Mwl Nyerere: Hata mimi walinambia using'atuke nchi bado inakutegemea, nikaja jua kumbe nchi ni familia zao, hawana uhakika na ajira zao nikiondoka

Mwl Nyerere: Hata mimi walinambia using'atuke nchi bado inakutegemea, nikaja jua kumbe nchi ni familia zao, hawana uhakika na ajira zao nikiondoka

Watu aliwachagua rais wanasema hivyo kwa faida yao. Kivip?
Rais akibaki madarakani ni rahis wao kubaki na vyeo vyao kwa muda mrefu sana.
Kwahiyo wanampamba wanamtukuza ili wabakie kwenye vyeo vyao muda mrefu si kws ajili ya wananchi.
Watasema ni yeye pekee aliye thubutu kufufua ATC, kujenga reli,ya Standard Gauge, na kuua demokrasia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana yule Nkamia akawa anajamba Jamba kumbe waya umeenda mpaka kwa Jiwe.

Bunge lijalo Nkamia anapeleka hoja binafsi kwamba wamuongezee Rais muda. Sasa tushaelewa janja yake Jiwe ila tatizo ana Ana akili ya nyumbu
 
Kuna kuishiwa mbinu mkuu. Kama Molinho alivyoishiwa mbinu, nae Molinho angekuwa mjanja angetangaza kung'atuka angeendelea kuwa maarufu lakini alivyong'atuliwa umaarufu wote KWISHA.

Mfano mwengine ni sir Alex Fargason aligundua kuwa mpira unakuwa na mabadiliko makubwa ambayo kwa uwezo wake asingeweza kuyamudu mabadiliko hayo, hivyo akang'atuka. Nae ameendelea kujizolea sifa kama JK Nyerere. Lakini angeendelea kung'ang'ania kuifundisha Man U leo hii asingekuwa na sifa alizonazo. Hivyo kuna watu wana maono mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba ya Nchi haisemi rais atachaguliwa kwa miaka kumi.Katiba ya nchi inasema rais atakaa madarakani miaka mitano,ila imempa Uhuru wa kugombea tena miaka mitano mingine.Na hiyo miaka mitano mingine akishindwa akae pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa analalamikiwaje kuwa na marengo ya kuendelea kwa miaka mitano mingine?
 
Ni wewe Ally Kessy na mwenzako Job Ndugai, tumewasikia vizuri sana, ila nawahakikishia kuwa Rais Magufuli hataongezewa muda hata dk 10 tu.
Tanzania siyo Rwanda, Tanzania siyo Burundi, Tanzania siyo Uganda, iacheni Tanzania Kama ilivyo, narudia tena haitawezekana hata iweje, [emoji116]
IMG_20200610_220108.jpg
 
Mtake msitake.

Hapa itaitishwa kura ya maoni jpm atapiga 99.99 za watu kumtaka aongozee maisha yake yote ndio utauza sana bia huko kilinyaga
 
Unatukana kwa kuwa upo chadema ungukuwa ccm ungekula ban

Vipi biashara za bia zinaendeleaje hapo kibera na curfew hii ya kenyatta
Muongezee muda mama yako wa kuolewa na Baba yako, nchi siyo familia ya mtu, dammit!
 
Back
Top Bottom