Mwl. Nyerere aliwezaje kuwazuia Wanafamilia yake kutoingilia mifumo ya utawala wake?

Sio kila mtoto wa mtu mwanasiasa anaweza kuwa mwanasiasa. Sidhani kama Mwalimu hakupenda angalau mwanae mmoja arithi akili zake ila ndo walivyokuwa wamezaliwa. Labda walichukua akili upande wa mama. Hata EL alihangaika sana kumjenga Fred ila ilikuwa kama kumpadisha kobe mtini.
 
Nenda Marekani na Uingereza utawakuta wajukuu zake wanakula maisha.

HAKUNA MTU MNINAFSI KAMA NYERERE, HII NCHI KINA SYKES, RUPIA, AIKAEL MBOWE, MZEE MTEI, KAMBONA N.K WALIMSAIDIA SANA ALIKUWA ANATAKA MASIFA YOTE APEWE YEYE.

ALIKUWA NA MASIFA KAMA MAGUFULI.

MWINYI NA MKAPA NDIO WALIKUWA THE BEST.

KIKWETE NI BONGE LA MTU ILA ALIZUNGUKWA NA MAJIZI.
 
Kwenye kundi la watoto wa JKN waweke watoto wa WBM na JPM
Nimemwaga chozi kumlilia Benja, my neighbor mtu mwema kweli, na mpenda ukweli alikuwa anajua kweli kumchana mtu makavu lives, akigonga tu safari 3,simile inamtoka kwa yale ya kipuuzi, "REST IN CMPLETENESS SIR"
Pia hayo majina naona kama yana oppose each other's! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .
 
Un
Kwa Maraisi wote
Aliyemudu kuwalea watoto wake kwa mawili ya juu sana mimi Ni Mzee Mwinyi tu

Watoto wake alijitahidi mno wako vizuri kuanzia vichwani hadi kitabia

Si watu wa kujikweza wala mbwembwe wala uchakaramu
Unamjua Abas Mwinyi wewe,na kashfa zile za IPS building na madawa ya kulevya miaka ile,au ilikuwa hujazaliwa wewe?
 
AKILI NDUGU YANGU. AKILI.
 
Nyerere ameingia mjengoni akiwa dogo wa miaka 39 tu, watoto wake walikuwa under 5.

Akajichomoa miaka 24 mbele watoto wakiwa under 30!


Anzia hapo kujadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…