Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Salaam Wakuu,
Serikali imetoa Mwongozo wa Upimaji wa Covid-19. Katika Barua iliyosainiwa na Waziri wa Afya Dokta Doroth Gwajima, Pamoja na Mambo mengine yote, imeeleza ukitaka kusafiri nje ya Nchi, gharama ya Kupima Covid-19 ni USD 100 ambayo ni takribani Tsh 230,000/=. Hii ni Pamoja na Watalii. Wameongeza Malipo hayo yalipwe katika akaunti ya Serikali ya Huduma za Maabara.
Hapa chi ni Mwongozo huo: