahili chako unataka kutuaminisha Nyerere aliruhusu familia yake kuingilia utawala wake!
Unamaana gani mtot yupi wa prime anatrendsTunashuhudia kwa nyakati hizi tulizo nazo watoto wa viongozi mbalimbali nao kuwa na kauli au nguvu za kufanya matendo ambayo sio halali ambayo hatimaye hupelekea kuleta aibu kwa wazazi wao kama tulivyoshuhudia hivi Majuzi kisa cha mtoto wa ndugu yetu Simbachawene, na hili sakata la mtoto wa Primes, linalotrends kwa sasa, je vijana wetu au watoto wetu wamekosa maadili sahihi?
Mwl. Aliwezaje? Kusimamia hili, au wazazi tumelegalega juu ya usimamizi makini wa familia zetu.
Watoto wanatuvua nguo wazazi.
NI extremist trending news! πππUnamaana gani mtot yupi wa prime anatrends
Akina nani mkuu? Hao. Naona pia watoto wa salim Ahmed salim hawa hawafahamiki kabisa, badala yake mtoto wa kigunge ndiye alikuwa gumzo la jiji sijui yapo wapi huyu ndugu?Nyerere alikosea sana kuwaachia nchi wale watu