Mwongozo wa Serikali: Kipimo cha Corona ni Dola za Kimarekani 100 kwa anayesafiri nje ya Nchi

Mwongozo wa Serikali: Kipimo cha Corona ni Dola za Kimarekani 100 kwa anayesafiri nje ya Nchi

Mpango Kazi wa kuvuna pesa hicho kipimo kina kipi Hadi kiwe ghali hivyo
 
It is free all over the world. Hakuna kokote wanakotoza fedha yoyote duniani kupima. Uki transit pengine Europe, unapima bure kuendelea na safari

PCR test unalipa kama unahitaji kwa mfano UK wanatoza mpaka £225 na wengine 199 hivyo unapata fit to fly certificate kwa mda wa masaa 24 unasepa private clinic hao

Nchi nyingi sana kwa sasa wanatoza hiyo mkuu jaribu kuperuzi maana nimeona mpaka SA wanatoza
Ila kwa wanaosafiri ndio wanatoza
 
Hii ni kituko cha Karne. Na hali kuwa mbaya, huduma ambayo inatolewa bure duniani kote, hadi kwenye airport za nchi mbalimbali bure, kwa masikini wa Tanzania, ni kukamuliwa. Taarifa toka wizara ya Afya, inaelekeza kwamba kila anayetaka kusafiri, kupima Covid-19 lazima alipe $100

D O L A 100....... ay hefdha za kitanzania Laki 239,000. Hii ni Zimbabwe inatunyemelea au kuna tatizo gani?
Mimi nimesikia UK wanachaji £125.00 ..... ..... ....
 
Kwa hiyo mtalii akimaliza kupiga misele Serengeti anatakiwa aache bakshishi dola 100 wizara ya afya. Kwa mwendo huu utalii utaenda kibra
 
PCR test unalipa kama unahitaji kwa mfano UK wanatoza mpaka £225 na wengine 199 hivyo unapata fit to fly certificate kwa mda wa masaa 24 unasepa private clinic hao
Nchi nyingi sana kwa sasa wanatoza hiyo mkuu jaribu kuperuzi maana nimeona mpaka SA wanatoza
Ila kwa wanaosafiri ndio wanatoza
Hatukatai kutoza pesa ,

Tatizo ni kupandisha Kiwango cha pesa,,

Tena kwa sababu zisizo na mshiko
 
PCR test unalipa kama unahitaji kwa mfano UK wanatoza mpaka £225 na wengine 199 hivyo unapata fit to fly certificate kwa mda wa masaa 24 unasepa private clinic hao
Nchi nyingi sana kwa sasa wanatoza hiyo mkuu jaribu kuperuzi maana nimeona mpaka SA wanatoza
Ila kwa wanaosafiri ndio wanatoza
Acha uongo
 
Hyo pesa kwa thamani ya UK unanunuwa soksi za viatu.,au kiatu..

Lakini $100 hapa Tz ni msingi wa biashara wa mtu..
Au kodi ya chumba ya mtu miezi 6..
Hyo $ 100 atakayolipa mtanzania wa kawaida ni pesa nyingi mno kwa kulipia covid test..
Kwani Umesikia anayetozwa dola 100 NI mmachinga Hadi useme ni mtaji wa mtu? Wanatozwa hao wanaoona ni hela ya kununulia soksi, wewe mpanda kimbinyiko haikuhusu.
 
Kwani Umesikia anayetozwa dola 100 NI mmachinga Hadi useme ni mtaji wa mtu? Wanatozwa hao wanaoona ni hela ya kununulia soksi, wewe mpanda kimbinyiko haikuhusu.
Kwani mmachinga haruhusiwi kusafiri?

Mimi namaanisha usilinganishe 125 pounds na thamani ya tz shillings.

Hiyo pesa kwa UK ni ndogo sana,,kwa matumizi
Lakini kwa Tanzania ni kubwa mno..
Sasa isinihusu mimi kivipi
 
Hii serikali yetu kwa kifupi haijali wala haiwapendi wanainchi wake,, ,,

ukiangaalia mambo mengi wanayoyaanzisha now ni kwa ajili ya kuwagandamiza wanainchi badala ya kuwasaidia.,,

Hili la kupanda kwa gharama za covid 19 test ni zaidi ya ""let me go I can't breath..""

Hivi utapandishaje gharama za kupima covid 19 kwa kisingizio cha kuongezeka kwa vipimo?

Je huyo mtalii mbona gharama za kupima ni zile zile za zamani?au yeye anapimwa na kitu gani ?

au pengine mtanzania baada ya covid test anapewa na zawadi ya kaunda suti?? ya kupandia ndege for free

Before --(gharama).
-- mtalii 100$ malipo
-- raia 17 $ malipo

new-- ( gharama).
--mtalii -- 100 $ malipo
-- raia 100 $ malipo

So sad..

Yaani inchi inathamini zaidi mtalii kuliko mwanainchi ?.
Hii duniani kote hakuna hyo,,
kuthamini mgeni na kumtesa mwanaichi wake..

Hivi huo uzalendo kwa inchi yangu utatoka wapi kwa mfano?.

Wakati serikali yenyewe haithamini raia wake?
Duniani kote uzalendo kwanza unaanza na serikali kuwapenda raia wake,,
Ndipo raia huipenda inchi yao.
Iweje watu watuletee mambo ya ajabu ajabu halafu kesho utegemee kuipenda inchi yetu.

Vitu kama hivi ndy huleta chuki na serikali.
Sababu ya akili za watu wachache,,
Kwa maamuzi yasiyo na tija.,

Lazima wahusika mliopewa mamlaka muelewe kwamba si kila anayesafiri nje,, basi ni Tajiri ,au ana pesa sana,,

Wengine malofa wanaunga unga tu,,

msihadaike na uwingi wa raia wanaojazana hospital kupima covid 19 kwa ajili ya kusafiri nje..

Msije mkatuona ni matajiri au chanzo cha mapato..
Mpaka kupelekea kuanzisha huo mradi wa covid test,.

Mfano mabaharia,, tunakaa juu miaka bila kupandia meli,,
Siku umepata kazi na pesa huna za kutosha,,,
--Umlipe agent viza 400 $.mfano Dubai,Qatar au saudia.

Umlipe agent aliyekuunganishia kazi ---500 $.

--Bado ukalipe 100 $ covid test.!!!!
Hii haipo sawa wahusika.


Hivi hizo pesa kwa mtu ambaye hana kazi miaka 2 atazitoa wapi?
Badala ya serikali kumsaidia mwanainchi wake ,,wao wanaweka ugumu.

--So sad inchi yangu.

---So sad Tanzania,,

Serikali naomba mliangalie hilo,,msije mkaonekana kituko mbele ya dunia nzima...
 
Salaam Wakuu,

Serikali imetoa Muongozo wa Upimaji wa Covid-19. Katika Barua iliyosainiwa na Waziri wa Afya Dokta Doroth Gwajima, Pamoja na Mambo mengine yote, imeeleza ukitaka kusafiri nje ya Nchi, gharama ya Kupima Covid-19 ni USD 100. Hii ni Pamoja na Watalii. Wameongeza Malipo hayo yalipwe katika akaunti ya Serikali ya Huduma za Maabara.

Hapa chi ni Mwongozo huo:
View attachment 1670196View attachment 1670197
Jiwe lina waya waya linatafuta pesa kila kona,Sasa hicho kipimo na gharama yake ya 100usd,ilibidi tufanyiwe na nchi tunapoenda,na hizo hela wachukue wao,maana huku kwetu tumeambiwa hakuna covid,sasa kwanini mtupime,wakati mmeishasema hakuna balaa
 
Back
Top Bottom