Counsellor Sima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 539
- 576
Lebanon nimelipa usd 20, nikaja Tanzania, juzi nageuka Lebanon napigwa usd 100 afu sikulijua hilo cox mwanzo nilitoa usd 17, hela imeniuma sana hii.
Nimetoka nayo tz juz nimeingia nje wanaangalia kila hatua....kila unayemkuta anauliza form ya Pcr test....wanaikagua na kupiga muhuri.....Je,akikutwa na Corona itasemwa?Je,hizo nchi zitaamini certificates za Tz? Maana tunasema Tanzania hakuna Corona, sasa wataamini kweli kama tumepima majibu ni sahihi?
Tuache kutumia matatizo kama magonjwa kuwakandamiza watu wetu!Yaani kisa unajua mtu anayesafiri atakuwa na uwezo basi unampa gharama zisizo akisi uhalisia na ni za Tanzania pekee!Shame!