Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Watasema ni yeye pekee aliye thubutu kufufua ATC, kujenga reli,ya Standard Gauge, na kuua demokrasia.
Katiba ya Nchi haisemi rais atachaguliwa kwa miaka kumi.Katiba ya nchi inasema rais atakaa madarakani miaka mitano,ila imempa Uhuru wa kugombea tena miaka mitano mingine.Na hiyo miaka mitano mingine akishindwa akae pembeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuma kimefanya vizuri tunakiongezea muda
Mungu aipiganie ccm na watu wake idumu mileleChuma kimefanya vizuri tunakiongezea muda
Mungu aipiganie ccm na watu wake idumu mileleChuma kimefanya vizuri tunakiongezea muda
Atake asitakeNi wewe Ally Kessy na mwenzako Job Ndugai, tumewasikia vizuri sana, ila nawahakikishia kuwa Rais Magufuli hataongezewa muda hata dk 10 tu.
Tanzania siyo Rwanda, Tanzania siyo Burundi, Tanzania siyo Uganda, iacheni Tanzania Kama ilivyo, narudia tena haitawezekana hata iweje, [emoji116]View attachment 1474625
Muongezee muda mama yako wa kuolewa na Baba yako, nchi siyo familia ya mtu, dammit!Chuma kimefanya vizuri tunakiongezea muda
Atawapigania mkiwa kaburini Kama Nkurunzinza, dammit!Mungu aipiganie ccm na watu wake idumu milele
Sifa kuu ya kuwa mwana CCM ni kuwa mpumbavu mkubwa Kama weweMtake msitake.
Hapa itaitishwa kura ya maoni jpm atapiga 99.99 za watu kumtaka aongozee maisha yake yote ndio utauza sana bia huko kilinyaga
Muongezee muda mama yako wa kuolewa na Baba yako, nchi siyo familia ya mtu, dammit!
Sifa kuu ya kuwa mwana CCM ni kuwa mpumbavu mkubwa Kama wewe
BwahbwahHuyo unayemzungumzia siyo chuma ni mabua tu!
Hivi mnaweza kutusaidia sisi mangumbalo JPM kafanya lipi exceptional tofauti na waliomtangulia??Chuma kimefanya vizuri tunakiongezea muda
Hataongezewa hata kidogoChuma kimefanya vizuri tunakiongezea muda