Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Watu aliwachagua rais wanasema hivyo kwa faida yao. Kivip?
Rais akibaki madarakani ni rahis wao kubaki na vyeo vyao kwa muda mrefu sana.
Kwahiyo wanampamba wanamtukuza ili wabakie kwenye vyeo vyao muda mrefu si kws ajili ya wananchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais akibaki madarakani ni rahis wao kubaki na vyeo vyao kwa muda mrefu sana.
Kwahiyo wanampamba wanamtukuza ili wabakie kwenye vyeo vyao muda mrefu si kws ajili ya wananchi.
Watasema ni yeye pekee aliye thubutu kufufua ATC, kujenga reli,ya Standard Gauge, na kuua demokrasia.
Sent using Jamii Forums mobile app